hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Alikuwa analipwa million 2 katika wakati Ambao Hana quality Yanga ika m- shape na kumfanya awe na quality na baada ya hapo wakaanza kumlipa ml15 so tatizo liko wapi hapo !? Mlitaka alipwe mshahara mkubwa wakati misimu miwili iliyopita hakuwa matured enough wakulipwa pesa hizo na Kuinufaisha team as individual player Angalau kwasasa kile anacho kioffer kinaonekanaJamani mwee milioni 2 halafu wa nje wanatetemekewa..