Lakini ni muhimu waTanzania wapate uongozi sasa hivi utakaowaelekeza huko kwa haralka sana kabla ya 2025, vinginevyo tutaendelea tu kuwa chini ya hiki chama amabacho kimewaduwaza waTanzania wasijue la kufanya.Aaah, kumbe!
Kundi hili linanyukana na la PM ili ili mtu wao aunyakue u - PM..
Honestly, hakuna wakati mwingine tena ambapo Watanzania tunahitaji kuiona Tanzania mpya yenye mfumo mpya wa utawala wa kikatiba na kisheria usio na chembechembe za kijani asilani...
Hakuna lisilowezekana chini ya BongoBy the way Hizo ni ndoto za mchana hivi jamani kwa siasa za Sasa za Tanzania zilizojaa anaupiga mwingi,bunge la Tanzania Kuna mtu wa kuibua hoja Kama hiyo na ikaungwa mkono na Nani wakati wanalinda maslahi ya chama Chao.
Any way tuseme mpina ameanzisha je,spika ataruhusu ijadiliwe?
SiyoMnajificha ficha si mseme tu KASIMU MAJALIWA
Uoga uoga tu
Haaaa.. Bado anakubutua tu hata baada ya kuwa mfu?walidhani atafufuka baada ya siku yatu... kitu kikazamia udongoni mazima
Umeshacha ushoga kama ulivyoniahidi?Haaaa.. Bado anakubutua tu hata baada ya kuwa mfu?
Mi mwenyewe nimeshangaa Sana!Huyo wa mwisho hadi sasa amefanya nini kwenye kisiwa cha Lampedusa zaidi ya kisiwa kuzungusha mabati kila mahali na hakuna liwalo??
Mtu pekee aliyekua na ngozi ya chuma akajiuzulu alikua Edward Ngoyai Lowassa na yote kwa sababu hakua na njaa.PM huyu hawezi jiuzulu kwanza ameshatoa press kumsagia kunguni huyo aliyekamatwa na pia Bunge hili la sasa la Ndiyoooooooooooo Ndiyooooooooo kupiga kura ya kutokua na imani na PM ni jambo lisilowezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
I agree..Lakini ni muhimu waTanzania wapate uongozi sasa hivi utakaowaelekeza huko kwa haralka sana kabla ya 2025, vinginevyo tutaendelea tu kuwa chini ya hiki chama amabacho kimewaduwaza waTanzania wasijue la kufanya.
Kama safari hii itashindikana kuwaweka pembeni CCM, basi tena sijui wakati mwafaka utatokea lini na wapi.
Labda mwenzangu kuna unalolijuwa wewe, ambalo mimi silijui.I agree..
But what is important ni kuwa, watatoka tu na tutawasahau kabisa kabisa...
Haijalishi ni lini. Iwe kesho, ama 2025. Lakini mimi nakuhakikishia jambo moja kwamba, there's no more time for CCM...!!!
Tusaidie kwanini Mtoto wake alipe wanaharakati kumsafisha Baba yake…?
Exactly, lipo nilijualo na kwa wakati wako hata wewe utalijua...Labda mwenzangu kuna unalolijuwa wewe, ambalo mimi silijui.
Kamwe siwezi kuhoji unachosema hapa.
Mimi siyajui uyasemayo mkuu ila nakuelewa..Exactly, lipo nilijualo na kwa wakati wako hata wewe utalijua...
Vinginevyo, wewe amini tu kuwa, CCM hawana muda mrefu, kwani kufa kwao kutathibitika rasmi kiasi cha kila mtu kushangaa na kusema...
Looh, hivi haya mambo yamekuwaje....!!!?
Farao na Wamisri wa kale hawakuweza kuamini kuwa, wale watumwa wao (Israel) ambao walijenga dhana ya kudumu kuwa hao wangekuwa ni watumishi wao milele na kwamba ingetokea siku rahisi wasioidhania wangekombolewa kirahisi sana...!
It happened. Matukio ya kweli ya kihistoria yanatufundisha kujiamini na kuamini kuwa, Mungu husika vilio vya watu wake na akichoka, hutumia njia rahisi mno kuwakomboa toka ktk utumwa wao...!
Umeandika mengi ya kutia moyo, nami nitaendelea kujifunza na kusikiliza. Hii CCM imekuwa balaa la nchi sasa!Vinginevyo, wewe amini tu kuwa, CCM hawana muda mrefu wa kuishi kwani kufa kwao kutathibitika rasmi kiasi cha kila mtu kushangaa na kusema...
Ka TecnoSijaelewa bado kiongozi mkubwa ni nani huyo!?
Okh Naona malkia ameagiza vikosi vyake vikafanye mazoezi ya kijeshi HUKO kusini KWA kina katelephone!(source-milad Ayo updates)Exactly, lipo nilijualo na kwa wakati wako hata wewe utalijua...
Vinginevyo, wewe amini tu kuwa, CCM hawana muda mrefu wa kuishi kwani kufa kwao kutathibitika rasmi kiasi cha kila mtu kushangaa na kusema...
Looh, hivi haya mambo yamekuwaje....!!!?
Farao na Wamisri wa kale walikuwaga na dhana na mawazo kama ya maCCM hivihivi...
Walikuwa wakiamini kuwa Israel angekuwa mtumwa wao milele...
Yaani baadhi ya Israel nao walishajikatia tamaa kiasi cha kuzoea hali ya utumwa na kuamini kuwa, wameandikiwa kuwa watumwa wa Misri milele...
Lakini Mungu alitumia njia rahisi mno kuwatoa kwa kuachilia pumbazo dogo kwenye akili ya Farao na serikali yake na kutoa maamuzi waliokuja kuyashangaa hata wao...
Walikuja kushituka, kuku ameshaliwa, wameachiwa manyoya tu kwenye sahani...
Yes, It happened. Mungu husikia kilio cha watu wake...
Na matukio ya kweli ya kihistoria yanatufundisha kujiamini na kuamini kuwa, Mungu husikia vilio vya watu wake wanaonewa na kunyanyaswa...
Na akichoka, hutumia njia rahisi mno kuwakomboa toka ktk utumwa wa watesi wao...!
Kung'ang'ana KWA malkia kugombea muhula ujao ndio dalili kuu ya anguko la kijani!Exactly, lipo nilijualo na kwa wakati wako hata wewe utalijua...
Vinginevyo, wewe amini tu kuwa, CCM hawana muda mrefu wa kuishi kwani kufa kwao kutathibitika rasmi kiasi cha kila mtu kushangaa na kusema...
Looh, hivi haya mambo yamekuwaje....!!!?
Farao na Wamisri wa kale walikuwaga na dhana na mawazo kama ya maCCM hivihivi...
Walikuwa wakiamini kuwa Israel angekuwa mtumwa wao milele...
Yaani baadhi ya Israel nao walishajikatia tamaa kiasi cha kuzoea hali ya utumwa na kuamini kuwa, wameandikiwa kuwa watumwa wa Misri milele...
Lakini Mungu alitumia njia rahisi mno kuwatoa kwa kuachilia pumbazo dogo kwenye akili ya Farao na serikali yake na kutoa maamuzi waliokuja kuyashangaa hata wao...
Walikuja kushituka, kuku ameshaliwa, wameachiwa manyoya tu kwenye sahani...
Yes, It happened. Mungu husikia kilio cha watu wake...
Na matukio ya kweli ya kihistoria yanatufundisha kujiamini na kuamini kuwa, Mungu husikia vilio vya watu wake wanaonewa na kunyanyaswa...
Na akichoka, hutumia njia rahisi mno kuwakomboa toka ktk utumwa wa watesi wao...!
profesa wa jalalani alikil mbele ya dunia kupitia BBC kwamba Anzory Gwanda ameuwawa