Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Na makamu wake itakuaje sasa!?
 
Mengi kati ya haya uliyoyaorodhesha hapa hata wakoloni waliyafanya na watu walidai uhuru.

Maendeleo ni maendeleo ya watu mkuu. Na demokrasia ni pale individual anapofeel yupo free and unharrassed kwenye nchi yake.
Watu wakiona hawako huru, na serikali haipo kwa ajili yao na haitokani na matakwa yao yaani wamepoteza yale mamlaka yanayowatambua kuwa wao ndo wenye nchi, hayo yoote uliyoyaandika hapo yanakua hayana maana kiongozi.

Utu ni kitu cha maana kuliko vitu.
 
Ulifanikiwa kurudiana na yule mwanaume aliyekuacha na mimba.?
 
Na makamu wa mwendawazimu je?
 
Wizara ya nishati imeachwa hoi, kwani iliwai kuwa imara?.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Watu wanajitoa ufahamu!!

Motive behind ya anachokisema ni unafiki tu.

Mwizi wa kura anawezaje kutufundisha juu ya kuheshimu Sanduku la kura?
 
Hii speech ukiisikiliza kwa akili sana, ina jambo kubwa sana, Kalemani na Ndungai, na Dotto James, Polepole na Bashiru walikuwa wanamsalimia mama wanapojisikia, na wanaweza hata kumpita bila salamu wanakimbia aliposimama JPM
 
The problem is, our politics are being hijacked by a comparatively small number of people who seek to dominate the debate by screaming the loudest. They see the our country as an urgent struggle between true believers and nonbelievers.
And they attempt to impose strict litmus tests and insist on conformity. They demonize dissent and consider all political opponents their enemies. Fear is their favourite tactic as they try to divide and conquer.
 
Hatutakubali kudanganywa kibwege
Ujinga ni wakati wa kwenda tu!!!

Ikiwa amedhamiria kusema Kweli aseme wazi kuwa " Ile miswada kuhusu uchaguzi iliyoletwa bungeni ni BATILI",

Na aseme wazi kuwa anaunga mkono HOJA ya Kupata Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Uchaguzi wowote.

Tofauti na hapo, ajiandae kurudi kijijini maana naye anaweza asirudi bungeni.
 
Na makamu wa mwendawazimu je?
Makamu wa Mwendawazimu lazima awe Mwendawazinu Squared.

Maana kama angekuwa ana akili timamu angejiuzulu tu asiwe Makamu wa Mwendawazimu.

Ila labda alijua methali ya Kiswahili ya "Funga kombe, mwanaharamu apite".

Sasa, mwanaharamu kapita, anakula mema ya nchi.

So, labda ni Mama Makaveli, si Mwendawazimu Squared.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…