Je, atajiuzulu au atasubiri kura Wabunge ya kutokuwa na imani naye?

Mmezunguka weee mkaona mpite Vichochoro vya Kisosora?
Lete ushahidi siyo umelala na njaa ukaota ndoto unakuja na hekaya za Abunuas [emoji16]
 
Reactions: Ame
Mimi namtetea PM hana tatizo na hawezi kuondolewa nafasi yake hata iweje. He is there to stay mpaka 2030
 
yote hayo anayajua kwa Mama hawa watu wananmchanganya na kwa kadri ya mazingira yalivyo inawezekana iko hivi:-
  1. kuna watu anapenda kufanya nao kazi waliokuwa na mtangulizi wake lakini system iliyomuweka na kumuwezesha hawawataki.
  2. kuna watu system imeshamwambia awateme muda wao umefika lakini ni mtu pendwa na wananchi kwa hiyo inatengenezwa skendol aondoke na huenda na yeye hakuuona mtego kaingia yaleyale ya Lowasa!
  3. kuna watu ni wezi na wanachofanya anakiona na kukijua na kadri ya umri wake na dhamana aliyopewa hapendi lakini ni watoto pendwa wa mfalme aliyempa madaraka.
  4. anayapenda maisha yake na familia yake kwa kuwa lisemwalo lipo kuhisi ni kosa na kuhiswa ni kosa zaidi hivyo inabidi atulie ale pop cone taratibu vinginevyo ni hatari na kwa sasa CCM kiusalama ndani ni hatari zaidi kuliko nje hakuna wa kuwadhuru nje bali watamalizana wenyewe.
  5. kwa kifupi ni kwamba wote wanatafuta fedha na inawezekana Malkia kuna baadhi ya shughuli amepewa share na wanaotumwa ndio haohao wanaotemea mate Bendera ya Taifa.
  6. mwisho wa siku kama tunataka kufanikiwa wadanganyika tujipange kwa taifa letu hakuna hata siku moja hawa jamaa watasema sasa imetosha na ninyi endeleeni na nchi yenu wataiacha mahame na kibaya zaidi kila kitu watakuwa wamepeleka nje ya nchi na sisi kubaki marofa. ifike mahali tukubali kujitoa na wengi wawe tayari kupoteza uhai kwa ajiri ya taifa hili vinginevyo "twefa twilola"
 
wamguse wanuke!, yule ndio amewasitiri maccm kwa wananchi...sasa maccm wajifanye wajuaji wataona watanzania watakavyowafanya. Huyo ndio mfariji wa wananchi baada ya yule bosi wake kutoweka duniani
huyu wamelazimishwa na wananchi kuwa naye
 
Endapo ataamua kujiuzulu mapema kabla ya tarehe 1 November, Mwenyekiti na kamati kuu inayo mamlaka ya kuwajadili na kupendekeza majina matatu na lipatikane jina moja kwa ajili ya kupigiwa kura na wabunge wote..
majaaliwa yake mola😎
 
CCM siku zote inalindwa na dola hivyo haijawahi kupata mtikisiko wowote ambao ungeilazimu ijirekebishe, CCM kwa sasa si chama bali ni mtawala na mtawala hulindwa na mtutu wa bunduki dhidi ya wapenda haki.
 
Amepata madaraka kwa shida sana,

pili hana akili ya kujiajiri.

usitegemee kujiuzuru kirahisi
AJIUZULU KWA KOSA LIPI?, HAWA VIJANA WETU WANAOJIMWAMBAFAI KWA NAFASI ZA WEWE WAO WANALETA SHIDA KWELI, MAJUZI ILIKUWA KWA SIMBACHAWENE LEO IMEKUA TENA HUKU, VIJANA WAACHE HAYA JAMANI.,WANAWASABABISHIA WAZAZI SHIDA NA KUWALETEA TASWIRA MBAYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…