Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Hapa mtu kaguswa pabaya🤣Otieno ni jina la kijaluo
Wajaluo wapo kenya tu?
Ukikosa akili unakuwa mjinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa mtu kaguswa pabaya🤣Otieno ni jina la kijaluo
Wajaluo wapo kenya tu?
Ukikosa akili unakuwa mjinga
Bado upo CHOONI?Japhet jela inakuita.
Otieno wajaluoMartin Otieno si mkenya huyo? Au ndio wale waliosemwa kuwa na nafasi za juu na wafanya maamuzi Serikalini? [emoji15]
Nani kakuambia hata Sudan wako wajaluo,na huko ndiko chumbiko laoWajaluo kwao ni Kenya,tena Kisumu...specifically, usilazimishe! Huyo jamaa yako Otieno ni mkenya... Arudi kwao tu, mbona Kenya kuna Polisi pia?
Huko hakuna maslahi kama hapo alipo cwt maana kunamipesa mingi mingi,michango ya walimu tenaAlikataa UTEUZI huyu siyo?
Mtani wa muhaya ni mjaluoRubbish! Hebu toa uthibitisho wa kuwa wajaluo asili yao iko Tanzania.
Mkuu unless uwe unamfahamu Kwa undani zaid ila Martin Otieno ni jina la kijaluo na wajaluo ni wenyeji wa wilaya ya rorya hasa shirati,utegi na maeneo mengine ya rorya. Ebu justify hapa hayo madai yako.Huu ni mjadala mpana ambao tena ni wa kitaifa na bado umenajisiwa kwa muda mrefu, badala ya kuhoji ametanguliza matusi... Niambie kama Verified member hapataswi kujibu mapigo?.
Otieno ni jina au ubini wa wajaluo ambao wanapatikana Kisumu zaidi lakini kusini magharibi mwa Kenya. Ushahidi ulioutoa kwa mifano kwa watu uliowahisi kuwa warundi hauna tofauti na kumhoji Otieno aliyepo Tanzania kwa kuwa kuna County nchini kenya inayofahamika kama eneo lenye idadi kubwa ya wajaluo tena wenye ardhi na urithi wao, kuwepo Tanzania au Uganda bado hakuhalalishi kuwa watanzania mpaka point iliyopo hapo juu itekelezwe.So we acha tu uhamiaji wafanye kazi yao.
Ana ubishi wa kijinga,Ila Jafe mbishi sana huyu jamaa!
😂😂👋👋Huu ni mjadala mpana ambao tena ni wa kitaifa na bado umenajisiwa kwa muda mrefu, badala ya kuhoji ametanguliza matusi... Niambie kama Verified member hapataswi kujibu mapigo?.
Kwahiyo wewe ni afisa wa uhamiaji mpaka useme Otieno arudi kwao Kenya?Otieno ni jina au ubini wa wajaluo ambao wanapatikana Kisumu zaidi lakini kusini magharibi mwa Kenya. Ushahidi ulioutoa kwa mifano kwa watu uliowahisi kuwa warundi hauna tofauti na kumhoji Otieno aliyepo Tanzania kwa kuwa kuna Count nchini kenya inayofahamika kama eneo lenye idadi kubwa ya wajaluo tena wenye ardhi na urithi wao, kuwepo Tanzania au Uganda bado hakuhalalishi kuwa watanzania mpaka point iliyopo hapo juu itekelezwe.
Jaluo wa Tarime huyoMartin Otieno si mkenya huyo? Au ndio wale waliosemwa kuwa na nafasi za juu na wafanya maamuzi Serikalini? 😳
Huu ni mjadala ambao unajadiliwa mara kwa mara humu na una dalili za ndimi mbili. vigezo vya majina na ubini ndivyo vinavyotumiwa na Jeshi letu la uhamiaji kuwanyanyasa watu wa mipakani hasa mikoa ya Kigoma na Kagera. Majina ya Otieno asili yake ni Kisumu Kenya, Kwa nini mtu anaanzisha matusi humu badala ya kujadili hoja? Kwa nini kuwe na double standards huku raia wa mipaka na Kenya, Mbeya,Ruvuma, au Zanzibar wasiguswe?Ukikosolewa kubali. Ulibugi stepu pale uliposema kwa sababu ana jina la Otieno basi ni mkenya. Hukufikiria sawasawa. Jina haliwezi kuonyesha utaifa wa mtu. Tuna watanzania wanaoitwa Mackenzie na siyo watu wa Ulaya. Otieno Tanzania wapo wengi.
Hawa watu wa ccm na madaraka ni kama wamelogwa.KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga, na wenzake 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya fujo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la chama hicho wakati wakipitisha bajeti ya mwaka.
Tukio hilo lilitokea baada ya baraza hilo kuazimia kumsimamisha kazi Maganga kutokana na kupoteza sifa baada ya kufukuzwa kazi na mwajiri wake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha kukumatwa kwa kiongozi huyo pamoja na wenzake wakati wa mkutano huo.
“Tulipata taarifa kuwa kuna watu wanafanya fujo tukaenda kudhibiti kabla hayajatokea madhara. Kwenye mkutano huo sisi hatufahamu ilikuwaje zikatokea fujo. Ukitaka kufahamu zaidi waulizwe CWT wenyewe,” amesema Kamanda Otieno.
Source - Nipashe
Hilo nimemjibu aliyeanza kunitusi kwa kuhoji tu kuwa : Otieno si majina ya Kenya haya?... Hivi kulikuwa na sababu ya kuhamaki zaidi ya kujadili kwa hoja? Mimi sio afisa uhamiaji lakini naona na kusikia kauli kama niliyoitoa ikitolewa na watu humu, ikiwalenga watu wa Kigoma zaidi.Kwahiyo wewe ni afisa wa uhamiaji mpaka useme Otieno arudi kwao Kenya?
Ukishajambiana na CCM wewe kaza wala usirudi nyuma.KATIBU Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga, na wenzake 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kufanya fujo kwenye mkutano wa Baraza Kuu la chama hicho wakati wakipitisha bajeti ya mwaka.
Tukio hilo lilitokea baada ya baraza hilo kuazimia kumsimamisha kazi Maganga kutokana na kupoteza sifa baada ya kufukuzwa kazi na mwajiri wake.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Martin Otieno, amethibitisha kukumatwa kwa kiongozi huyo pamoja na wenzake wakati wa mkutano huo.
“Tulipata taarifa kuwa kuna watu wanafanya fujo tukaenda kudhibiti kabla hayajatokea madhara. Kwenye mkutano huo sisi hatufahamu ilikuwaje zikatokea fujo. Ukitaka kufahamu zaidi waulizwe CWT wenyewe,” amesema Kamanda Otieno.
Source - Nipashe
Hatujamsahau alivokataa uteuziNdege mjanja hunasa kwenye tundu bovu
Wajaluo wako Kisumu Kenya, hapa ndipo waliposettle na kutwaa ardhi. Hata wakitaka kujitenga eneo lao ni Kisumu, sio Mara wala Busia...Mjadala wako ni kuwa wajaluo wote waliopo Tanzania ni wageni? Punguza ujuaji mkuu.
![]()
Luo people - Wikipedia
en.wikipedia.org