Japokuwa nimeoa lakini wanawake ndio chanzo cha wanaume kufa mapema kwenye ndoa/familia

Hakikisha kama ww ni baba unakuwa baba kweli sio wa kuyumba yumba na jitahidi uwe mkorofi mkorofi hiyo huleta hofu kwa mkeo na akianzisha kitu malizia ameuza shamba uza nyumba nenda kwingine muhadae kisaikolojia
Uko sahihi mkuu. Mwanamke hataki mgawane Mali na hataki kuondoka kwenda kwao huyu anatafuta Nini kama sio kukuua? Ukianzisha mahusiano anakufanyia Fujo daahka
 
Inaumizaa
 
Nina jirani angu, ananiletea umbea wa mumewe...namimi namsimulia mume wangu.


Eti mymewe hawapendi ndg wa mkewe....." nami namuuliza nawewe umeolewa mambo ya kwenu shiriki kias mengine sticky na familia yako...wapeni pesa wakakae kwingine...wakodishie chumba ...nilimshauri..ila anaonekana anataka banana na miji kaka ya miaka 29 na imingine 35yrs.....


Baba anadai majombi hayo yatakujq kubaka watoto wake..... mke haamini hilo anawaamini kaka zake...kakaake mmoja aliponaga chupu kuuwawa na kufiriwa kwa kuwekewa mtego na mke wa mtu..


Mbaba amewafukuza chumbn walale nje au walale seblen....nimempenda sana msimamo wa mbaba huyo...shoga angu hamnazo kabisa...

Nilimuuliza wewe iluliolewa mumeo akiwa na umri gani akasema mumewe alikuwa 28 yeye akiwa na 23...nikamwambia kwanini unawafuga wababa watu wazima??


Mytake...sio wanawake wote tunapenda waume zetu wafe na stress....natamaninijue mume anapitia wkt gani nimpoze...yaani kuna wkt nasikia wanaume wanakula tigo nje huko natamn mume wangu akitaka nimpe asihangaike.

Mm nafanyakaz lkn napewa pesa kias na mume akihisi sina kitu..ila naziweka zikijaa kama mil 1 hivi namkumbusha unakumbuka ulinipa 50k, ukanipa 10k, ukanipa 5k ukanipa 2000, ukanipa 60k

Zimezaaa mil 1 hii hapa... anafurahi...naamin Mr wangu hana stress, simu yake sikagui..sometimes namuhisi kuchepuka lkn namuonya tu.....

Nahisi hana stress Manama wenzangu tuwatunze waume wasife, wasijinyonge.. kuna wanaokufa kwa presha tu sio kujinyongq..wengine hawana sukar ila inapanda kwa sabab ya mawazo nk
 
Ndomaana nasema wanawake .nishetan na nusu na robo..asipo kutoa roho jua atakupa ugonjwa wakukutoa roho kivyovyote vile,, minlisha kimbia wanawake kazaa kisa stress zao..mmoja wao ilikuw hv nimesafir kama mwenz kibiashara huko nimepata hasara mingi nimerudi mwanamke anauliza hela zikwapi ..mara usuniguse huna hela unanuka jasho dharau nikasusa kuila mbususu ..akaanza ooh hata ukisusa susa ngoja kuna wengine wata kula
Nilimuacha kigaidi ile mbaya nanlikuwa nahela tu zakutosha ..nikaondoka kabla haja amka na chumba nilimpangishia sija mtafuta tena japo anantafta namchunia huu mwaka wa 3..ndo nsha mwacha hvo bila kelele
 
lnaonesha hizi "my dear" wanazoitana, huwa hazitoki moyoni.
Hilo liko wazi. Wewe uje uanzishe umbea tu hata wa uongo Kwa mwanamke hapo kitaa unayejua kabisa ni star wa pale yaani anawazidi hapo uone Sasa atakavyosemwa. Ni tofauti kubwa sana Mimi nawewe naweza kukuita wee fala na Bado nikawa nakukubali kinoma kutoka moyoni.
 
Ulitumia akili sana. Uvumilivu kwenye hamna haupo. Piga chini Songa mbele.
 
Natamani wanawake wawe kama wewe. Mwanaume mwenzetu kapata mke mwema hakika.
 
Hakikisha kama ww ni baba unakuwa baba kweli sio wa kuyumba yumba na jitahidi uwe mkorofi mkorofi hiyo huleta hofu kwa mkeo na akianzisha kitu malizia ameuza shamba uza nyumba nenda kwingine muhadae kisaikolojia
Bado hujui. Unadhani ubabe utatumika siku zote utafaulu?
Unajua maana ya msongo wa mawazo mkuu? Usiporuhusu ushauri kutoka Nje umekwisha! Hicho kisa Cha kwanza nilivyo elezea inatosha kabisa kuelewa jamaa hakuna mnyonge ama dhaifu.

Alichukua mkopo kausha damu vitu vya ndani vikaenda. Jamaa akaenda kuvikomboa na kumpiga kipigo Cha mbwa Koko msikitini. Haya sio ya kuambiwa ni jirani yangu.


Hapo jamaa akajua kasolve. Wamekaa ndo akaugua Sasa na kutoka kwakwe kwenda matibabu kwao (wazazi wake) kakaa kule ndo mwanamke akapata upenyo huo.

Taarifa kazipata kwenye bar Kwa jamaa zake. Akatoka kule akaanza kuuliza ndo hapo ungomvi ulipoanzia na Bahati mbaya hakupta nafasi ya kuomba ushauri hata Kwa ndg zake ama jamaa zake.


Kitu kilichosababisha mqenyikiti wa mtaa aondoke nae usiku ule jamaa angemuua yule mwanamke maana alikuwaga anapiga sana tu.

Namalizia Kwa kusema Hivi wanaume Huwa tunatambiana sana lkn ukweli upo wazi mwanamke ukishaishi naye tu anakujua Nje ndani.

Mifano hii hapa ya wazi kabisa
Samson alikuwa kidume ajabu lakini aliishia vipi?

Suleiman pamoja na hekima yake yote yote alianza kuabudu Miungu mingine!!

Adamu mwanaume aliyekamilika Kila kitu alikubali kuingiza chaka na mke wake na hapo hawana hata Watoto.

Tuishi nao Kwa akili mkuu.ubabe utautumia lkn hutaona matokeo sana sana atajifanya anakuheshimu kumbe ndani kashasubri siku ya kukumaliza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…