January Makamba ni tatizo linalohitaji kushughulikiwa haraka sana

Mkuu hawezi kumtoa. Reason being aliwekwa hapo kwa maksudi anayoyajua yeye mwenyewe SSH likiwepo kusudi moja. Kumkomoa Marehemu JPM. Acha tukae gizani aone pengine some senses might prevail on her.
 
Acha wivu wewe sukuma gang. Makamba siyo nyaya za umeme . Hata useme nini Makamba is there to stay. Sukuma gang tupa kule

Mitambo imeharibiwa na yule jini wenu aliyelazimisha mitambo kufanya kazi bila ya matengenezo.
Si kila mtu akitoa mawazo tofauti na yako unamwita sijui Gang gani. You are Short sighted fella!!
 
Acha wivu wewe sukuma gang. Makamba siyo nyaya za umeme . Hata useme nini Makamba is there to stay. Sukuma gang tupa kule

Mitambo imeharibiwa na yule jini wenu aliyelazimisha mitambo kufanya kazi bila ya matengenezo.
Labda hujui tu kuwa wakati wa matengenezo (maintenance)kuna kitu kinaitwa standby huwashwa hilo la kuzima kabisa ni kutojari tu.
 
Unajua utetezi huu hauna msingi, kama ndivyo kwanini asingeachwa huyo aliyekuwepo ili ajibu kwanini hakufanya matengenezo na pengine angeshitakiwa yeye kama kwakuhujumu taifa?
 
Labda hujui tu kuwa wakati wa matengenezo (maintenance)kuna kitu kinaitwa standby huwashwa hilo la kuzima kabisa ni kutojari tu.
Si ndo hapo unajiuliza ingekuwa kila ukifanya maintenance unazima. Nchi zenye viwanda vikubwa zingefikaje pale zilipo leo.
 
Si kila mtu akitoa mawazo tofauti na yako unamwita sijui Gang gani. You are Short sighted fella!!
Kama haya ndiyo mawazo na hekima za long sighted basi short sighted nina nafuu kubwa.

Long sighted anakomaa na waziri badala ya kukomaa na tatizo na mzizi wake??

Sasa Kama unam-attack waziri bila kuja na facts ni kwa jinsi gani kuja kwake kumesababisha mgao tukuite nani kama siyo sukuma gang?

Unaposema ujio wa Makamba umesababisha mgao maana yake uwepo wa yule msukuma wenu (Kalemani) ulifanya umeme usigawiwe!!.

Kalemani aliondoka na transformers, nyaya na wafanyakazi wa Tanesco?

Long sighted nendeni mkajipange upya kupangua hoja za mm short sighted
 
Haya umesikika mkuu.
 
Mgao ni nchi nzima ... hata wewe utakuathiri tu. It will rain ☔️ for all of us
Hakuna mgao uliotangazwa ni chuki zako tu za usukuma gang. Wamesema wanaboresha grid ya taifa kwa kuingiza megawats 350 toka Kinyerezi 2. Hii itachukuwa siku kumi tu
 
Huwezi tatua tatizo kwa akili ya kulazimisha.Galanos alilazimisha kufaulu,leo Wizara ataimudu? Eti naye presidential material wa ccm!
 
Mbona waziri wako Makamba mwenyewe alikiri "zamani kulikuwa HAMNA MGAO sababu walikuwa HAWAFANYI SCHEDULE MAINTENANCE........." sawasawa na kusema mpaka mitambo ilikuwa inamuogopa mwendazake.
 
Nimeangalia tumbua nyingi za mara hii watoto wa Mohamed hawatumbuliwi mara nyingi huhamishwa tu
 
Ukweli tuuseme tu, Makamba ni mpiga deal kwa 100%. Matatizo ya umeme ni fursa kwa Makamba na genge lake la Msoga. Kazi kuu aliyepewa Makamba ni kutengeneza tatizo kwenye mambo ya nishati huku msoga gang wakiwa standby kuja na suluhisho waliloandaa tayari. Ndio michezo ya kiCCM toka tupate uhuru.

Haya mambo hapa Tz hayataisha milele mpaka siku tumepata katiba mpya na CCM imetolewa madarakani.
 
Nimekuwa na wasiwasi mkubwa sana, kwa haya majibu..., inadhiisha kweli kwamba umeshindwa vibaya sana kwenye hii department..
You have to accept the reality of
the problem, then tuangalie how.. to solve it.
Tanzania ni Taifa kubwa kana watu wengi, wenye weledi wakutosha.
Ukishindwa wapishe wengine wafanye kwa weledi..
 
Labda niweke hoja yangu kwa ufupi Sana ili unielewe.

Nataka uweke hapa maelezo yenye kujitosheleza kwa ushahidi namna Makamba alivyosababisha mgao wa umeme. Yaani wafanyakazi wa Tanesco wale wale, nyaya za umeme zile zile, na transformers zile zile lkn alipoingia Makamba tu kuwa waziri eti mgao wa umeme aunzishe.
 
Eti watu wa kuzuka
 
Wamerudi kulipiza kisasi ws hujui tu ndio visasi vyenyewe yani toka juu had chini wanalipa visasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…