Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Shida ni chumvi nyingi yaani dunia nzima ione mikutano, halafu wewe useme ilizuiwa kwenye uchaguzi.

Kwenye matokeo ya ubunge na udiwani sijui ingekuwaje bila ya foul za CCM kama ilivyokawaida yao.

Iła kwa Magufuli tuwe wakweli hakukuwa na wakumshinda 2020 kwenye uraisi, hata ukirudiwa kesho.
Mnajaribu kumpamba mtu wenu laki i Hesabu zinakataa.

Wanaccm makini wanajua yule Bwana hakuwa na Uwezo wa kushinda. Ndio maana yalitokea yale yaliyotokea.
 
Uko Tayari kuwa Responsible kwa hizi Kauli zako? Chunga sana Mkuu.

Usijivunie ID fake.
Acha ujinga wewe ni Bora wachache wafe ili taifa lipone mfano huyo makamba wako anafaida gn kututoa kwenye kuunga umeme Kwa elfu ishirini na Saba mpaka laki tatu na nusu na manguzo wakarudisha zile Bei za enzi ya upigaji ya mkwere? Kuna faida gani yakuwa na watu kama Hawa wasiokuwa na huruma na maskini wa nchi hii? Hawa walitakiwa wapigwe risasi hadharani sijui kwanini magufuli aliwaacha Hawa mchwa wa hili taif
 
Yaliyo pita si ndwele, tugange yajayo.

Kwa sababu huyu mama ni mwema sana anapenda maridhiano amekuja na 4R. Ongezea na viongozi wa wajuu wa CCM wanakiri hadharani kupitia makamu mwenyekiti wa CCM na katibu wa UWT na kuna mawaziri kadhaa pia wamesikika meokota kwenye mada nyingine
Kambi ya Fisi
Kabla ya Kauli zao wewe uliamini nini? Umesusa baada ya kuambiwa ukweli?
 
Huyo ni mtu mnafiki,kwa kua alikosa nafasi yoyote wakati wa JPM kwa migezo cha ufisadi wake,na anahusishwa na wengi mitaani kua ni sehemu ya kuondoka kwa JPM,so lazima achafue tu ili kujiweka sawa kwa watu ake aaminiwe,yamkini mama alisha muahidi kumuachia kijiti,so lazima abwabwaje
Hizi tuhuma una uhakika nazo? Au ni hasira tu.
 
Ukweli mchungu.
Watu wamevumilia lakini nafsi zinawasuta wanafunguka tu ado ado.
Wengine waje waseme aliyemchapa risasi Tundu Lisu, aliyemteka na kumuua kijana Saanane, aliyemteka tajiri na mlipakodi mkubwa Mo, aliyeendesha mtandao wa wasiojulikana nk.
Heri utawala ule umepotea/kupotezwa. Maana tuliishi kwa mashaka kama wakimbizi ndani ya nchi yetu.
 
Mdogo mdogo wanaanza kufunguka soon tutamjua aliyempiga Tundu Lissu risasi.
images.jpeg
 
Kwa Mimi Magufuli was one of the best President kuwahi kutokea Tanzania na wakati huo huo alikuwa Raisi wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania, sasa hayupo tena songa mbele
 
CCM wanapigana madongo kama vile huyo Magufuli hakuwa mtu wa CCM.

January anasema kweli kuhusu Magufuli, na hakuanza kuongea haya leo, tunayeongea naye tunajua.

Lakini, ukweli huu unaoonesha CCM kuwa ni chama kisicho makini. Kimempitisha mwendawazimu awe rais, halafu kikashindwa kumdhibiti.
Mwendawazimu ni mama yako.
 
Huyu ni mwizi tu na mla rushwa aliyepata nafasi za upngozi kwa jina la baba yake.

Hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi wa Taifa hili.

Taka taka wahed.
 
1. Je, wanasiasa walifungwa?

2.Je, kuna walionyang'anywa fedha?

3. Je, kuna walioharibiwa biashara zao?

4. Je, shughuli za vyama vya siasa zilizuiliwa?

5. Je, uchaguzi haukuwa na makandokando?
Yawe ya kweli, yawe ya uongo, January Makamba doesn't have the balls, hana kende, za kumkandya Pombe Magufuli, dead or alive, ndani ya mipaka ya nchi hii.... semeeni huko huko Italia!!!!

Mmekosa diplomatic agenda mnaenda kumng'ong'a Magufuli kwa Wa Italia na kumpigia kampeni Mama Samia kwa ma diaspora ambao hawapigi kura... clueless, meathead diplomats.
 
Back
Top Bottom