Jaribio la kumuua Trump: Kwanini aliyetoa taarifa kwa Secret Service na polisi kuwa juu ya paa kulikuwa na mtu mwenye silaha alipuuzwa?

Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Dah blaza umetoa point hafifu Sana ,..Yan mtu apande just ya bati na bunduki then useme wamemuacha kwasababu hawakujua lengo...lake je Kama Trump angeuwawa ingekuaje ?..je secret service wametumwa na Biden?
 
Ob

Obama alipokuja,akipita morroco...nilikua Airtel Lile jengo,sikuona jengo likiangaliwa
Hawana shida na majengo ambayo anapita njia hasahasa ni pale anapokuwa hadharani.

Mfano Obama alipokuwa ikulu na Kikwete Secret Service Agents walitanda kwenye rooftops
 
Hii ni michezo tu sawa na ule wa Area C.
Ipo hivi ukitumwa ukatoe uhai wa kiongozi nyuma yako pana watu wamepangwa kutoa uhai wako baada ya mission ili kuficha ushahidi kwani ukiacha hai utatema siri so unalaghaiwa kwa kulipwa pesa za kazi zote nyingi ili ujae baada ya kuuliwa pesa inarudishwa.
Thus hizi mission ni wapumbavu pekee ndio huwa wanatumwa.
Sawa na ile ya Area C wengi walimalizwa baada ya mission wakakosa vyote.
 
Kuna tofauti ya security details kwa rais aliye madarakani na mstaafu
 
Kwenye matukio kama hayo mtu wa kwanza kuhisiwa ni yule aliye madarakani.kumbuka huo ni mchezo wa siasa sio ujambazi.
mkulima akitaka kuuliwa basi mtu wa kwanza kumuhisi ni mfugaji
Uko sahihi kabisa Mkuu,hii inashabihiana kabisa na jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu.
Mtuhumiwa wa kwanza alikua ni Mr Jiwe.
 
Ajabu hutaki tutumie akili zetu kutafakari, unataka tukae tu kama vibuyu!

No way, kichwa changu sio kibuyu kama kichwa chako!.
 
Umeona mbali hata akishinda Urais achukui round wala nchi kwanza mengine baadae
 
Wanataka kumuua huyu mtoto wa Hitler mapema, wananchi wenye akili timamu hawamtaki
 
Kiprotocol inapohusu ulinzi eneo hilo secret service walitakiwa wahakikishe juu ya hizo rooftops za majengo yote karibu na campaign ilikuwa inafanyika kuna ulinzi wa kutosha
24hrs kabla walifanya hivyo according to fbi
 
Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
Kwahiyo walikua wanasubiri ushahidi ndio wachukue hatua sio?, maswala ya security ni kutilia shaka na kuchukua hatua kwa kila jambo ambalo si lakawaida. Trust nothing suspect everything hii ndio kanuni kuu ya security.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…