Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe umeandika matukio ya upande mmoja, bt kiuhalisia sisi wanaume ndo tunaongoza kuwapiga matukio wanawake huko ndoani.
Ukweli hata wanawake wenyewe watakushangaa sana mkuu.

Ukikaa na mama Yako ukamwambia habari za wanawake atakwambia mwanamke sio ndg Yako!! Hapo ndo utapaswa ujiulize zaidi kwanini aseme hivyo Ili Hali hata yeye ni mwanamke?

Huo ni ujumbe mkubwa sana. Ukisema wanaume tunaongoza sio kweli. Wapi umesikia mwanamke kajinyonga kisa Mme wake kauza kiwanja au kamaliza Hela Kwa umalaya?

Nashindwa hata kukuelezea zaidi mkuu. Inshort hata vitabu vya dini zote mbili vimetuambia kuwa makini na Hawa viumbe vingine vikaenda mbali sana na kusema hapaswi amuongoze mwanaume wee unafikiri wote hao waliwasingizia?
 
Mada yako nzuri bt imekaa kishabiki zaidi ya uhalisia.
Uhalisia ndo huo tangu kuubwa Kwa ulimwengu Hadi Leo.

Mkuu hapa Tanzania tu
Angalia wajane wengi ni wanawake wanaume wagane ni wachache mno
Hiyo itakupa takwimu za wazi kuwa wanaume wanakufa mapema

Nyerere Leo ana miaka25+ tangu afariki mke wake yupo anadunda tu! Hata huko Kwa karume halikadharika!

Achilia mbali Mugabe,Mandela,mkapa mwinyi na JPM wote hao Kwa uchache sana ni walishatangulia mbele za haki
 
Je, wanawake waliotapeliwa mali walizochuma na wake zao, mbona hawafi?
 
Je, wanawake waliotapeliwa mali walizochuma na wake zao, mbona hawafi?
Hakuna Mali inayochumwa na mwanamke. Hela ya mwanamke siku zote ni yake pekee yake hata akikupa utairejesha tu. Tofauti na hapo wewe utakuwa unaishi sayari nyingine.

Hii sentence ya "Mali zilizochumwa" ndo imetufikisha hapa tulipo. Na ukiuliza mlichuma nae vipi ataambiwa Mimi nilikuwa namfulia nguo na kumpikia na kumpa maji ya kuoga akitoka kazini nilimkuta Hana kitu nk sababu ambazo hazina mashiko. Kwahiyo nikipeleka nguo Kwa dobi chakula nikala Kwa mama ntilie siwezi kuwa na Mali?

Ama nao watahitaji mgao kipindi wakinihudumia na kuoa Mali ?
Hizi 50-50 zitatutesa sna na migogoro imeanzia hapo na Bado.
 
Wanawake ni silent killers kama si kwa maneno basi kwa vitendo ila atakuua vibaya sana hasa anapohisi nguvu zimekuisha na huwezi ku provide au kumlinda
Ishi nae kwa akili sana tena akili kubwa
Na hapo hapo mwanamke ni kiumbe mwenye huruma...ukiishi nae kwa upendo kutomuumiza na kumjali atakulea na kukutunza mpk mwisho
 
Na hapo hapo mwanamke ni kiumbe mwenye huruma...ukiishi nae kwa upendo kutomuumiza na kumjali atakulea na kukutunza mpk mwisho
Sahau. Hapo hapo wenyewe wanasema wanawake hawapendi mwanaume dhaifu wanapenda kashikashi huruma huruma hawaihitaji. Ukiwa mbabe watasema we mkoroni nk. Ukimpa muda wa kutosha anakuona huna mambo kazi za kufanya wanaume wenzio wakitoka kazini wanaenda kwenye kazi zao zaida. Ukiwa na busy na kazi humpendi humjari. Hivi mkuu huwajui wanawake wewe?

Wanasaikolojia wote wanakwambia hata mwanamke mwenyewe hajui Nini anahitaji kutoka Kwa mwanaume.

Kuna mtu maarufu aliwahi achwa na mke wake wa ndoa kisa tangu waoane yule mwanaume hakuwa kuchepuka. Mwanamke alifanya Kila njia za kutrck mawasiliano ya Mme wake lakini hakupata viashiria vyovyote vya mwanaume kuchepuka akaamua ampige chini pamoja na umaarufu wake!


Dada yangu alimuacha Mme wake kisa tu Mme hajawahi mwambia analipwa sh ngapi Kwa mwezi licha kupewa Kila mwezi m3 za kwakwe na gari ya kutembelea anayo na wamezaa na jamaa mtoto1

Hata sisi tulishindwa tuanzie wapi ku solve hili!!
 
Wanawake ni laana , nuksi msichokijua... Pia acheni kuoa wanawake wasio na akili msipagawe na mionekano wakat kichwan mwao ni mabango lala wazee wangu
 
Wanawake ni laana , nuksi msichokijua... Pia acheni kuoa wanawake wasio na akili msipagawe na mionekano wakat kichwan ni mabango lala wazee wangu
 
Kuna kisa cha jirani yetu pia huku mbez alikua ni mwanajeshi kaoa mwanamke asie na akili kisha kumfanyia mama wa nyumbn, kamfanyia vitimbi mumewe hd jamaa akajiua siku hyo ndani kwake kwa kujichanja mishipa ya kwenye mkono
 
Wanawake hawajidhuru tukiwapiga matukio coz ni wastahmilivu zaidi kuliko sisi.

Wanavumilia kero zetu za ulevi, michepuko ya wazi, watoto wa nje bt sie kwa kero hizo hatuwezi wavumilia hata kidogo.
Sasa mkuu kama unajilinganisha na mwanamke unadhani kuna kitu naweza kujibu mimi?
 
Kuna kisa cha jirani yetu pia huku mbez alikua ni mwanajeshi kaoa mwanamke asie na akili kisha kumfanyia mama wa nyumbn, kamfanyia vitimbi mumewe hd jamaa akajiua siku hyo ndani kwake kwa kujichanja mishipa ya kwenye mkono
Hatari sana mkuu
 
Wanaume tunakufa mapema kwa sababu ya ujinga wetu wenyewe, ikiwa wanawake wanayavumilia yanayotufanya sisi tujiue, unadhani yupi anapaswa kulaumiwa hapo kama sio sisi wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…