Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Ila huyu naye ni mpuuzi sana ingawa ni marehemu now,iweje aweke hela kwenye account ya mkewe,si afadhali ya ndugu zake hata wakimpiga walau ndugu wamefaidika
 
Mimi nawaambiaga Wana hii sijui wife kakuta msg ya mchepuko, mara nimechepuka wife kajua hayo ni makosa Minor mnoo kwenye ndoa.
Kuna kitu mtu anakufanyia we mwenyewe unaamua kwenda kuchukua kamba au sumu unywe ili ufe maana its a maximum
 
Kuna mambo mazito sana kuyahimili yahitaji ushauri wa haraka sana bila hivyo unajimaliza.
 
Ila huyu naye ni mpuuzi sana ingawa ni marehemu now,iweje aweke hela kwenye account ya mkewe,si afadhali ya ndugu zake hata wakimpiga walau ndugu wamefaidika
Namimi nawaambiaga watu heri niandikishe jina la mdogo wangu au kaka mkubwa kwenye Mali zangu kuliko jina la mke wangu never ever! Dogo hata akinitapeli ipo siku Watoto wangu ama Watoto wake na wangu watasaidiana tu Kwa njia Moja ama nyingine. Kuliko mwanamke anaolewa na mwanaume mwingine na kukusahau kabisa. Ndg yatosha tu hata kupalilia kaburi langu.
 
unamaanisha wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani?
Hilo ndilo jibu. Waulize wenyewe au muulize mchumba wako mbona wanawake hampendani jibu atalitoa yeye mwenyewe. Hawapendi wale vile unafiki tu kujichekesha na kujiita shoga angu ila ndani hamna kitu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha hatari sana.
 
point to note : "wanawake hawapendi mwanaume dhaifu"

note hii point mtoa mada Nikifa MkeWangu Asiolewe
Kwa mwanamke udhaifu wako unaweza kuwa uimara wake na uimara wako ukawa udhaifu kwako ili mradi tu afanikishe lakwake. Kwa ufupi kuzaliwa mwanaume huo tayari ni udhaifu endapo utajihusisha na mahusiano. Huwa ni suala la wakati tu na zaidi kwa neema ya Mungu. Mfano mzuri visa vya maisha ya matajiri kama Reginald Mengi, hivi karibuni Davis Mosha ni visa vilivyo kwenye public domain. Kubwa ni kuishi nao kwa akili kwa kujua ni wakati gani uishi nae na wakati gani uendelee na maisha yako mwenyewe.
 
Mkuu sikupingi, hupingwi na mtu zote 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…