Jarida la Muslim 500 lamtaja Rais Samia kama Mwanamke wa mwaka mwenye ushawishi mkubwa kwa 2022

Kashawishi Dunia kuwa Mbowe ni gaidi hatari alikimbilia kujificha Kenya na wenzie walikwisha hukumiwa alibakia Mbowe tuu.
Mother fix Sana yule alikula maharage ya wapi alipokuwa anahojiwa na BBC.

Mbowe ni gaidi time will tell, alijaribu Kutaka kuitikisa nchi mwanaharamu... amepewa alicholilia
 
Jarida maarufu nchi Uturuki na Ulaya la “The Muslim 500” limemtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi bora Mwanamke wa Mwaka mwenye ushawishi Duniani kwa Mwaka 2021-21.

Jarida la “The Muslim 500” hutoka kila baada ya Mwaka mmoja na husomwa Dunia nzima.

Kwa Jarida hili la “The Muslim 500” kumtaja Rais Samia Kama Kiongozi Bora wa Mwanamke wa Mwaka itachochea nafasi ya kukuza uwekezaji hapa nchini pamoja na kuongeza Utalii na kuitangaza Tanzania katika ramani za kimataifa....!!!

View attachment 1979938
1. Kwa mjibu wa bandiko lako inahusu waislamu sio kila mwenye imani nyingine
2. Inawezekana akawa ndio rais wa kwanza kukumbwa na jinamizi la kuburuzwa mahakamani baada ya meza yenye kinga kupinduliwa
3. Awamu itakayofuata baada ya yeye itakuwa na VISASI kuzidi vile vinavyotokea sasa na ndio itaifanya hali ya amani Tanzania kuwa tete
 
Inawezekana wee inawezekana weee.... 🤣🤣

Haiwezekani hilo usemalo....watanzania tuna maneno mengiii ndio mana hayati JPM akatuweza vya kutosha tu 🤣🤣

Kila uchao watu wanaitabiria mabaya Tanzania....Kuna la kuniuliza....je ni watu kutoka nje ya mipaka yetu na wasio raia?!!

Haiwezekani mtu atutabirie kuwa UONGOZI UJAO utakuwa na visasi na kuwa mwanzo wa ukosefu wa amani Khaaaa 😲😲😲

Siempre JMT
Amani ya Nchi Kwanza
 
Tanzanian president Samia Suluhu have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500.

CHUKWUEMEKA AYOMIDE • OCTOBER 19, 2021

Tanzanian President, Samia Suluhu Hassan

Tanzanian president Samia Suluhu-Hassan have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500.
Ms Suluhu-Hassan was named Muslim woman of the year for her landmark achievement as Tanzania first female president and one of the very few female presidents to have ruled an African country.
Justifying its choice of Ms Suluhu-Hassan, Muslim500 in the publication explained that the Tanzanian president had attracted investors and restored the confidence of existing investors.
“President Suhulu has restored investor confidence and attracted private sector investments,” the publication said.
Released on Monday night, the Muslim 500 spotlights powerful and influential Muslims globally.

Tahadhari:
Wale wa kukosoa kila kitu cha Rais Samia mwageni povu, ila sisi tuko na Mama, Anaupiga mwingi

IMG-20211020-WA0022.jpg
 
Quran inasemaje kuhusu mwanaume kumtawala mwanamke??????!!!

Muslim500 ni wachumia tumbo. Wameona fursa hapo. Ngoja mama aingie kichwa kichwa.
 
Na kuhusu calendar, bado hatujamaliza 2021, kama sikosei, Hijr haijafika 1600, kwanini hawadumishi mila hawa?

Nimemkumbuka Mr Ebo.
 
Yote hayo kisa yupo bega kwa bega na wanyonyaji hivyo anasifiwa ili asishituke.
Yajayo yanafurahisha mko tayari? Hangaya anaupiga mwingiiii
 
Penye ukweli tuseme ukweli, Mama Samia anaupiga mwingi. Mnaombeza mtapata vidonda vya tumbo tu kwa mafanikio yake.

Kazi iendelee
 
Waache unafiki dini ya haki haitaki na hairuhusu mwanamke awe kiongozi..haifai na kama wanapongeza ni unafiki..sio amri ya dini ya hakhi.

#MaendeleoHayanaChama
 
DINI YA HAKI UISLAMU HAUTAKI MWANAMKE AMTAWALE MWANAUME, SASA HAWA NI WAISLAMU WA WAPI? WANATUMIA QURAN IPI?

NJAA MBAYA SANA!
 
Tanzanian president Samia Suluhu have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500.

CHUKWUEMEKA AYOMIDE • OCTOBER 19, 2021

Tanzanian President, Samia Suluhu Hassan

Tanzanian President, Samia Suluhu Hassan
Tanzanian president Samia Suluhu-Hassan have been named Muslim woman of the year in the 2022 edition of Muslim500.
Ms Suluhu-Hassan was named Muslim woman of the year for her landmark achievement as Tanzania first female president and one of the very few female presidents to have ruled an African country.
Justifying its choice of Ms Suluhu-Hassan, Muslim500 in the publication explained that the Tanzanian president had attracted investors and restored the confidence of existing investors.
“President Suhulu has restored investor confidence and attracted private sector investments,” the publication said.
Released on Monday night, the Muslim 500 spotlights powerful and influential Muslims globally.

Tahadhari:
Wale wa kukosoa kila kitu cha Rais Samia mwageni povu, ila sisi tuko na Mama, Anaupiga mwingi

View attachment 1981166
Why Muslim 500 and not CNN or BBC ?
 
Back
Top Bottom