Mikataba huwa ina vipengele vya mchezaji kuvunja mkataba wake bila kuuzwa. Fei alipambana kupitia hicho kipengele, hata bila raisi kuingilia alikuwa na nafasi ya kupata haki yake CAS.Ndio shida ya ma- feminist sijui wakoje wanapenda sana ku- seek attention na sympathy
Swali la kujiuliza inakuwaje Kila mwaka ni yeye tu ndiye anaye ingia ktk conflict na Yanga .
Beside that kuhusu Ile issue ya Fei toto ni huruma tu iltumika baada ya SSH kuitaka Yanga imuachie Fei toto lakini Yanga walikuwa wapo sahihi mikataba inapaswa kuzingatiwa vyema na kufuatwa
Hakika watu kama wewe ni hazina kubwa sana😂😂 Yaani ununue bidhaa sokoni uisafirishe Toka Moro kuipeleka dar ulipe wabebaji wa hiyo bidhaa na ulipie Usafiri wa kusafirisha hiyo bidhaa ulipie Eneo la kuhifadhi hiyo bidhaa
Halafu unapoipeleka sokoni hiyo bidhaa ili uweze kuiuza Kwa faida ambayo itafidia gharama zako then hiyo bidhaa ikatae na kusema kwamba kama ulininunua Kwa million 1 unapaswa kuniuza Kwa million 1 na nusu then na wewe ukubali tu hata kama hiyo pesa haitoweza kurejesha gharama zako ulizo tumia katika kuikuza hiyo bidhaa !?
Huo ni zaidi ya Wendawazimu
Bado hatujauona mkataba wa mzize labda wewe umeuona kuwa una hiko kipengele lakini sisi hatujui amesaini majuzi tu .Mikataba huwa ina vipengele vya mchezaji kuvunja mkataba wake bila kuuzwa. Fei alipambana kupitia hicho kipengele, hata bila raisi kuingilia alikuwa na nafasi ya kupata haki yake CAS.
Hii ya Mzize inawezekana mkataba wake hiyo obtion ya kununua mkataba ina value kubwa sana mchezaji haiwezi ndo maana hana namna nyingine kinyume na hapo la Fei lingejirudia.
Ina mkataba naye ila mchezaji siyo mtumwa. Kama hilo haulielewi sina cha kukusaidia. Hiyo milioni 1 unayodai na kuona nyingi sana, haijaandikwa kwenye mawe kama Amri za Mussa. Ndiyo maana inaweza kuja timu na kumtaka huyo Mzize kwa 2M ila yeye mwenyewe na huyo wakala wake unayemchamba hapa, wakagoma kwa sababu yoyote ile ikiwemo kutoridishwa na maslahi anayoahidiwa.Haimmliki ila ni waajiri wake kisheria na wana mkataba naye hivyo wana haki kumuuza na kujua anaenda wapi!
Kama sio mchezaji wao basi kwanini wakala asimchukue sasa hivi akamuuze??
Mzize ni Mali ya yanga ana mkataba wa miaka mitatu na anatumikia mwaka mmoja na hawezi kuondoka bila ruhusa ya yanga!!
Jasmine ameolewa na mcongo ambaye ndie agent,anaishi uk,huyo mkongo ana ushawishi mkubwa na wacongo wengi wanamkubali,mayele alipokuja Yanga akua na meneja,ndio huyo mkongo akamuunganisha jasmine amsimamie mayele,hapo ndio akapata kuwatongoza fei na mzize,matapeli wa hivyo wapo wengi bongo,hata kaze wakati anakija Yanga akua na agent,jemedari akawa anapambana awe agent wake ila alishindwaNa anadai yeye eti ndiyo alimtengeneza mzize!
Muongo mkubwa sana kwahiyo na mayele pia atadai alimleta yanga yeye kumbe alimdakia hapa hapa bongo tu
Dalali tu huyu kama kina jemedari
Sasa mkuu wangu shida unataka kuforce mambo yaende unavyotakamilioni 1 unayodai na kuona nyingi sana, haijaandikwa kwenye mawe kama Amri za Mussa. Ndiyo maana inaweza kuja timu na kumtaka huyo Mzize kwa 2M ila yeye mwenyewe na huyo wakala wake unayemchamba hapa, wakagoma kwa sababu yoyote ile ikiwemo kutoridishwa na maslahi anayoahidiwa.
Sasa tunapata picha kamiliJasmine ameolewa na mcongo ambaye ndie agent,anaishi uk,huyo mkongo ana ushawishi mkubwa na wacongo wengi wanamkubali,mayele alipokuja Yanga akua na meneja,ndio huyo mkongo akamuunganisha jasmine amsimamie mayele,hapo ndio akapata kuwatongoza fei na mzize,matapeli wa hivyo wapo wengi bongo,hata kaze wakati anakija Yanga akua na agent,jemedari akawa anapambana awe agent wake ila alishindwa
Mkataba usio wa kitumwa ni ule mkataba ambao mfanyakazi ana haki ya kuuvunja akifata masharti yaliyoainishwa kwenye huo mkataba.Nini maana ya utumwa??
Ni hali ya mtu kumilikiwa na mtu mwengine kama combo cha kazi au kifaa cha kazi kwa lazima na bila kulipwa ..!
Unavunjwa kwa kufuata taratibu sio kihuni kama inavyofanyikaMkataba usio wa kitumwa ni ule mkataba ambao mfanyakazi ana haki ya kuuvunja akifata masharti yaliyoainishwa kwenye huo mkataba.
Imagine una shida ya kazi, unasaini kwa mhindi mkataba miaka mi3 halafu huwezi uvunja huo mkataba hata umpe nini mhindi, hiyo miaka mi3 itakuwa ni miaka ya kitumwa.
Hicho kipengele lazima kitakuwa na value kubwa ndo maana kimeshindwa kutumika otherwise pangetokea shida kama ile ya Fei, Mikataba isiyo na hicho kipengele ni ya kitumwa tu. Mkataba gani ambao hauna kipengele cha termination? Hata huu wa Mzize lazima kitakuwepo ila labda bei ya kuuvunja ndo kubwa.Bado hatujauona mkataba wa mzize labda wewe umeuona kuwa una hiko kipengele lakini sisi hatujui amesaini majuzi tu .
Hapa upo sawa, Yanga haiwezi kufanya kazi kwa huruma. Wafate masharti ya mkataba. Ikitokea wameyafata halafu Yanga hawataki hapo ndo walalamike.Na zaidi hivyo vipengele wakala wake wakati wa kusaini si alikuwepo aseme wazi kilichopo zaidi ya kulilia tu mzize auzwe kwa kiasi yanga wasichotaka kumuachia
Inawezekana.Hapo ni mtafaruku wa maslahi yanga wanataka faida na wakala anataka pesa
Nakukumbusha mkuuMkataba usio wa kitumwa ni ule mkataba ambao mfanyakazi ana haki ya kuuvunja akifata masharti yaliyoainishwa kwenye huo mkataba.
Imagine una shida ya kazi, unasaini kwa mhindi mkataba miaka mi3 halafu huwezi uvunja huo mkataba hata umpe nini mhindi, hiyo miaka mi3 itakuwa ni miaka ya kitumwa.
Mkuu unajisumbua Bure kumjibu uyo kolo muulize swali Moja tu kwanini kolo walimkatalia kumuuza kibu denis kule alikokuwa anataka kwenda? Yani niweke mtaji wangu sehemu kwa gharama kubwa alafu uje unipangie Bei ya kuuza wewe mnunuzi? Utajua nimeinvest kiasi Gani kwenye iyo biashara? Kwamba nifanye kazi ya kanisa sio,,uyo jasmine wakati mzize anaendesha bodaboda kwanini akuona kipaji chake alikuwa wapi? Mambo mengine yanahitaji uwe umevuta bangi ndio uanze kubishana vitu ambavyo viko wazi kabisa,,Mzize ndio kwanza katumikia mkataba wa mwaka Mmoja bado miaka 2 sasa unaanzaje kuwapangia wamiliki wa mchezaji kisheria Bei ya kumuuza ulishaona wapi?Sasa mkuu wangu shida unataka kuforce mambo yaende unavyotaka
Haya wakala anataka kumpeleka mchezaji anapotaka yeye tena ofa ambayo klabu inaona ndogo je wamuuze tu??
Leo hii umemtunzq tangu team za vijana halafu unauza tu hovyo bila kuangalia value uliyotengeneza?
Yanga ni wamiliki wa mzize na wana haki ya kubargqin bei ya kumuuza sio kuuza tu kisa wakala ametaka! Hope unanielewa?
Kwahiyo wauze tu kwa bei ya hasara kisa wakala anataka? Mambo hayaendi hivyo hata kidogo mkuu lazima tukae mezani tukubaliane sio wakala afaidike kupitia mgongo wa nyuma
Kama wakala anammiliki mchezaji pekee basi amuuze saivi bila kuongea na yanga tuone..
Haya ya utumwa unaongelea wewe hapo sijui yametoka wapi??
Mzize yupo kazini na yanga taasisi ipo kazini pia
Wewe ni moja ya wanasimba ambao mpo timamu kichwaniHicho kipengele lazima kitakuwa na value kubwa ndo maana kimeshindwa kutumika otherwise pangetokea shida kama ile ya Fei, Mikataba isiyo na hicho kipengele ni ya kitumwa tu. Mkataba gani ambao hauna kipengele cha termination? Hata huu wa Mzize lazima kitakuwepo ila labda bei ya kuuvunja ndo kubwa.
Hapa upo sawa, Yanga haiwezi kufanya kazi kwa huruma. Wafate masharti ya mkataba. Ikitokea wameyafata halafu Yanga hawataki hapo ndo walalamike.
Inawezekana.
Wazungu wapo smart kwenye mikataba, mara chache sana kuwa na hitilafu za termination.Nakukumbusha mkuu
pale St James Park wamegoma kumuuza Alexander Isak kwa £100m kwenda Liverpool na ana mkataba wa mwaka 1
Vipi hapo ni mkataba wa kitumwa eeh?
Bora unisaidie mkuu huyu jamaa analeta ubishi wa vijiweni kabisa yaaniMkuu unajisumbua Bure kumjibu uyo kolo muulize swali Moja tu kwanini kolo walimkatalia kumuuza kibu denis kule alikokuwa anataka kwenda? Yani niweke mtaji wangu sehemu kwa gharama kubwa alafu uje unipangie Bei ya kuuza wewe mnunuzi? Utajua nimeinvest kiasi Gani kwenye iyo biashara? Kwamba nifanye kazi ya kanisa sio,,uyo jasmine wakati mzize anaendesha bodaboda kwanini akuona kipaji chake alikuwa wapi? Mambo mengine yanahitaji uwe umevuta bangi ndio uanze kubishana vitu ambavyo viko wazi kabisa,,Mzize ndio kwanza katumikia mkataba wa mwaka Mmoja bado miaka 2 sasa unaanzaje kuwapangia wamiliki wa mchezaji kisheria Bei ya kumuuza ulishaona wapi?
Hao wanajadili mambo Kwa hisia na sio Kwa weledi wa KifikraHakika watu kama wewe ni hazina kubwa sana
No porojo ni facts tu sasa PASADENA nadhani tumemalizana chukua elimu hii kutoka kwa ndugu hearly ujue mchezaji mwenye mkataba anauzwa vipi??
Ni klabu au wakala ndiyo inauza? Na vigezo gani vinazingaitwa?
Baada ya hapo mimi nimemaliza uchukue hii elimu kutoka kwa mtaalamu hearly au uache ni wewe tu
YesHapo Club inakataa £100m sababu inajua mchezaji akitaka kuvunja mkataba wake mkataba unasema alipe £ maybe 200m.
Otherwise kama Isak anaitaka Liver na anaweza nunua mkataba wake kwa bei chini ya £100m, mawakala wake wangefata huo utaratibu tu kisha angeenda Liver kwa yeye mwenyewe kusign na liver baada ya kununua mkataba
Unavyoongelea timu ya vijana ya Yanga utadhani unaongelea Barcelona U-17. Kuna uwekezaji gani ambao Yanga inafanya kwenye timu ya vijana? Mzize mwenyewe hajakaa hata mwaka kwenye hiyo timu ya vijana unayoitajataja hapa. Ndiyo maana nakwambia amka usije ukajikojolea kitandani. Usidhani unaongea na watoto wadogo hapa.Sasa mkuu wangu shida unataka kuforce mambo yaende unavyotaka
Haya wakala anataka kumpeleka mchezaji anapotaka yeye tena ofa ambayo klabu inaona ndogo je wamuuze tu??
Leo hii umemtunzq tangu team za vijana halafu unauza tu hovyo bila kuangalia value uliyotengeneza?
Yanga ni wamiliki wa mzize na wana haki ya kubargqin bei ya kumuuza sio kuuza tu kisa wakala ametaka! Hope unanielewa?
Kwahiyo wauze tu kwa bei ya hasara kisa wakala anataka? Mambo hayaendi hivyo hata kidogo mkuu lazima tukae mezani tukubaliane sio wakala afaidike kupitia mgongo wa nyuma
Kama wakala anammiliki mchezaji pekee basi amuuze saivi bila kuongea na yanga tuone..
Haya ya utumwa unaongelea wewe hapo sijui yametoka wapi??
Mzize yupo kazini na yanga taasisi ipo kazini pia
Mpira ni biashara, win-win. Hakuna timu itaandaa wachezaji ili wajiondokee kwa hasara ndo maana kuna mikataba.Wewe ni moja ya wanasimba ambao mpo timamu kichwani
Watu wanaleta ushabiki tu hapa ila tuongee ukweli kama uliosema bila kujali upande kabisa kabisa
Hapa yanga na wakala kuna conflicts of interest
Mkataba ulikuwa na kipengele cha kuvunjwa sawa lakini nadhani waliweka na kiasi kinachotakiwa ku terminate huo mkataba sasa ambacho huenda hakijafika kwa dili hili wakala aliloleta mezani hivyo yanga wanataka faida
Wakala anataka percent yake