Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40



Nakumbuka Mwanakijiji enzi zake akiwa Mkjj kweli aliandika sana hapa JF kuhusu David Mattaka na genge lake jinsi walivyokuwa wanaua ATC lakini hakuna aliyesikiliza wala kutoa ushauri ndani ya serikali, angalia hata mzee Utouh CAG naye alishauri lakini hakusikilizwa kama ilivyoandikwa hapo chini...

"In late 2012, the Controller and Auditor General of Tanzania, Ludovick Utouh, recommended the criminal prosecution of three former managers of ATCL for the 2007 lease of the Airbus A320 from Wallis Trading Company, a Lebanese company. He said there were massive misappropriation and mismanagement of the leasing agreement, resulting in an accumulated debt of US$41.4 million by October 2012, all of which is guaranteed by the government.[46] The aircraft was in ATCL's possession for 48 months, but it spent 41 of those months in France undergoing a major maintenance"
 
ATCL imekuwa "kampuni ya simu"? Kuanzia lini?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Ndio maana kesi zingine unabaki unajiuliza wameshindwa vipi.

Halafu sasa wabishi wanapoambiwa wekeni hizo elements za mikataba wazi watanzania wajue dispute ilipo wachangie, mawazo ya wengi siku zote ni bora kushinda ya wachache.

Wao kila kitu siri
 
Mlioisoma hii habari hongereni. Wengine hatujaiona zaidi ya heading tu! Anyway, Jiwe aliishasem, vita vya kiuchumi sio lelamama. Lakini, Tanzania itavipigana na Tanzania ITASHINDA!!!
 
Mlioisoma hii habari hongereni. Wengine hatujaiona zaidi ya heading tu! Anyway, Jiwe aliishasem, vita vya kiuchumi sio lelamama. Lakini, Tanzania itavipigana na Tanzania ITASHINDA!!!
Na kushinda na njaa ipo pia

In God we Trust
 
Hivi mnaoshabikia taarifa kama hizi nani kawaroga, huwa mnashangaz sana, nchi ikirudi nyuma ndio furaha yenu, mnasahau tatizo lolote litawahusu pia.
Kwahiyo ulitaka wao ndiyo wafanye nini huko?

In God we Trust
 

Wala tusizungushane bwana.. iko hivi watu wanafurahia kufeli kwa CCM maana wao likiwepo la maendeleo kifua mbele mafanikio ya awamu ya tano, ikitokea tatizo watakaa kimya wakiulizwa utasikia ni ya awamu zilizopita zilizotawaliwa na upinzani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha tu washikishwe adabu.
Hivi huwa hamjioni kuwa mna utindio wa akili. Let me assure you, hata mkipata ridhaa ya kuongoza nchi, hawa CCM watawafanyia mnayofanya sasa. Angalia sana, nia ya mageuzi iwe ni kukosoa watawala ili nchi isonge mbele isiwe upinzani wa kila jambo. Unafurahi as if si nchi yako?
 
First things first, mimi sifurahii kufeli kwa CCM.

Kwa hiyo, unaponijibu mimi, angalau nipe heshima yangu ya kujibizana na mtu asiyefurahia kufeli kwa CCM.

Nimeanza kutembea kwenye corridors za Ikulu ya Tanzania kabla sijazaliwa, nikiwa tumboni mwa mama yangu.

Kwa hivyo, tusilundikane kwa minajili ya "watu".

Maana watu ni wengi, wa kila aina, na hao wengi wanabadilika kila sekunde.

Binafsi napenda kuachiwa uhuru wa kufikiri, bila ya kuelemewa na ujinga wa vyama vya siasa.

Achana na CCM na CHADEMA, nishaona JLP na Labour, nishaona Tory and Labour, nishaona mengi.

Life is complex.

Naweza kuwa sipendi wanayofanya CCM, halafu hapo hapo nisifurahie CCM kushindwa, nikawa natamani wangekuwa wamefanya vizuri.

Naweza kuwa napenda dhana ya upinzani, halafu nikawa sijaridhishwa na vyama vya upinzani.

Maweza kuwa siamini kuwapo kwa Mungu, halafu, nikawa napenda Rastafari.

Naweza kuwa Salman Rushdie, Muislamu nimezaliwa Mumbai lakini naikosoa Quran.

Umekataa kuzungushana.

Ukikataa kuzungushana, umekataa elimu.

Kwa sababu, hata ukitizama namba 0 to 9, au ukitazama herufi A to Z, humo mote ni mzunguko.

Nuance please.

Scholarship please.

Facts please.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu tosha hii. Kama ana akili atakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Viva Frelimo, Viva Samora Machel, Viva Mondulane.


Viva, Viva, Viva.
 

Si zinaenda India au?


Alexander The Great
 
hilo shati la kijani basi mimi hoi![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…