Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Januari Makamba adai uchaguzi wa 2020 ulitugawa, watu walifungwa, walinyang'anywa pesa, na waliharibiwa biashara zao

Wanao msikiliza na kukubaliana na anachongea kipara ngwidu ni wendawazimu kama yeye tuu, na hapo bado wataendelea kuteseka na nguvu ya marehemu hadi mwisho wao
 
Natafakari tu maana mambo mengine huja kama Muujiza

Kama 2020 Uchaguzi haukuwa Huru na Haki na Jaji mkuu ameshafikisha muda wake wa kustaafu, tutampata wapi sisi mtu ambaye Mungu wa mbinguni anakaa ndani yake?

Yawezekana maneno yale hajanena Makamba bali ni Roho Mtakatifu

Nawatakieni Sabato Njema 😄🔥
 
Jiwe alikuwa mshenzi sana. Asante mhe. January Makamba kwa kulisema hili ili dunia ijue. Na January ndiyo mwanaccm pekee uliyebakia kuwa na akili.

Mhe. January Makamba naomba uende mbali zaidi, kwa kuitaka serikali kifuta kumbukumbu zote za serikali zinazomtambua jiwe kama mmoja wa watu waliowahi kuwa marais nchi hii.
jiwe ni mshenzi ikiwezekana kaburi lake pia ling'olewe litupweee kusikojulikana
 
Na January ndiyo mwanaccm pekee uliyebakia kuwa na akili.

Hahaha ila watanganyika mna unafiki Sana, Leo jamaa Kawa mtu mwenye akili tena, si juzi tu mlikuwa mkitukana kuwa kilaza alipokuwa wizara ya nishati hapo.
 
That last "chuckle" of Makamba says a lot about him and his brain...look at his posture and body movements he typical genuinely liar of all time, how the heck not to speak about important things and choose that kind of speech. We have long way to go as country.

Mpaka Mama kugeuka kwake Aliona anaenda kuharibu cause of his fractured brain 🤣🤣🤣

Angepewa dakika haki vile angetoa utmbo zaidi 🤣🤣🤣🤣
You hate the Truth
 
Natafakari tu maana mambo mengine huja kama Muujiza

Kama 2020 Uchaguzi haukuwa Huru na Haki na Jaji mkuu ameshafikisha muda wake wa kustaafu, tutampata wapi sisi mtu ambaye Mungu wa mbinguni anakaa ndani yake?

Yawezekana maneno yale hajanena Makamba bali ni Roho Mtakatifu

Nawatakieni Sabato Njema 😄🔥
Sabato iliyo kuu na njema ni jumapili aliyoinuka kutoka katika wafu na kuokoa ng'ombe aliyezama kisimani.Hiyo ingine waulizwe wayahudi.
 
Makamba Yuko Sawa kabisa
 
Stieggler Ile pale 2225MW - tunaweza kusahau kabisa shida ya umeme tukitumia akili.
Tanzania ya viwanda na kuhamasisha uwekezaji wa viwanda - Sasa hivi wote tumerudi kwenye uchuuzi.
Daraja la juu pale busisi - Mwanza.
Ujenzi wa reli ya kisasa Dar - Mwanza.
Kuifanya shillingi kuwa stable - Sasa hivi shillingi Kila siku inayumba.
Kuleta nidhamu ya utendaji serikali.
Kulifufua shirika la ndege lililokufa.
Kuboresha usafiri ziwa Victoria.
Kufanya watu waiogope na kuiheshimu dola.
Ujenzi wa miundombinu Kila Kona ya nchi.
Ujenzi wa masoko ya kisasa maeneo mbalimbali.
Ujenzi wa hospitali za rufaa Kila mkoa.
Kuboresha huduma za afya Kwa kununua vifaa vya kisasa (VP MRI nzima pale Muhimbili?).
Kujenga smelter ya Dhahabu pale Mwanza.
BOT kuanza kununua dhahabu na kuweka reserve ( Vipi ile reserve bado IPO?).
Kudhibiti utoroshwaji wa madini.
Kuruhusu wachimbaji wadogo wadogo kupewa maeneo na kuchimba ( Sasa magiants wameanza kuhodhi maeneo na kufanya udalali Kwa Wazungu na wachina).
Kudhibiti matumizi ya hovyo ya serikali ( watu wanapishana angani tu Sasa hivi, na mijengo wananunua).

HAYO YOTE NDANI YA MIAKA SITA.
HATUTAKI BLAH BLAH TUNATAKA MATOKEO CHANYA.
Vitu vua kawaida sana kufanywa hivyo na ndiyo kazi ya Rais yeyote. Kwa tuliokuwa na ufahamu ambao tumeziona awamu zote 6 kuanzia Nyerere hatuoni ajabu kwenye hizo kazi alizoanzisha DIKTETA.

Lakini kukamilisha hayo siyo lazima uue watu, uibe fedha zao na kuwatupa kwenye magereza.
 
Huyu uwezo kichwani hamna anabebwa na Jina la Mzee wake. Wao ni Wazuri hawafi, lkn cha ajabu wanaendelea kugombana na Kivuli cha mfu JPM.
Imekuuma, mnataka ujinga wa Magufuli ufunikwefunikwe tuuuu pumbavu zenu
 
Back
Top Bottom