Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Mnajaribu kumpamba mtu wenu laki i Hesabu zinakataa.

Wanaccm makini wanajua yule Bwana hakuwa na Uwezo wa kushinda. Ndio maana yalitokea yale yaliyotokea.
 
Kila ninapofika kwenye mitambo ya uzalishaji umeme pale Rufiji napata hasira juu ya wachache waliokuwa kimbelembele kumshitaki JPM kwa mabeberu ili asjienge mradi huo

Kwa nchi kama China, tungekuwa tushawasahau hawa wapuuzi
Hii sio mada ya leo. Au kaanzishe uzi wako wa umeme
 
Uko Tayari kuwa Responsible kwa hizi Kauli zako? Chunga sana Mkuu.

Usijivunie ID fake.
 
Kabla ya Kauli zao wewe uliamini nini? Umesusa baada ya kuambiwa ukweli?
 
Hizi tuhuma una uhakika nazo? Au ni hasira tu.
 
Ukweli mchungu.
Watu wamevumilia lakini nafsi zinawasuta wanafunguka tu ado ado.
Wengine waje waseme aliyemchapa risasi Tundu Lisu, aliyemteka na kumuua kijana Saanane, aliyemteka tajiri na mlipakodi mkubwa Mo, aliyeendesha mtandao wa wasiojulikana nk.
Heri utawala ule umepotea/kupotezwa. Maana tuliishi kwa mashaka kama wakimbizi ndani ya nchi yetu.
 
Kwa Mimi Magufuli was one of the best President kuwahi kutokea Tanzania na wakati huo huo alikuwa Raisi wa hovyo sana kuwahi kutokea Tanzania, sasa hayupo tena songa mbele
 
Mwendawazimu ni mama yako.
 
Huyu ni mwizi tu na mla rushwa aliyepata nafasi za upngozi kwa jina la baba yake.

Hana uwezo wowote wa kuwa kiongozi wa Taifa hili.

Taka taka wahed.
 
1. Je, wanasiasa walifungwa?

2.Je, kuna walionyang'anywa fedha?

3. Je, kuna walioharibiwa biashara zao?

4. Je, shughuli za vyama vya siasa zilizuiliwa?

5. Je, uchaguzi haukuwa na makandokando?
Yawe ya kweli, yawe ya uongo, January Makamba doesn't have the balls, hana kende, za kumkandya Pombe Magufuli, dead or alive, ndani ya mipaka ya nchi hii.... semeeni huko huko Italia!!!!

Mmekosa diplomatic agenda mnaenda kumng'ong'a Magufuli kwa Wa Italia na kumpigia kampeni Mama Samia kwa ma diaspora ambao hawapigi kura... clueless, meathead diplomats.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…