Huu ni ukweli kwamba JPM ataenziwa vizazi na vizazi. Hawa watoto wadogo wanajua historia yake na wamepata hadi mwamko wa kwenda kumfariji Mama Janeth. Hakika Mungu si athumani.
hiki kinachofanyika ni kikubwa mno
wanaodhani wanaweza kumfuta JPM kwenye anga za Tanzania wamechemka
wabaya wake wamekazana kumposti humu vibaya lakini kinachofanyika Chato ni kikubwa hata maadhimisho yake ni makubwa japo serikali ilikuwa inatamani yawe madogo wayapotezee
Sihitaji kumsoma yeyote kumfahamu Magu ama kuform an opinion about him. His actions will stand the test of time period and have already shown that they will indeed.