Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

Janeth Magufuli akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato Machi 18, 2023

Kwa io magu rais wa jmt alikua na njaa mpaka akaingia mgogoro na wadogo zake kisa kugombea ardhi
hapo chato

Dah mda mwingine tumieni hata akili kufikiri, ila uzuri huku Kila mtu kajificha nyuma ya keyboard, mtaani stori za kijinga kama hizi watu hawakawii kukutia vibao
Kwani mlipozusha cjui JK alimfunga Babu Sea kisa mwanamke je hamkujua Rais anaweza kuwa na njaa ya mwanamke?

Nakumbuka mpaka mlisema mgao uliletwa Ili wauze majenereta.... Yaani JK auze jenereta wakati anaweza pewa mkataba wa kufanya "maintenance"bomba la gesi?

What comes around goes around
 
Mtu ambaye alikuwa karibu naye muda wote aliishi kwa hofu kubwa na sonona hata mwili ulishindwa kunenepa,ameanza kunenepa baada ya jamaa kufa,je wewe kiroboto hujiulizi badala ya kubaki kupiga kelele za kumtetea huyo marehemu!
Weutakuwa ulikuwa nyumba ndogo ya jembe,mambo ya ndani ya familia umewezaje kuyajua.
 
Kwani mlipozusha cjui JK alimfunga Babu Sea kisa mwanamke je hamkujua Rais anaweza kuwa na njaa ya mwanamke?

Nakumbuka mpaka mlisema mgao uliletwa Ili wauze majenereta.... Yaani JK auze jenereta wakati anaweza pewa mkataba wa kufanya "maintenance"bomba la gesi?

What comes around goes around
Mlipozusha? Mliposema? Kijana umepata mlo wa mchana??

Mimi nimejibu logically tu Wala Sina mrengo na hivo vitimu vyenu Uchwara

Nafanya kazi halali ambayo hata mkiamua kumpa nchi mandonga mtu kazi Mimi sioni tatizo
 
Hapo ni ukweni kwake, rubambangwe chato.

Magu kutaka kujimilikisha hapo kwao ndiko kulipelekea kuwasweka ndani wadogo zake na akawafukuza.

Bifu likamalizka alipokuwa rais, teeth walikuwa wanayasovu mambo kimyakimya.
Hapo Ndiyo Alimaliza Nongwa Baada Ya Kuwa Rais
 
Weutakuwa ulikuwa nyumba ndogo ya jembe,mambo ya ndani ya familia umewezaje kuyajua.
Kwani ilikuwa siri kwamba wawili hao walikuwa mume na mke? Hujui kwamba mume na mke ukaribu wao uwa zaidi kuliko watu wengine kwenye familia?
 
Wenzake wanakula matunda yeye mwizi yupo kaburini anachezea kibano.
Unaona sasa ulivyo na ushetani! Vipi babu yako na ndugu zako waliokufa nao ni wezi wanachezea kibano!
Nyinyi ni mataahira! Familia ya Magufuli hamtaifikia kimaisha na kwa kila kitu Wapuuzi nyie!
 
Mlipozusha? Mliposema? Kijana umepata mlo wa mchana??

Mimi nimejibu logically tu Wala Sina mrengo na hivo vitimu vyenu Uchwara

Nafanya kazi halali ambayo hata mkiamua kumpa nchi mandonga mtu kazi Mimi sioni tatizo
Ndio hivo usibishe jambo kisa ni petty kwako, mbona JPM anasema alimchagua Sababu ni mwanamke alafu ni mzuri!!! Even though alitaka Mwinyi ndio awe makamu wake!!

So kwa waafrika leaders wenye insecurity hakuna jambo petty kwao, hushangai ole sendeka juzi anagombea ardhi na Binti mdogo as if hana mahekari na mahekari ya ardhi tayari.
 
Back
Top Bottom