Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

..wakikua na kuujua UOVU wa utawala wa Magufuli watalaumu kitendo cha kuwapeleka kutembelea kaburi lake.

..mtawadanganya sasa hivi wakati wadogo, lakini wakikua wataujua UKWELI.
 
Angewezaje kuishi nae miaka mingi yote hiyo?

Acha utoto. Mapenzi ni tofauti na kuzuia wezi wa mali ya umma.

Mama Janeth Mda wote amebaki kwenye majonzi mazito afu wewe una nyenyele hapa.
Wacha uwongo wewe picha za mama enzi za uhai wa huyo dhalim na za sasa hivi zinamaliza ubishi.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huu ni ukweli kwamba JPM ataenziwa vizazi na vizazi. Hawa watoto wadogo wanajua historia yake na wamepata hadi mwamko wa kwenda kumfariji Mama Janeth. Hakika Mungu si athumani.

View attachment 2561685
We kichwa maji kweli, wameenda kwa ridhaa au wamepelekwa?
Watoto kwenda kushangaa kaburi limejengwa ndani ya nyumba syo ajabu, haimaanishi wanamuenzi bali wanashangaa
 
..wakikua na kuujua UOVU wa utawala wa Magufuli watalaumu kitendo cha kuwapeleka kutembelea kaburi lake.

..mtawadanganya sasa hivi wakati wadogo, lakini wakikua wataujua UKWELI.
Huo uovu ni ule ulioujenga kichwani mwako...tena kwa mtu mzima kama wewe hata unaodai ni watoto, watakushangaa. Isitoshe hao sio watoto kihivyo unavyotaka kuaminisha kadamnasi wako....

Hata kama "wamepelekwa" Kitendo cha hao kwenda kumfariji Mama mjane aliye na huzuni ya mume wake ni UTU. Utu ambao nyie humu mtandaoni hamnao kwani kila kukicha mnamjengea uovu Hayati, mnafikiri Mama Janeth anajisikia vipi kuona Mme wake akinajisiwa kwenye alipo kaburini?

Akipata ugeni kama huo iwe ni wa kulazimishwa au la....dhamira na azma ni kuumpa faraja Mama Janeth.

Wapatieni faraga Familia na muache Ugaidi wenu kwa Familia ya Magufuli.
 
Huu ni ukweli kwamba JPM ataenziwa vizazi na vizazi. Hawa watoto wadogo wanajua historia yake na wamepata hadi mwamko wa kwenda kumfariji Mama Janeth. Hakika Mungu si athumani.

View attachment 2561685

Nani kakudanganya kuwa wamekwenda kwa hiari? Nani kakudanganya kuwa wanamuenzi Shetani?

Ila ukiniambia wamekuja kufurahi na mwanamke aliyepata uhuru tarehe 17/ 03/21 nitakuelewa. Asante Mungu kwa kumuondoa Magufuli kwenye maisha ya Janet, sasa uso unang'ara na nurse inaonekana
 
Back
Top Bottom