Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

Ni aibu sana kwa serikali ya CCM na misukule wake kukalia kimya siku ya kifo cha kiongozi ambaye ndani ya muda mfupi wa miaka mitano amefanya vitu vingi sana.

Hii ina dhihirisha kuwa CCM wanachukia uadilifu na uchapa kazi na ndio maana wanaweka chuki za wazi na wanamfuta kwa makusudi Hayati Rais John P. Magufuri sababu ya hofu ya namna wanainchi walimuelewa kwa idadi kubwa na sasa wanaona uadilifu unashuka kwa kasi.
 
..wakikua na kuujua UOVU wa utawala wa Magufuli watalaumu kitendo cha kuwapeleka kutembelea kaburi lake.

..mtawadanganya sasa hivi wakati wadogo, lakini wakikua wataujua UKWELI.
Unaonekana ndio wale watu wakienda msalani wanakojolea ukutani halafu unaondoka bila kusafisha sababu ya kukosa maadili na adabu.
 
Huo uovu ni ule ulioujenga kichwani mwako...tena kwa mtu mzima kama wewe hata unaodai ni watoto, watakushangaa. Isitoshe hao sio watoto kihivyo unavyotaka kuaminisha kadamnasi wako....

Hata kama "wamepelekwa" Kitendo cha hao kwenda kumfariji Mama mjane aliye na huzuni ya mume wake ni UTU. Utu ambao nyie humu mtandaoni hamnao kwani kila kukicha mnamjengea uovu Hayati, mnafikiri Mama Janeth anajisikia vipi kuona Mme wake akinajisiwa kwenye alipo kaburini?

Akipata ugeni kama huo iwe ni wa kulazimishwa au la....dhamira na azma ni kuumpa faraja Mama Janeth.

Wapatieni faraga Familia na muache Ugaidi wenu kwa Familia ya Magufuli.

..familia ya Jpm inatakiwa kuwaomba radhi Watz waliotendewa UOVU wakati mtu wao akiwa madarakani.
 
Wewe ndiyo utulie uje kuwahadithia vizazi vya mbele mambo ya magufuli kwakuwa watakuwa hawajaona ila sisi tulioona utawala wake from A to Z hauwezi kutulisha kasa au matango pori.
Itakuwa ulikuwa hulipi kodi au ni mhujumu uchumi
 
Magufuli is our president, our lovely brother, a shine of Tanzania. Na hakuna wa kuvunja rekodi yake kwa sasa
 
Back
Top Bottom