Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Vijalida uchwara.

Kwa hiyo kati ya waislamu 500 bora duniani hagaya ni wa ngapi?
 
Acha utani

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 


 
N
Tunasaidiwa kila uchao....afya ,elimu.....

Kwa hiyo tunapopewa ARV dhidi ya Ukimwi na nduguzo na ndugu zangu wakizitumia huwa TUNAURUDISHA MSAADA HUO KUPITIA MATUNDU YA MIILI YA NDUGUZO NA NDUGU ZANGU?!!!
Ni misaada inayotokana na ujinga kama unaouandika hapa. Hizo ARV mbona kuna watu wa Dawa zinazofanya Kazi zaidi hata ya hiyo midude? Mungu wetu hawezi kuwafanya wazungu ndio wawe na kila Kitu cha kutusaidia sisi! Kama tumekuwa tunapokea ARV tatizo liko vichwani kama vile tunavyoamini kuwa mahusiano ya Kimataifa yateleta misaada ya kutufanya tuendelee mpaka kuondokana na Umaskini.
 

Nadhani tunakubaliana hataki katiba mpya wala tume huru kabla ya 2025.

Yeye ni mtu mmoja au aghalabu nyie ni kundi moja vipi kushinikiza matakwa yenu kwa wengine? Hii si haki na ni dhuluma mbaya zaidi.

Kwamba nani asiyejua 2020 kulikuwa na wizi uliovuka mipaka?

Uchaguzi 2020 - Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

Hukuwahi kumsikia hata huyo akithibitisha?
 
Unaleta pang'ang'a za kuropoka eee si ndio eee?!!!

Ziko wapi hizo dawa zinazotibu virusi vya ukimwi?!!

Wewe jamaa fikra za ramli na ushirikina hazina mantiki sana dunia ya Sasa.....
 
Kauli hiyo niliisikia....

Kauli hiyo niliielewa vyema tu tofauti na "sherehe" yenu juu yake.....

FYI: Mh.Rais SSH alikuwa anawakumbusha kuwa kwa idadi ya wanachama na mashabiki wa CCM basi haina haja ya kupoteza kura zenu kuwachagua wachache "Chadema na wenzao" kwani hao kura zao HAZITOTOSHA....
 

Hudhani ni yale ya Konde? Nini kilitokea Konde?

Siyo kuwa ilikuwa SUK isambaratike au wizi utamalaki?
 
hii habari kwa kua haijatoka Vatican baasi haikubaliki. Haya sio mawazo yangu ni wawazavyo sukuma gang. Maana majina na vitu vinavyohusiana na waislam kwao haram.

Awamu ya 5 full wakristo wateule. Imekuja awamu ya 6 imechomeka majina kadhaa wa kadha ya kiislam imekua nongwa ...I'm speaking from neural view point.
 
Unaleta pang'ang'a za kuropoka eee si ndio eee?!!!

Ziko wapi hizo dawa zinazotibu virusi vya ukimwi?!!

Wewe jamaa fikra za ramli na ushirikina hazina mantiki sana dunia ya Sasa.....
Kafanye tafiti. Umesoma lakini umesalia kama Dodoki. Nina Ndugu zangu Wawili walikuwa na HIV( Tested na walikuwa wanatumia ARV) wamepona kwa Dawa za Kienyeji.
 
Hisia si lazima ziwe na UHALISIA mkuu wangu....

Zingekuwapo husika panapo usawa, uwazi, uhuru na haki?

Kenya, Zambia, Malawi, SA na wa namna wameshaachana na upuuzi kama huu. Ndiyo maana White house inawatambua kwa kuwa karibu she viongozi tokea nchi kama hizo lakini si sisi!

Madwalimu menzetu yako hapa: Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…