Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
๐๐๐๐๐๐ ๐๐คฃQuran inasemaje kuhusu mwanaume kumtawala mwanamke??????!!!
Muslim500 ni wachumia tumbo. Wameona fursa hapo. Ngoja mama aingie kichwa kichwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐๐ ๐๐คฃQuran inasemaje kuhusu mwanaume kumtawala mwanamke??????!!!
Muslim500 ni wachumia tumbo. Wameona fursa hapo. Ngoja mama aingie kichwa kichwa.
Kumbuka kuna Wa Far East weusi yaani nchi za Ufilipino, Indonesia, Singapole, Malasia nk.Mtu mweusi na muislam sinaga imani nao kabisa sijui kwanini.
Je waafrika weupe wakoje na wanapatikana Nchi gani?Kumbuka kuna Wa Far East weusi yaani nchi za Ufilipino, Indonesia, Singapole, Malasia nk.
Kuna Waarabu weusi
Kuna wahindi weusi
Kuna Waafrika weupe pe kabisa.
Hapa ulikuwa unamaanisha
Mtu yeyote mwenye rangi nyeusi au
Waafrika wote
Wote wenye asili ya Afrika
au
Wenye asili ya Afrika wanao ishi ndani ya bara la Afrika ?
Ni jarida la waisilamu au kikundi cha waisilamu wasiofuata miongizo ya dini ya uisilamu. Je, uisilamu unaofuata muongozo wa dini unakubaliana na yeye kuongoza nchi? Nawaachia Taliban watupe jibu na CCM wasitupe jibu kwani wao si waisilamu.Tanzanian president Samia Suluhu have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500.
CHUKWUEMEKA AYOMIDE โข OCTOBER 19, 2021
![]()
Tanzanian President, Samia Suluhu Hassan
Tanzanian president Samia Suluhu-Hassan have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500.
Ms Suluhu-Hassan was named Muslim woman of the year for her landmark achievement as Tanzania first female president and one of the very few female presidents to have ruled an African country.
Justifying its choice of Ms Suluhu-Hassan, Muslim500 in the publication explained that the Tanzanian president had attracted investors and restored the confidence of existing investors.
โPresident Suhulu has restored investor confidence and attracted private sector investments,โ the publication said.
Released on Monday night, the Muslim 500 spotlights powerful and influential Muslims globally.
Tahadhari:
Wale wa kukosoa kila kitu cha Rais Samia mwageni povu, ila sisi tuko na Mama, Anaupiga mwingi
View attachment 1981166
Sababu kubwa were ni kaburu wa dini na rangi na ndani ya miaka hii kumi utakufa kihoro maana samia bado yupo na ataendelea kuwapo kwa uwezo wa munguMtu mweusi na muislam sinaga imani nao kabisa sijui kwanini.
Waache unafiki dini ya haki haitaki na hairuhusu mwanamke awe kiongozi..haifai na kama wanapongeza ni unafiki..sio amri ya dini ya hakhi.
#MaendeleoHayanaChama
Awamu gani tena .....??1. Kwa mjibu wa bandiko lako inahusu waislamu sio kila mwenye imani nyingine
2. Inawezekana akawa ndio rais wa kwanza kukumbwa na jinamizi la kuburuzwa mahakamani baada ya meza yenye kinga kupinduliwa
3. Awamu itakayofuata baada ya yeye itakuwa na VISASI kuzidi vile vinavyotokea sasa na ndio itaifanya hali ya amani Tanzania kuwa tete
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la โThe Muslim 500โ limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la โThe Muslim 500โ hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.
Kwa Jarida hili la โThe Muslim 500โ kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!
View attachment 1979938
Hapa ndipo tulipenda kufikaKuturudisha katika uhusiano MADHUBUTI na jumuiya ya kimataifa ......
Na Mo Ibrahim Foundation naisubiri
Hii keshapata hakuna wa kumshindanisha naye
Hata yeye ni MuslimSawa ni Jarida la The Muslim..
Kufungulia watu kesi za ugaidiKashawishi jambo gani ambalo bila yeye lilikuwa haliwezekani? Hebu tuache kuongea mambo yasiyokuwepo. Kama ana ushawishi kiasi hicho ameshindwa nini kukaa na washindani wake kisiasa ili wajadiliane Juu ya Siasa za kistaarabu na zenye kuchochea maendeleo?
Ni waislamu tuKatika hao 500 ye ni wangapi..?
Mazuri zaidi yanakuja, ni raha tupu. Sasa tunazungumzia dunia si tu Afrika mashariki na kati na si tu Afrika bali ni kule majuuuuuuuu.Kidogo kidogo anatambulika duniani.....
Ninamtabiria makubwa kuwa ndiye atakayekuwa RAIS bora kabisa mwanamke kuwahi kutokea duniani......
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin๐
Kuna uhusiano wa Kimataifa na uhusiano wa Kimataifa. Unaweza kuwa na uhusiano wa kimataifa lakini upo upo tu wala hujui juu ya kunufaika nao. Ni kama una rafiki mpendwa darasani na mkali sana, yeye anapata "A" zote wewe unaambuli "D" na eti mmeshibana kweli kweli.Maneno ya kukopikopi. Ni lini hatukuwa katika Uhusiano wa Kimataifa na tulikosa nini?
Bulamba kwa kweli mama hana bifu na wapinzani, na anajaribu kutaka kuleta maridhiano yenye tija lakini inaonekana upinzani hasa Chadema wanajaribu kum-push katika mambo yenye maslahi machache kwa baadhi ya viongozi wao.Mama akiachana kusakama wapinzani atakuwa zaidi ya Mandela.
Kwani mahusiano yalivurugwa na nani na yeye alikuwa wapi kipindi hicho. Very shallow thinking.Kuturudisha katika uhusiano MADHUBUTI na jumuiya ya kimataifa ......
UMEONGEA VIZURI.Lakini na mimi nainga mkono suala la katiba.Ni vema kuwa na katiba mpya na pia tujenge maadili ya kuheshimu katiba.Tumekuwa tukiikaanyaga sana Katiba.Bulamba kwa kweli mama hana bifu na wapinzani, na anajaribu kutaka kuleta maridhiano yenye tija lakini inaonekana upinzani hasa Chadema wanajaribu kum-push katika mambo yenye maslahi machache kwa baadhi ya viongozi wao.
Ikiwa tunataka kujenga nyumba moja kwanini tunagombea fito? Hizi siasa zisitufanye tukawa kama wanyama baada ya kutumia ushawishi wa hoja za maendeleo na amani tumebaki tunahubiri chuki na kuhamasisha fujo na uvunjifu wa amani.
Mimi kwa rai yangu mheshimiwa Mbowe hana kesi bali ni zengwe tu alilotengenezewa, lakini kwa nini atanyiwe hivyo? Nadhani sababu ni ndogo tu ya kutaka kum-push mama katika suala la katiba mpya lianze mara moja, hapo ndipo anapokosea mwenyekiti Mbowe, unavuta kisu wakati umeshika kwenye makali?
Wavaa kanzu na udini,hapo wanajipendekeza wapewe lot3 na lot4 ya SGR๐ฎ๐ฎJarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la โThe Muslim 500โ limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.
Jarida la โThe Muslim 500โ hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.
Kwa Jarida hili la โThe Muslim 500โ kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!