January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

Maneno mengi mno, lakini bado umetembea na beat, nimekwambia kiongozi wa kutengenezwa ni kiongozi wa michongo, ndio maana umetolea mifano yako kwa kocha wa Chelsea licha ya kipaji alichonacho wakaona potential alizo nazo wakampa training kwendana na wakati kwasababu kipaji hakifundishwi bali kinajengewa misingi ya kuendelea kuwepo. Ndio maana wakamtenfenezea misingi yao ili michongo yao iende.

Lakini ukiangalia kwa huyo bwana makamba hana kipaji zaidi zaidi ana tamaa ambapo kupitia tamaa alitengenezwa kuja kuwa futa makalio wale waliomfundisha. Aliwatumia then now nae ana tumiwa.
 

Unajuaji kama huyu ana kipaji cha uongozi na yule hana...
 
Alipenya 5 bora sababu ya mbeleko ya mwenyekiti wa wakati huo JK.
Katika ile 5 bora Kama wangefuata kura, hakuna ambae angeweza kumshinda Lowassa.
 
Wivu tu
 
Unajuaji kama huyu ana kipaji cha uongozi na yule hana...
Kupitia sifa za kuwa kiongozi (sio zile zilizoandikwa kwenye description za kidunia).

1. Courtesy (Adabu)
2.Generosity (Ukarimu)
3. Humility (unyenyekevu
4.Empathy (Huruma)
5.Courage (ujasiri)
6.consideration (uzingatiaji)
7.Compassion
8.integrity (uadilifu)
9.Civility (ustaarabu)
10.Contrition (kutubu/kukili au kukubali kwamba umekosea)

Hizo ndio sifa za kiongozi kwa uasili, hivyo vitu havifundishwi darasani.
 
Acha wivu wewe sukuma gang. Makamba siyo nyaya za umeme . Hata useme nini Makamba is there to stay. Sukuma gang tupa kule

Mitambo imeharibiwa na yule jini wenu aliyelazimisha mitambo kufanya kazi bila ya matengenezo.

Basi mitambo ilijua sana kumtii JPM
Kama aliamuru ifanye kazi bila kupumzika na kufanikiwa, lakini baada ya kufariki ikaanza kusumbua.

Lakini kuchukua kila kitu unachoambiwa bila kuruhusu akili zetu kufanya kazi kwa usahihi ni janga kubwa kuliko kuwa chawa wa mtu.
 
Alipenya 5 bora sababu ya mbeleko ya mwenyekiti wa wakati huo JK.
Katika ile 5 bora Kama wangefuata kura, hakuna ambae angeweza kumshinda Lowassa.
Nakuelewa sana na nakumbuka namna Mkiti wa vikao alivyotokea na majina 5 kwenye CC-CCM na akina Nchimbi Sofia na Kimbisa wakachachamaa kweli mpaka kuongoza wimbo wa kuwa na imani na EL kwenye kikao cha NEC-CCM 2015.

Hivi, EL alikuwa anakubalika sanaaa ila ni kama pochi na bahasha za wajumbe zilikuwa factor kubwa pia.

Maana baada ya uchaguzi zile harambee za kuchangia maendeleo zilikoma, kwanini zilikoma. Na kama EL angepenya what could have been landmark kwake?

Tuki=paint picha, angekuwa na landmark gani mpaka sana mzee wetu yule.

By the way, ile ahadi aliyomwambia Zuhra kupitia mahojiano yake na BBC kuwa ataenda kuchunga ng'ombe, mbona hatujaona hata picha moja akilisha mifugo??
 
Waziri hamna, nilipo muona hajui kabisa yaani mweupe katika sekta ya nishati aliposema "zamani kulikuwa hamna mgao sababu mitambo ilikuwa haifanyiwi Schedule Maintenance......".

Yaani kwa hii sababu waziri wako ni mweupeeeeee katika maswala ya nishati najua ww unampenda,ila fanya demonstration kama una generator lako usilifanyie service kwa miezi kazaa, halafu utaona kama hujaliuza skrepa.

WAZIRI WAKO KIAZI HANA ANACHOKIJUA.
 
Acha wivu wewe sukuma gang. Makamba siyo nyaya za umeme . Hata useme nini Makamba is there to stay. Sukuma gang tupa kule

Mitambo imeharibiwa na yule jini wenu aliyelazimisha mitambo kufanya kazi bila ya matengenezo.
Acha kuandika ujinga mkuu....

Marekani wanafanya matengenezo ya mitambo na umeme haujawahi kukatika..

Hapo Malawi tu umeme kukata ni ndoto....kwani wao hawafanyi marekebisho??
 
Huku hapawezi kabisa
 
Januari is probably a hand of invisible corrupt forces, maana scenario ya matukio mhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…