Hayo ni mawazo ya shabiki wa dini ..kila anaye fanya dini ushabiki huona dini yake ni kamili.Achana na shehe uliza majibu yako acha kuruka ruka kijana kwenye maswali manne moja nimekwambia silijui mengine nimekujibu umekosea kabisa hoja ujue kama uislamu umekamilika kijana
Nashukuru ila hili swali pia jepesi mbona kila umma ulikua na manabii ama mtume wake au wengine walikua na nabii zaidi ya mmoja kwa nyakati moja mfano mussa na harun as kwahio kama kuna swali utaulizwa kuhusiana na manabii ama mitume walokuja kwako kwa kipindi hiko nadhani nimekupa jibu sahihiMuislam anapokufa na kuzikwa, baada ya jamaa kuondoka makaburini, Malaika wawili humshukia na kumuuliza marehemu , "Je, ulimuingelea vipi mtume Mohammad?" Ingawa mafundisho mengine ya Uisla husema marehemu hushukiwa na malaika, allah na mtume mohammad, ambapo allah humuuliza kuhusu uislam na mtume Mohammed.
Swali linakuja, je kabla ya kuwepo mohammed ni maswali gani waislam walikuwa wanaulizwa? Au walikuwa wanaulizwa tu hivyohivyo? Au hamjawahi kujiuliza?
Ipi hio ila bila shaka sio mie huyoBwana Utamu...Wewe ndo Mzee Yule wa Kule kwenye ile Apps iliyofungiwa??
Wala hakuna mahala nimeweka ushabiki nimekujibu swali ukimwambia mtu wa dini nyengine akupe ukamilifu wa dini yake kwa maandiko anayoyaamini sidhanii kama atakupa bali ni muislam pekee atakupaHayo ni mawazo ya shabiki wa dini ..kila anaye fanya dini ushabiki huona dini yake ni kamili.
Wewe sio mzee Utamu wa ClubhouseIpi hio ila bila shaka sio mie huyo
Sio mimi mzee hio club house naisikia sikia tu sijawahi jua yahusiana naniniWewe sio mzee Utamu wa Clubhouse
Na ndio nawashangaa hawa wanaosema kwamba mara Ibrahimu alikuwa muislamu,mara Issa alikuwa muislamu..hahahaaSWALI LA MSINGI
Ili Uwe Muislam unapaswa kushuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Muhammad ndiye Mtume wake wa mwisho....
Sasa hayo yote Muhammad alishuhudia kwa nani? Na alishudia kuwa yupi ndiye Mtume pekee wa Mwenyezi Mungu ilihali hakuwepo?
Kama kuvua viatu ndio uislamu,mbona muhammad alikua avuiHata nabii mussa nae pia alikua muislam kama sijakosea alivyo kua anaenda kwenye mlima turi kama sijakosea alikua anavaa viatu mpaka Allah alipo mwambie avue viatu kwani yupo mahala patakatifu
Ushabiki ndiyo umekufanya uamini hivyoWala hakuna mahala nimeweka ushabiki nimekujibu swali ukimwambia mtu wa dini nyengine akupe ukamilifu wa dini yake kwa maandiko anayoyaamini sidhanii kama atakupa bali ni muislam pekee atakupa
Hem nipe kidogo ndio nini ama ni mambo ya club club kama ilivyo jinaleSio mimi mzee hio club house naisikia sikia tu sijawahi jua yahusiana nanini
Kinapingana na mafundisho ila cha ajabu quran imecopy humoWAislamu na jews wanaamini mungu ni mmoja na kaleta mitume kama musa na yesu
Huku wakristo wakiamini huyu mtume wa mungu yesu wakaamua kumfanya mungu , na wakristo wakatengeneza kitabu chao ambacho ni agano jipya ambacho kinapingana na mafundisho yote ya mungu yakiwemo ya musa na muhammad
Kuvua viatu ndio uislamu kwa mujibu wa maandiko gani mzeeKama kuvua viatu ndio uislamu,mbona muhammad alikua avui
Sina ushabiki nina fact ushabiki wangu upiUshabiki ndiyo umekufanya uamini hivyo
hujawahi kusikia wakina mussa,paulo nk si wakristo?Sawa ,baba yake Muhammad alikuwa anaitwa mtumwa wa Allah ila alikuwa mpagani hii imekaaje?
Katika hiyo riwaya nilyoiandika kama hawaamini je ni kipi wanachoamini? Ni kipi hutokea pale?SIo waislamu wote Huamini Hizo riwaya Ulizoziweka maana Hazipo kwenye Quran wala Hadithi za Mtume
Allah ni standard arabic word for God , yaani muumba wa mbingu na ulimwenguAllah na God Sio sawa..
Ilah siyo Mungu ni mungu or miungu (chochote cha kuabudiwa tofauti na Mungu)Ila Kiarabu neno Mungu ni ilahi au Ilah na sio Allah...
Unaodhani hawajui huenda wanajua kuliko wewe unayedhani unajua. Rejea marekebisho niliyokupa hapoPakiJinja Tricky hizo Unaweza kuwafanyia hao waislamu na wakristo wasiojua Lugha..
Hata Wakristo katika amri 10 za Mungu kuna amri inasema "Mimi ndimi Bwana Mungu wako, usiabudu miungu wengine."KWa mfano Kwenye Kalima ya kwanza ya Uislam au Tayyab kalima..
Inasema "La Ilaha Ila Allah"
Yaani "Hapana Mungu Ila Allah"
ALiyeumba ulimwengu huu ni mungu mmoja hajawahi kubadilika wala hana mshirika ,ni kujidanganya kusema mungu mmoja aje na sheria mbili tofauti, hakuna aliyecopy chochochoteKinapingana na mafundisho ila cha ajabu quran imecopy humo
Mtu hakuna Hicho kitu ulichohadithiaKatika hiyo riwaya nilyoiandika kama hawaamini je ni kipi wanachoamini? Ni kipi hutokea pale?
Ngoja Nikuache MzeeAllah ni standard arabic word for God , yaani muumba wa mbingu na ulimwengu
Ilah siyo Mungu ni mungu or miungu (chochote cha kuabudiwa tofauti na Mungu)
Unaodhani hawajui huenda wanajua kuliko wewe unayedhani unajua. Rejea marekebisho niliyokupa hapo
Hata Wakristo katika amri 10 za Mungu kuna amri inasema "Mimi ndimi Bwana Mungu wako, usiabudu miungu wengine."
So, kuna Mungu na miungu, hata Mungu anatambua kwamba kuna miungu wengine.
Point yako ni ipi hapo?