Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Inawezekana kweli usemalo.Nnachihisi,
Secret service walimuona ila wakawa hawana uhakika na lengo lake, that's why aliposhoot nae hawakumkawiza wakamshoot maana tyr alishakua kwny range yao
But what if walitaka kupoteza ushahidi kwa vile kajulikana kaonekana?