Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Nakuongezea kisa, Morel mwana appolo alijinyonga mwaka juzi kisa na mkasa akiwa mererani anapambana anatuma pesa kwa mke wake , mke kosa pesa atunze ili baadae wapige hesabu yeye karuka hadi moshi kanunua eneo na kaanza kujenga hotel , jamaa ukumbuke akaunt anayoingiza pesa ya mke wake , ilipofika muda akauliza vipi huko tuna bei gani, mwanamke kwenda benki analeta slip yenye salio kama milioni tano, wakati jamaa hesabu za haraka alijua kama sio 200m basi itakosa kidogo, mwanamke hotel imeisha tena kwa jina lake na kwa siri, kuhoji zaidi anaambiwa Ile benki kuna chuma ulete, moreli alichanganyikiwa ikabidi ajinyonge, hivo ishini nao kwa akili ni watu waliojaa tamaa Sana kwa sasa
Ila huyu naye ni mpuuzi sana ingawa ni marehemu now,iweje aweke hela kwenye account ya mkewe,si afadhali ya ndugu zake hata wakimpiga walau ndugu wamefaidika
 
Mimi nawaambiaga Wana hii sijui wife kakuta msg ya mchepuko, mara nimechepuka wife kajua hayo ni makosa Minor mnoo kwenye ndoa.
Kuna kitu mtu anakufanyia we mwenyewe unaamua kwenda kuchukua kamba au sumu unywe ili ufe maana its a maximum
 
Kuna mambo mazito sana kuyahimili yahitaji ushauri wa haraka sana bila hivyo unajimaliza.
 
Ila huyu naye ni mpuuzi sana ingawa ni marehemu now,iweje aweke hela kwenye account ya mkewe,si afadhali ya ndugu zake hata wakimpiga walau ndugu wamefaidika
Namimi nawaambiaga watu heri niandikishe jina la mdogo wangu au kaka mkubwa kwenye Mali zangu kuliko jina la mke wangu never ever! Dogo hata akinitapeli ipo siku Watoto wangu ama Watoto wake na wangu watasaidiana tu Kwa njia Moja ama nyingine. Kuliko mwanamke anaolewa na mwanaume mwingine na kukusahau kabisa. Ndg yatosha tu hata kupalilia kaburi langu.
 
unamaanisha wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani?
Hilo ndilo jibu. Waulize wenyewe au muulize mchumba wako mbona wanawake hampendani jibu atalitoa yeye mwenyewe. Hawapendi wale vile unafiki tu kujichekesha na kujiita shoga angu ila ndani hamna kitu.
 
Nakuongezea kisa, Morel mwana appolo alijinyonga mwaka juzi kisa na mkasa akiwa mererani anapambana anatuma pesa kwa mke wake , mke kosa pesa atunze ili baadae wapige hesabu yeye karuka hadi moshi kanunua eneo na kaanza kujenga hotel , jamaa ukumbuke akaunt anayoingiza pesa ya mke wake , ilipofika muda akauliza vipi huko tuna bei gani, mwanamke kwenda benki analeta slip yenye salio kama milioni tano, wakati jamaa hesabu za haraka alijua kama sio 200m basi itakosa kidogo, mwanamke hotel imeisha tena kwa jina lake na kwa siri, kuhoji zaidi anaambiwa Ile benki kuna chuma ulete, moreli alichanganyikiwa ikabidi ajinyonge, hivo ishini nao kwa akili ni watu waliojaa tamaa Sana kwa sasa
😂😂😂😂
 
Namimi nawaambiaga watu heri niandikishe jina la mdogo wangu au kaka mkubwa kwenye Mali zangu kuliko jina la mke wangu never ever! Dogo hata akinitapeli ipo siku Watoto wangu ama Watoto wake na wangu watasaidiana tu Kwa njia Moja ama nyingine. Kuliko mwanamke anaolewa na mwanaume mwingine na kukusahau kabisa. Ndg yatosha tu hata kupalilia kaburi langu.
Hahaha hatari sana.
 
point to note : "wanawake hawapendi mwanaume dhaifu"

note hii point mtoa mada Nikifa MkeWangu Asiolewe
Kwa mwanamke udhaifu wako unaweza kuwa uimara wake na uimara wako ukawa udhaifu kwako ili mradi tu afanikishe lakwake. Kwa ufupi kuzaliwa mwanaume huo tayari ni udhaifu endapo utajihusisha na mahusiano. Huwa ni suala la wakati tu na zaidi kwa neema ya Mungu. Mfano mzuri visa vya maisha ya matajiri kama Reginald Mengi, hivi karibuni Davis Mosha ni visa vilivyo kwenye public domain. Kubwa ni kuishi nao kwa akili kwa kujua ni wakati gani uishi nae na wakati gani uendelee na maisha yako mwenyewe.
 
Mkuu sikupingi, hupingwi na mtu zote 100%
 
Back
Top Bottom