Januari Makamba: Wanaohoji kuchelewa Mradi wa JNHPP ni upuuzi tu

Sawa, ila hapa umenistua tena....umaarufu wa Makamba, mtu aliyeingia hadi 5 bora ktk kinyang'anyiro cha mbio za urais 2015 umetokana JPM?!!! Kweli mdau?!!!!!
 
Ungekaa kimya tu maana hata kutetea mtu hujui utamharibia kabisa. Hoja ya msingi ya wakosoaji wa waziri ni namna gani anavyotumia muda kumkosoa JPM na anataka kujiona yupo juu yake na kinachomuumiza ni kuambiwa ukweli angekuwepo JPM hilo bwawa lingekamilika.

Tufike mahali tukiri JPM alikuwa chuma kwelikweli na Mhe. Makamba siku akikiri uwezo wa JPM mambo mengi yatamnyookea. Waziri anajisikia vibaya kuona bado JPM anasimama kumtazama
 
Mchezo wa siasa hautaki hasira!
 
Sawa, ila hapa umenistua tena....umaarufu wa Makamba, mtu aliyeingia hadi 5 bora ktk kinyang'anyiro cha mbio za urais 2015 umetokana JPM?!!! Kweli mdau?!!!!!
Kwenye zile mbio za 2015 hali ilikuwa hivi:
1. Asha rose migiri na Balozi Amina waliwekwa kuwakilisha kundi la wanawake na walikuwa wawili kubalance jinsia.

2. January aliwakilisha kundi la vijana lakini unaamini January alikuwa na uwezo kuliko Mwigulu aliyekuwa NKM wa CCM? Jibu ni hapana ila alipitishwa kwa Sababu ya mzee wake( naomba nisiende mbali zaidi)

3. Membe aliwakilisha kundi la watu wazima

4. JPM aliwakilisha makundi yote hapo juu na ndo ikawa rahisi kwake kupita wengine. Wakinamama walikuwa wanamkubali, vijana ndio usiseme na wazee acha kabisa
 
Ningekuwa mimi ndio Makamba ningemtaka mmja wao aje awe Waziri na atoe commitment ya kukamilika kwa mwaka mmja,akishindwa tuu jela..
Mpuuzi akiwa kazini. Vikikamilika ni kusifu tu, imekwama unaweka usanii. Makamba ni nani kwenye kuteua mawaziri hadi amtake mmoja wao aje kuwa waziri?
 
Acha uongo.
Mradi wenyewe wa SGR ulichelewa kukamilika hata kabla JPM hajafa, licha ya ahadi za hapa na mbinguni.
Na hata leo umechelewa , sasa tuambie muujiza ambao ungemfanya JPM amalize huo mradi wa umeme wakati huu wa SGR ulishampelkamputa.
 
Kweli. Unajua sukuma gang ndiyo midomo juu sana
Ukikosa jinsia hili ndo tatizo. Watu wanajadili kauli ya kiongozi we unaweka unazi wako. Kwa hiyo ulitaka wote wafurahie kauli hiyo kwa maslahi ya nchi? Yeye ndo waziri tu? Why anahojiwa sana? Kama anahojiwa sana basi ajue kuna mahali ametoboka ajiangalie siyo kutafuta huruma eti mniue. Si aachie ngazi kuliko kusema auawe.
 
Labda utuletee hapa hayo mashambulizi yasiyoisha ya makamba kwa jpm mnayoyasema....
Nawe kaa kimya tu maana watu wenye akili wanajua kuwa 'ishu' hapo si kumsema jpm (mnajua hilo halipo) ila ni wivu na chuki zenu za kijinga kwa huyo kijana mwenzenu aliyewazidi kila kitu..
Eti 'angekuwa jpm hilo bwana lingekamilika', kwani umeambiwa halitokamilika?!! Au kwenu kukamilika ni kupiga mapicha na makelele kila siku katika media?!!! Yeye alikiendesha kila kitu kilichoanzishwa na wenzake km kwa mwendo uleule? Hakubadilisha alipoina inafaa kufanya hivyo?!!!

Huo uchuma wa mpaka kumwita 'mungu' na kuwa watu waliotekeka akili hadi kumuabudu na kuamini hakuna tena mwingine na hatotokea aminini wenyewe mlioamua kuwa wafuasi........sisi wengine tunaangalia kila mtu ktk ubinadamu waje; zuri tunapongeza, baya tunaponda!
 
Huyu dogo kalewa Sifa. Kisa mtoto wa Makamba. Na ile no 2 ili mlewesha sana
 
Sawa, ila hapa umenistua tena....umaarufu wa Makamba, mtu aliyeingia hadi 5 bora ktk kinyang'anyiro cha mbio za urais 2015 umetokana JPM?!!! Kweli mdau?!!!!!
Ni kwa sababu aling’ara miongoni mwa wagombea ambao moja wapo alikuja kuwa rais na kizuri aliaminiwa na Dkt Magufuli mpaka kupewa kuongoza wizara. Baadaye huyo huyo kaanza fitina wizi (mfano kuna kipindi Dkt Magufuli alisafiri, Makamba kupitia makundi yake ya kifisadi wakataka kuiba kiasi kikubwa cha hela) na hapo uaminifu wake kwa Dkt Magufuli ukaisha kabisa. Kwa hiyo umaarufu wake ulitokana na Dkt Magufuli, hata Nape hivyo hivyo
 
Nguchiro bhana. Form 1 ndo mhimu kuliko watumia nishati ya mkaa? Huyo form 1 atasoma vipi giza limetawala? Anatafuta kuni ili apikiwe msosi? Kila kitu kina umhimu wake ndo maana kikawekwa km mradi wa kimkakati. Akili zake ulizipima ukamkuta na IQ ya ngapi? Au unaipima kwa division 1 ambayo watu walikuwa wakilala na pepa wiki moja kabla ya mtihani? Akili sana ushindwe kujibu hoja ukalie kutafuta huruma eti mniue. Angetuma barua ya kuachia madaraka kuliko kujibu km mtoto.
 
Kitu pekee alichonacho huyu pimbi ni entitlement mentality. Hana sifa za kuongoza wizara muhimu kama hii. Yeye na mteuaji wake wote hawatoshi kwa hizo nafasi wanazozishikilia!
Kichwa lake limejaa ujinga na upumbavu! Hata aliyemteua anashangaza kweli! Yaani kamati ya binge kuhoji kuchelewa kwa bwawa na Nyerere ni upuuzi!? Very stupid minister!
 
Kauli kama hizi utazikuta uswahilini. Waziri mwenye dhamana badala ya kutetea hoja zake kama ziko imara, anaingiza masuala ya mauaji tena.
 

Kumbe Magufuli kuna wakati alikuwa sahihi kuweka kando hawa jamaa.

Jamaa kanaonekana kiburi na kajivuni, kanaamini kana akili sana hakapaswi kuulizwa wala kuhojiwa lolote
 
Uncle Magu alipokuwa karibu kufa alikuwa anasema sana kuhusu KUFA.

Marope naye ameanza kukiita KIFO, anakiona kinakuja.

Kaa pembeni mapema kama mgogo, utaondoka Kweli, hapo Si saizi Yako.

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…