FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Rudi juu.Swali gani uliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi juu.Swali gani uliza
Inasema illah na sio allah. Allah ni mungu wa mkuresh muddy😀😀😀Hana hoja hapo muulize swali dogo tu je alishawahi kuisoma bibilia ya kiarabu.
Yesu alimwitaje Mungu ki Aramaic?Wataalamu wa dini na wana historia wabobevu naomba mnisaidie hii mada maana imekuwa ikiniumiza kichwa kwa muda mrefu.Inasemekana uislamu ulikuja enzi za nabii Muhammad na ndio kipindi ambacho ilishushwa qurani.
Muhammad katika utoto wake wote mpaka anafikisha miaka 40 hakuwahi kuwa muislamu na historia haijawahi kugusia kwamba katika kipindi hiko chote kama kuliwahi kuwepo uislamu mpaka muhammad alipofikisha miaka 40 ndio akashushiwa qurani na yeye akasema atakuwa wa kwanza katika waliosilimu.
Kitendo cha kusema kuwa wa kwanza katika waliosilimu ina maanisha hakukuwepo na uislamu,japo kuwa wanazuoni wanadai uislamu ulikuwepo kabla hata ya kushushwa quran.
Maswali yangu ni je ,Kabla ya kushushwa quran Allah alikuwa wapi? maana quran pekee ndio imemzungumzia.
swali la pili kama Allah alikuwepo je ni vitabu gani alivishusha kwa waislamu kabla ya quran? na kama vipo hivyo vitabu ni vitabu vipi? Je vipo mpaka leo. Kama itakuwa ni Zaburi, torati na injili je ilikuwaje Allah ashindwe kuvilinda visibadirishwe kama waislamu wanavyodai kuwa vimechakachuliwa na pia wanasema vimetungwa na wanadamu? na kama sio zaburi, torati na injili ilikuwaje uislamu ukacopy zaidi ya asilimia 70 toka kwenye hivyo vitabu?
Karibuni
Wewe ni mjinga wa kiwango cha lami hujui mnyumbuliko wa lugha.Inasema illah na sio allah. Allah ni mungu wa mkuresh muddy😀😀😀
Sio tu Muhammad hakuwa Muislam hadi alipofikisha miaka 4o.ukweli ni kwamba Muhammad maisha yake yote hakuwa Muislam hadi anakufa.
Allah alimwambia yeye awe wa kwanza katika kuslimu jamaa akapiga kimya,badala yake akamsilimisha mke wake.
Mke ndiye akawa Muislam wa kwanza,Muhammad hadi anakufa hakuwai slim kama Allah alivyomuamru.
Uenda jamaa alijua uislam ni changa la macho,akachomoa kuslim.
Mungu anaweza kufanya chochote kinachoendana na utukufu wake na hayo mambo yapo nje ya uwezo na maono ya kibinadaamUkishasema Mungu hawezi kuwa kitu fulani basi huyo hana sifa ya uungu..Mungu anaweza kujifanya vyovyote atakavyo..Kama anavyotumia wingi kwenye quran
Sawa tuzungumzie vitu vinavyoendana na utukufu wa Mungu..Yesu alifunga siku aobaini bila kula,je mtume anaweza,Yesu alituliza bahari je mtume anaweza,Yesu alitembea juu ya maji je Mtume anaweza,Yesu alifufua wafu je mtume anaweza,Yesu aliponya vipofu je Mtume anaweza,Yesu aliumba na kupulizia pumzi ya uhai ,je Mtume anaweza ,Yesu anajua kilichopo nafsini /moyoni kwa mtu je mtume anaweza na mwisho kabisa Yesu anasamehe dhambi je mtume anaweza.Ukija hapa usiniambie alipewa idhini na mwenyezi Mungu maana hiyo itakuwa ni shirki..hizo ni kazi za Mungu.Na kama kutoa idhini angetoa kwa kipenzi chake muhammadMungu anaweza kufanya chochote kinachoendana na utukufu wake na hayo mambo yapo nje ya uwezo na maono ya kibinadaam
Mfano
anaweza kuikausha bahari yote
Anaweza kuuhamisha mlima Kilimanjaro
Anaweza kulifanya jua litoke magharibi na kuzama mashariki
Ila vitu ambavyo haviendani na utukufu wake Mungu hawezi kufanya
Mfano
Mungu hawezi kuja kwako kuo Binti yako
Mungu hawezi kuwa fundi seremala
Mungu hawezi kula mikate na samaki
Mungu hawezi kuenda chooni kunya
Mungu hawezi kuja Duniani akaendesha boda boda
Waislam pekee ndio tunazijua sifa za Mungu muumba mbingu na aridhi
Bibilia inasema Yesu alimfufua Lazaro Kwa idhini ya Mungu vipi wewe unapingana na bibiliaSawa tuzungumzie vitu vinavyoendana na utukufu wa Mungu..Yesu alifunga siku aobaini bila kula,je mtume anaweza,Yesu alituliza bahari je mtume anaweza,Yesu alitembea juu ya maji je Mtume anaweza,Yesu alifufua watu je mtume anaweza,Yesu aliponya vipofu je Mtume anaweza,Yesu aliumba na kupulizia pumzi ya uhai ,je Mtume anaweza ,Yesu anajua kilichopo nafsini /moyoni kwa mtu je mtume anaweza na mwisho kabisa Yesu anasamehe dhambi je mtume anaweza.Ukija hapa usiniambie alipewa idhini na mwenyezi Mungu maana hiyo itakuwa ni shirki..hizo ni kazi za Mungu.Na kama kutoa idhini angetoa kwa kipenzi chake muhammad
Nashukuru ume quote kifungu ambacho Yesu anamuita Mungu baba yake ,je muhammad ameshawahi kufanya hivyo?..Je hoja Mungu hana mwana bado ipo? .Na nikuambie tu ,Yesu kutamka msaada Kwa Mungu ni kwa sababu ya kujidhihirisha kwake kama binadamu,hakutaka watu wajue Nguvu zake direct.Bibilia inasema Yesu alimfufua Lazaro Kwa idhini ya Mungu vipi wewe unapingana na bibilia
Yohana 11:41
Basi wakaliondoa lile jiwe. Yesu akainua macho yake juu, akasema, Baba, nakushukuru kwa kuwa umenisikia.
Yohana 11:42
Nami nalijua ya kuwa wewe wanisikia sikuzote; lakini kwa ajili ya mkutano huu wanaohudhuria nalisema haya, ili wapate kusadiki kwamba ndiwe uliyenituma.
Yohana 11:43
Naye akiisha kusema hayo, akalia kwa sauti kuu, Lazaro, njoo huku nje.
Nyinyi wagalatia sijui mnakwama wapi
Nashukuru ume quote kifungu ambacho Yesu anamuita Mungu baba yake ,je muhammad ameshawahi kufanya hivyo?..Je hoja Mungu hana mwana bado ipo? .Na nikuambie tu ,Yesu kutamka msaada Kwa Mungu ni kwa sababu ya kujidhihirisha kwake kama binadamu,hakutaka watu wajue Nguvu zake direct.
Alooh,kwa hiyo unajiona kabisa umetoa hojaimeandikwa wapi hiyo kuwa alitaka kujificha ili watu wasijue kuwa yeye MuNGU? unayo maandiko au unatoa maoni yako
QURAN 5: 116-117
116. Na pale Mwenyezi Mungu atakapo sema: Ewe Isa mwana wa Maryamu! Ati wewe uliwaambia watu: Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa ni miungu badala ya Mwenyezi Mungu? (Na Isa) atasema: Wewe umetakasika! Hainifalii mimi kusema ambayo si haki yangu kusema. Ikiwa nilisema basi bila ya shaka umekwisha yajua. Wewe unayajua yaliyo ndani ya nafsi yangu, lakini mimi siyajui yaliyo katika nafsi yako. Hakika Wewe ndiye Mjuzi mkubwa wa yaliyo fichikana.
117. Sikuwaambia lolote ila uliyo niamrisha, nayo ni: Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Na mimi nilikuwa shahidi juu yao nilipo kuwa nao. Na ulipo nifisha ukawa Wewe ndiye Muangalizi juu yao. Na Wewe ni shahidi juu ya kila kitu.
Alooh,kwa hiyo unajiona kabisa umetoa hoja
Nyie ndio endeleeni kukaza fuvu wakati ukweli wote upo kwenye quran..Quran inasema Yesu ni neno la Mungu na ni roho toka kwake..kwa nini awe Yesu na asiwe kipenzi chake muhammad? Mnasema Muhammad ni mtume wa mwisho kwa nini Yesu aendelee kuwa spesho sana mbele ya kipenzi cha Allah Muhammad? Yaani mnayemuita mtu anasifa kubwa kuliko hata kipenzi cha Allah.Hapa kuna namna ,na kwa nini Allah amkaribishe Yesu badala ya Muhammad ambaye ni kipenzi chake.Na kitendo cha Yesu kukaribishwa kwa Allah ina maana amekaa kwa utukufu mmoja na Allah.Cha muhimu umesoma mimi sitoi hoja mimi nimekoti maandiko. Endelea kushupaza shingo ukifika kaburini ndio utajua hujui.. Na huko hakuna reverse ukienda ndio umeenda. No second chance
Hii ndio story kwa nini Yesu hakufa
Andiko ambalo waislamu wengi hawalipendi kwenye kitabu chao
Hiyo shahada ya mtume wameiongeza tu maana hata kwenye hiyo Quran haipo.SWALI LA MSINGI
Ili Uwe Muislam unapaswa kushuhudia kuwa yupo Mungu mmoja tu ambaye ni Allah na Muhammad ndiye Mtume wake wa mwisho....
Sasa hayo yote Muhammad alishuhudia kwa nani? Na alishudia kuwa yupi ndiye Mtume pekee wa Mwenyezi Mungu ilihali hakuwepo?