Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Quran inasemaje kuhusu mwanaume kumtawala mwanamke??????!!!

Muslim500 ni wachumia tumbo. Wameona fursa hapo. Ngoja mama aingie kichwa kichwa.
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Mtu mweusi na muislam sinaga imani nao kabisa sijui kwanini.
Kumbuka kuna Wa Far East weusi yaani nchi za Ufilipino, Indonesia, Singapole, Malasia nk.
Kuna Waarabu weusi
Kuna wahindi weusi
Kuna Waafrika weupe pe kabisa.

Hapa ulikuwa unamaanisha
Mtu yeyote mwenye rangi nyeusi au
Waafrika wote
Wote wenye asili ya Afrika
au
Wenye asili ya Afrika wanao ishi ndani ya bara la Afrika ?
 
Je waafrika weupe wakoje na wanapatikana Nchi gani?
 
Ni jarida la waisilamu au kikundi cha waisilamu wasiofuata miongizo ya dini ya uisilamu. Je, uisilamu unaofuata muongozo wa dini unakubaliana na yeye kuongoza nchi? Nawaachia Taliban watupe jibu na CCM wasitupe jibu kwani wao si waisilamu.
Mwisho, jarida la Naijeria si la kuliamini, ni kikundi cha matapeli wa kisiasa.
 
Mtu mweusi na muislam sinaga imani nao kabisa sijui kwanini.
Sababu kubwa were ni kaburu wa dini na rangi na ndani ya miaka hii kumi utakufa kihoro maana samia bado yupo na ataendelea kuwapo kwa uwezo wa mungu
 
Waache unafiki dini ya haki haitaki na hairuhusu mwanamke awe kiongozi..haifai na kama wanapongeza ni unafiki..sio amri ya dini ya hakhi.

#MaendeleoHayanaChama

Kwani ni kiongozi wa dini au taifa, huwa mna uhanangwa sana nyie, mambo ya Taleban msilete Afrika huku.
 
Awamu gani tena .....??
 
 
Kwa kuwa unakula kwa mama huwezi kuona ushawishi wake Hadi pale utakapohama nyumbani....!!!
 
Kufungulia watu kesi za ugaidi
 
Kidogo kidogo anatambulika duniani.....

Ninamtabiria makubwa kuwa ndiye atakayekuwa RAIS bora kabisa mwanamke kuwahi kutokea duniani......

SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin๐Ÿ™
Mazuri zaidi yanakuja, ni raha tupu. Sasa tunazungumzia dunia si tu Afrika mashariki na kati na si tu Afrika bali ni kule majuuuuuuuu.

Siku njema huanza asubuhi. Tutagusa kila angle, kila penye Fursa tutapafikia hata kukiwa China, Bangkok au Burma
 
Maneno ya kukopikopi. Ni lini hatukuwa katika Uhusiano wa Kimataifa na tulikosa nini?
Kuna uhusiano wa Kimataifa na uhusiano wa Kimataifa. Unaweza kuwa na uhusiano wa kimataifa lakini upo upo tu wala hujui juu ya kunufaika nao. Ni kama una rafiki mpendwa darasani na mkali sana, yeye anapata "A" zote wewe unaambuli "D" na eti mmeshibana kweli kweli.

Inabidi uweze kuutumia urafiki wenu ili unufaike, Leo matunda ya kujulikana kwetu kwa kimataifa tutafaidika nako moja kwa moja kupitia Utalii, kuuza bidhaa za viwanda vyetu (Nyama uarabuni) na kupata teknolojia.
 
Mama akiachana kusakama wapinzani atakuwa zaidi ya Mandela.
Bulamba kwa kweli mama hana bifu na wapinzani, na anajaribu kutaka kuleta maridhiano yenye tija lakini inaonekana upinzani hasa Chadema wanajaribu kum-push katika mambo yenye maslahi machache kwa baadhi ya viongozi wao.

Ikiwa tunataka kujenga nyumba moja kwanini tunagombea fito? Hizi siasa zisitufanye tukawa kama wanyama baada ya kutumia ushawishi wa hoja za maendeleo na amani tumebaki tunahubiri chuki na kuhamasisha fujo na uvunjifu wa amani.

Mimi kwa rai yangu mheshimiwa Mbowe hana kesi bali ni zengwe tu alilotengenezewa, lakini kwa nini atanyiwe hivyo? Nadhani sababu ni ndogo tu ya kutaka kum-push mama katika suala la katiba mpya lianze mara moja, hapo ndipo anapokosea mwenyekiti Mbowe, unavuta kisu wakati umeshika kwenye makali?
 
UMEONGEA VIZURI.Lakini na mimi nainga mkono suala la katiba.Ni vema kuwa na katiba mpya na pia tujenge maadili ya kuheshimu katiba.Tumekuwa tukiikaanyaga sana Katiba.

Taifa kama la USA lina mafanikio sababu ya kuheshimu katiba yao
 
Wavaa kanzu na udini,hapo wanajipendekeza wapewe lot3 na lot4 ya SGR๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ