Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Huyu jamaa hana chochote alichowahi kukifanya au hata kukisema tu cha kuonyesha kuwa anafaa kuwa rais. Kazi yake ni kupiga picha huku ameiga mapozi ya Obama. Hafai kabisa. Hata ubunge hafai. Hata uwaziri hafai.Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Na yeye mtampa sumu ya kumnyong'onyesha mdogo mdogo kama ilivyokuwa kwa marehemu?Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Mambo hayako sawa huko, huoni hadi watu wanavurumusha matusindo mlezi wake Toka mdogo hapo IKULU ila mzee wa msoga labda asiwepo
Hapana, sipendi kabisa. Ni viatu vizito hvyo, mimi sitoshi.Na wewe hupend kuwa raisi.......au
Mwenyewe anfikiri, kama ukichagua bora 3 katika kugombea urais wa TZ na ukalikosa jina lake ujue umekosea.Huyu jamaa hana chochote alichowahi kukifanya au hata kukisema tu cha kuonyesha kuwa anafaa kuwa rais. Kazi yake ni kupiga picha huku ameiga mapozi ya Obama. Hafai kabisa. Hata ubunge hafai. Hata uwaziri hafai.
Hapana hakuna haja, ila wananchi ndio watamtosa.Na yeye mtampa sumu ya kumnyong'onyesha mdogo mdogo kama ilivyokuwa kwa marehemu?
Bora iwe hivyo maana haya mambo ya kulambisha sumu siyo poa kabisa.Hapana hakuna haja, ila wananchi ndio watamtosa.
Lowassa alikua na watu!Sio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Sukuma gang mna gubu sana; Jaribio lenu katika uongozi wa nchi hii lilikufa na kuzikwa rasmi March 17, 2021. Acheni ujingaSio siri kuwa shauku ya mh Januari Makamba kuutaka urais ni kubwa sana pengine zaidi ya ile shauku ya mh Lowasa. Lakini kwa bahati mbaya mapito yake hayatatofautina na yale ya Mh Lowasa...
Kwa bahati mbaya mwenyewe hatambui kuwa hana uwezo wa kuvaa viatu hivyo. Mbaya zaidi alihakikishiwa na Mzee wake kuwa wao ndio waliokishika chama na Mzee huyo alijitahidi kumkuza mwanae kisiasa kwa malengo hayo.Yupo too desperate, je ana uwezo wa kuwa raisi?
Ndio maana anajitahaidi kukusanya mali ili apanue wigo wake. Kwa bahati mbaya amekosa mbinu sahihi za kuwafikia watu. Pengine alifikiri jina la baba yake lingempaisha juu.Tofauti kubwa ni kwamba Lowassa alikuwa na watu na alikuwa na uwezo. January hata hapo ndani ya chama akisimamishwa na mgeni Josephat Gwajima bado hawezi kumshinda Gwajima.
Jamani! Sukuma gang halipo. Na hata kama lingekuwepo sio tatizo kabisa katika nchi hii. Tatizo ni baadhi ya wanasiasa wanaofikiri kuwa toka wazaliwe tayari walishakuwa viongozi.Sukuma gang mna gubu sana; Jaribio lenu katika uongozi wa nchi hii lilikufa na kuzikwa rasmi March 17, 2021. Acheni ujinga