Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Utasubiri sana!.Honestly, hakuna wakati mwingine tena ambapo Watanzania tunahitaji kuiona Tanzania mpya yenye mfumo mpya wa utawala wa kikatiba na kisheria usio na chembechembe za kijani asilani...
Sukuma gang kubalini kuwa muda wenu umepita, acheni majungu na kutafuta viskendo vya kijingajinga, hizi ni zama za Mama, tulieni dawa iwaingieTupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.
Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.
Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.
Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.
Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.
Samia na chama kimejaribiwa;
Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.
-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.
Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Sio kung'ang'na, bali ni deserving kwasababu hii ndio term yake ya kwanza!.Kung'ang'ana KWA malkia kugombea muhula ujao ndio dalili kuu ya anguko la kijani!
Utasubiri sana!.But what is important ni kuwa, watatoka tu na tutawasahau kabisa kabisa...
As long as long umekubali kuwa haijalishi ni lini, then utasubiri sana mpaka utaondoka na CCM utaiacha!.Haijalishi ni lini. Iwe kesho, ama 2025. Lakini mimi nakuhakikishia jambo moja kwamba, there's no more time for CCM...!!!
Jf is user generated forum, sharing is caring, kama una lolote ujualo wengine hatulijui, please share!Exactly, lipo nilijualo na kwa wakati wako hata wewe utalijua...
Duh...!, hii hawana muda mrefu ni relative ila utasubiri sana, kama fisi anavyoona mikono ya binadamu inavyo ning'inia anafuatilia nyuma kwa kuibia ibia akiamini inakaribia kuanguka!.Vinginevyo, wewe amini tu kuwa, CCM hawana muda mrefu wa kuishi kwani kufa kwao kutathibitika rasmi kiasi cha kila mtu kushangaa na kusema...
Wa Israel walikaa utumwani Misri miaka 400!. CCM ndio kwanza miaka 50!. Msikilize mwana jf huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.Farao na Wamisri wa kale walikuwaga na dhana na mawazo kama ya maCCM hivihivi...
Walikuwa wakiamini kuwa Israel angekuwa mtumwa wao milele...
Yaani baadhi ya Israel nao walishajikatia tamaa kiasi cha kuzoea hali ya utumwa na kuamini kuwa, wameandikiwa kuwa watumwa wa Misri milele...
Mungu aweza kufanya lolote ni kweli husikia vilio vya waja wake wanao teseka, onewa na kunyanyaswa ila pia...Yes, It happened. Mungu husikia kilio cha watu wake...
Na matukio ya kweli ya kihistoria yanatufundisha kujiamini na kuamini kuwa, Mungu husikia vilio vya watu wake wanaonewa na kunyanyaswa...
Na akichoka, hutumia njia rahisi mno kuwakomboa toka ktk utumwa wa watesi wao...!
Pascal ACHA KUWEKA pamba masikioni I!Utasubiri sana!.
As long as long umekubali kuwa haijalishi ni lini, then utasubiri sana mpaka utaondoka na CCM utaiacha!.
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli!, kwa the political dynamics ya siasa zetu, hatuna any capable, credible and serious opposition ya kuipumzisha CCM!. Tujifunze kuukubali ukweli bayana Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Hauwezi kuzuia mafuriko kwa mikono.Jf is user generated forum, sharing is caring, kama una lolote ujualo wengine hatulijui, please share!
Duh...!, hii hawana muda mrefu ni relative ila utasubiri sana, kama fisi anavyoona mikono ya binadamu inavyo ning'inia anafuatilia nyuma kwa kuibia ibia akiamini inakaribia kuanguka!.
Wa Israel walikaa utumwani Misri miaka 400!. CCM ndio kwanza miaka 50!. Msikilize mwana jf huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
Mungu aweza kufanya lolote ni kweli husikia vilio vya waja wake wanao teseka, onewa na kunyanyaswa ila pia...
P
Bado huelewi nini Mr Pascal Mayalla? Nilijualo ni moja, CCM hawana maisha marefu...!!Jf is user generated forum, sharing is caring, kama una lolote ujualo wengine hatulijui, please share!
It's not a relative term, rather it's an absolute term...Duh...!, hii hawana muda mrefu ni relative
Bahati mbaya sisi siyo fisi. Sisi ni binadamu wenye akili na ufahamu usiofanana na wa fisi...!ila utasubiri sana, kama fisi anavyoona mikono ya binadamu inavyo ning'inia anafuatilia nyuma kwa kuibia ibia akiamini inakaribia kuanguka!.
Umesahau kuwa hata umri wa kuishi wa binadamu sasa ni miaka 70 tu na ukiwa na nguvu ni 80. Kwa hiyo, miaka 50 ni mzee huyo...!!Wa Israel walikaa utumwani Misri miaka 400!. CCM ndio kwanza miaka 50!. Msikilize mwana jf huyu Watch TBC Live!. " William Malecela na Ndoto ya CCM Kutawala Miaka 50!.
Ni vyema kwa kuwa unaamini hivi....Mungu aweza kufanya lolote ni kweli husikia vilio vya waja wake wanao teseka, onewa na kunyanyaswa ila pia...
P
"Sana", ilishapita. Sasa ni matokeo ya sana...Utasubiri sana!.
Tuliwaambia toka enzi zile mnampigia upatu Mwendazake awe Rais wa maisha. Tukawaambia, atapoteza maisha yeye na katiba itabaki kuwa "intact" kwa term 10 tu mkabisha...As long as long umekubali kuwa haijalishi ni lini, then utasubiri sana mpaka utaondoka na CCM utaiacha!.
Mungu hahitaji any serious opposition to change things. Mungu nimjuaye mimi hutumia vitu dhaifu kufanya mambo yake ili kuviaibisha vinavyodhani vina nguvu...!Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli!, kwa the political dynamics ya siasa zetu, hatuna any capable, credible and serious opposition ya kuipumzisha CCM!.
Yes, I agree...Tujifunze kuukubali ukweli bayana Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Tumesubiri sana kwa zaidi ya miaka 60...Utasubiri sana!.
P
Pumbav wwUkiona hivyo ujue mungu wao kajigeuza kaburini
Sawa dada.Pumbav ww
Not in Africa MappesaTupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.
Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.
Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.
Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.
Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.
Samia na chama kimejaribiwa;
Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.
-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.
Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Unaota 😀😀Tupo katika kipindi kingine cha mapambano yasionekana kwa macho, baada ya muhimili wa Bunge kutikisika kwa kauli ya aliyekuwa spika wa bunge sasa ni zamu ya Msimamizi wa shughuli za serikali.
Mwezi ujao vikao vya 9 katika bunge vinakwenda kuanza wakati wowote kuanzia hivi leo bunge linaweza kuja na agenda ya ya kutokuwa na imani nae.
Mjadala ulioibuka hivi karibuni wa suala la mfanyabiashara maarufu nchini Salome Mgaya Maarufu kama Mama Bonge unaweza kuset ajenda ya standard ya kile kitakachokwenda kujadiliwa Bungeni.
Katika hali isiyotarajiwa na wengi kinachokwenda kujadiliwa katika mkutano wa 9 utakaoanza November moja ya ajenda moto ni juu ya suala la kiongozi wa Serikali kushiriki kukwepa kodi.
Kuanzia tarehe 17 Oktoba hadi 30 Oktoba kamati za kudumu 4 za bunge zitaanza kukutana.
Familia yamtumia mwanaharakati Martin Maranja Masesa kupitia katika mitandao ya kijamii imevuja sauti ya moja ya wanafamilia mtoto wa msimamizi wa shughuli za serikali (PM) kuwa Martin MM alitumwa kuweka mambo sawa katika mitandao katika sakata hilo la ukwepaji kodi kuwa mzigo uliokamatwa wajitahidi mzee asitajwe.
Samia na chama kimejaribiwa;
Miongoni mwa vyama vikongwe vinavyotolewa mfano katika Afrika na dunia juu ya uimara wake, ukongwe wake na namna ya kinavyoweza kuhimili fukuto zake za ndani kikajisahihisha na kusonga mbele ni CCM. Kimeendelea kuwa ni mfano na hivi karibuni kinaweza kuingia katika rekodi ya kidunia kwa kuwa Chama kikongwe zaidi kubaki madarakani. Chama iko sasa kiko katika mtihani, kimejaribiwa.
-CCM inatajwa kuwa ni chama kinachosimamia misingi yake na chenye kujisahihisha kila pale kinapogundua kuwa kilifanya makosa yenye kukigharimu. Ndiyo maana katika sakata hili TRA wamekuwa wazi juu ya kukamatwa kwa mfanyabiashara Salome Mgaya.
Samia alifanya makosa, kosa kubwa lilikuwa ni kitendo cha kuruhusu kuishi na NYOKA ndani ya nyumba kama mtendaji Mkuu wa serikali akiamini kuwa “zimwi likujualo halikuli likakwisha” …ni kosa vitoto vya Nyoka kuanza kumea upya ndani Serikali.
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Rais anayo mamlaka ya kuchagua na kupendekeza jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
Wish you all the best kwenye kusubiria kwako, kwa maana hamjui siku wala saa!.Tumesubiri sana kwa zaidi ya miaka 60...
Sasa ni wakati wa "sana" hiyo kutimia...
Mkuu The Palm Beach , kwa vile mimi ni muumini wa kauli umba, ngoja nijinyamazie kuisikilizia hii kauli yako, maana kuna kauli zina umba!. "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba?. Shuhudia.."Sana", ilishapita. Sasa ni matokeo ya sana...
Tuliwaambia toka enzi zile mnampigia upatu Mwendazake awe Rais wa maisha. Tukawaambia, atapoteza maisha yeye na katiba itabaki kuwa "intact" kwa term 10 tu mkabisha...
Sasa na hapa nakuambia hivi, CCM is dead. The doctor is in the office to issue you the certificate of death ready for burial ceremony whether at Butiama - Mara regional or Mnazi moja - Zanzibar ...!!
Mungu hahitaji any serious opposition to change things. Mungu nimjuaye mimi hutumia vitu dhaifu kufanya mambo yake ili kuviaibisha vinavyodhani vina nguvu...!
Nakuhakikishia jambo moja, kubwa, umefika wakati wa jambo kubwa kutokea Tanzania na hamtaamini...!
Yes, I agree...
Kweli yatupasa sote tujifunze kukubali ukweli...
Sasa ni wewe ukubali ukweli huu nikuambiao au sisi tukubali mazoea ya hisia zenu za ulevi wa madaraka...?
Alikuachia mimba huyo jamaa!Sawa dada.
Punguza wivu basi. Au umeshaacha ushoga?Alikuachia mimba huyo jamaa!