Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

Hapo ni ukweni kwake, rubambangwe chato.

Magu kutaka kujimilikisha hapo kwao ndiko kulipelekea kuwasweka ndani wadogo zake na akawafukuza.

Bifu likamalizka alipokuwa rais, teeth walikuwa wanayasovu mambo kimyakimya.
Duu jamaa katili sana
 
Kwa io magu rais wa jmt alikua na njaa mpaka akaingia mgogoro na wadogo zake kisa kugombea ardhi
hapo chato

Dah mda mwingine tumieni hata akili kufikiri, ila uzuri huku Kila mtu kajificha nyuma ya keyboard, mtaani stori za kijinga kama hizi watu hawakawii kukutia vibao
Mmhhh mnakuwaga na hasira kali #sukuma gang

Sent from my TECNO KG7h using JamiiForums mobile app
 
Kwa io magu rais wa jmt alikua na njaa mpaka akaingia mgogoro na wadogo zake kisa kugombea ardhi
hapo chato

Dah mda mwingine tumieni hata akili kufikiri, ila uzuri huku Kila mtu kajificha nyuma ya keyboard, mtaani stori za kijinga kama hizi watu hawakawii kukutia vibao
nenda pale tamisemi muulizie musa kama hakufuatwa ni kalandinga msoma alikokuwa anafundisha chuo buhale. Kamuulze rpc moro mkama, akiwa ocs chato kama hakuwa amebeba pingu na askari kadhaa kumfuata musa.

Kuna mashamba kule mliman iliko takukuru, teeth, nhc, nmb, ccm, halmashauri nk alivoyapata inasikitsha!

Nimemfaham mwamba toka 1999 kwa karb sana. Mzee wangu alikuwa mtumish ktk dispensary mojawapo huko biharamulo.
 
N
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023.

Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote kujiepusha kabisa na mambo yanayoweza kuathiri maendeleo yao kimasomo.

Mama Magufuli amesema mambo mengi ya Kisasa hususan ya mitandao yamekuwa yakitengua mawazo chanya ya wasichana, na kuwashawishi waishi maisha ya mtandao ambayo mengi yao si maisha halisi.

“Kwa hiyo binti zango elekezeni akili, maarifa na juhudi katika masomo na sio mambo mengine yanayoweza kuathiri maendeleo yenu kimasomo kama vile mambo ya mitandao ambayo mengi sio yenye kuonesha maisha halisi”, alisema Mama Magufuli leo Machi 18, 2023 nyumbani kwake Chato, Mkoa wa Geita.

Mjane huyo wa Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiongea machache baada ya kutoa misaada ya taulo za wasichana na Baiskeli za magurudumu kwa Shule tatu za Sekondari za Wasichana zilizomo wilayani Chato.
View attachment 2556498
View attachment 2556499
View attachment 2556500
View attachment 2556501
View attachment 2556502
Nafurahi saba kumuona Mama yetu Janeth akiwa na Amani, furaha na matumaini...Asante Mungu kwa kutuletea furaha tena🙏
 
Huyo mama huwa namkubali sana, najiuliza alitokana wapi na lile dubwasha katili.
 
Mtu ambaye alikuwa karibu naye muda wote aliishi kwa hofu kubwa na sonona hata mwili ulishindwa kunenepa,ameanza kunenepa baada ya jamaa kufa,je wewe kiroboto hujiulizi badala ya kubaki kupiga kelele za kumtetea huyo marehemu!
Haya tumekusikia dada,unajua hadi siri za ndani. Enjoy your asali.
 
Mtu ambaye alikuwa karibu naye muda wote aliishi kwa hofu kubwa na sonona hata mwili ulishindwa kunenepa,ameanza kunenepa baada ya jamaa kufa,je wewe kiroboto hujiulizi badala ya kubaki kupiga kelele za kumtetea huyo marehemu!
Je, wewe ni mtu wa karibu wa Mama Magufuli hadi uweze kujua sababu ya yeye kunenepa?
 
Huu ni ukweli kwamba JPM ataenziwa vizazi na vizazi. Hawa watoto wadogo wanajua historia yake na wamepata hadi mwamko wa kwenda kumfariji Mama Janeth. Hakika Mungu si athumani.

1679495803551.png
 
Huu ni ukweli kwamba JPM ataenziwa vizazi na vizazi. Hawa watoto wadogo wanajua historia yake na wamepata hadi mwamko wa kwenda kumfariji Mama Janeth. Hakika Mungu si athumani.

View attachment 2561685
Bimkubwa alipitia wakati mgumu sana maishani mwake kuishi na nunda nyumba moja tena kitanda kimoja. Mama wa watu kanawiri baada ya lile subiani kusongeshwa kuzimu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Angewezaje kuishi nae miaka mingi yote hiyo?

Acha utoto. Mapenzi ni tofauti na kuzuia wezi wa mali ya umma.

Mama Janeth Mda wote amebaki kwenye majonzi mazito afu wewe una nyenyele hapa.
 
Back
Top Bottom