cheti sio cha dini wewe, ni cha serikali, hata ukifunga kimila kitasajiliwa na serikali, labda dini ya kiislam wanavyo vyao na hupeleka serikalini kopi kusajiliwaCheti cha ndoa ni uhuni tu wa dini
Hao watoto wanakuwa wako au sio wako? Kama ni wako shida nini na wanatunzwa?Hivi unajuwa athari ya mwanandoa kukukana?
Wakati umesha invest pamoja vitu kadhaa?
Watoto
Mali nk.
Upo radhi kuvipoteza?
Mamlaka zote za duniani zimewekwa na Mungu. Serikali ikishauri suala ambalo halikinzani na utukufu wa Mungu bali linaongeza commitment, dini hazina haja ya kulikataa.2.) Ni kwanini sasa wanaofunga ndoa ili kutimiza miongozo ya kidini, wanalazimishwa kutimiza takwa lisilo la kidini?
Halali 100% Katina uisla boss.Ukifunga ndoa bila cheti, hiyo ndoa ni halali kidini?
Hakuna sehemu yoyote ndani ya Bible au Quran kumeonesha utaratibu wa utoaji wa cheti cha ndoa baada ya ndoa kufungwa! Isipokuwa yako madai ya watafiti wa mambo ya kale yanayodai kuwa Misri ilikuwa na huu utaratibu wa kusajili na kutoa vyeti vya ndoa miaka 3000 Kabla ya Kristo (3000 KK).Naomba muongozo
Yeah, labda tuanzie huku, good point 👏👏Kwani wapi kwenye biblia imeandikwa ufunge ndoa kanisani?
Kipo cheti cha Bakwata mkuu kwa waislamu ambacho ni cha kidini na sio cha serikaliSio wa dini, ni wa serikali. Vyeti vyote vya ndoa vinatolewa na serikali. Dini zinatii mamlaka ya kiserikali.
Ukifunga ndoa ya kikristo, kiislam au kiserikali wote mnapata vyeti vinavyofanana.
Ndoa ni nncheti cha ndoa, mpango kabambe wa kumfilisi ME
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Uislam unafindisha kua,ili ndoa ikamilike inahitaji mambo manne (4)Endapo umefunga ndoa kanisani au msikitini bila cheti, KIDINI hiyo ndoa ni halali?
Asante kwa marekebisho.Kipo cheti cha Bakwata mkuu kwa waislamu ambacho ni cha kidini na sio cha serikali
Mtu sahihi yukoje au ana sifa zipi?Usipompata MTU sahihi
Unataka ndoa au unataka uhalali, uhalali ili iweje na kwa manufaa yapi?Ukifunga ndoa bila cheti, hiyo ndoa ni halali kidini?
Ndoa sio posho hadi msaini document. Ndoa ni maelewano ya me na ke , hizo zingine ni biashara na slave of mind.Ukifunga kanisani ndoa ni lazima upewe cheti. There's no way hutapewa, maana gharama zake unazitoa mapema kabisa kabla siku ya ndoa.
Halafu kuhusu uhalali wa ndoa hiyo kidini, ni kwamba tukio la kutoa cheti cha ndoa ni sehemu ya taratibu za kufungisha ndoa. So kama wewe na mkeo hamtasaini vyeti vyenu, nachelea kusema kuwa tukio la kufunga ndoa hapo litakuwa halijakamilika.
Labda umtengeneze wewe mwenyewe.saihii nikipata binti mzuri na smart nitamtunza sanaaa sanaa
Miongozo potofu at highest degree.Kwahiyo biblia na Quran ni miongozo potofu sivyo?
Kiserikali ndoa ni mkataba; na mkataba wowote lazima uwe na documents za kuuthibitisha iwe mahakamani or elsewhere just in case. Kiimani, ndoa ni ibada; na hakimu mkuu kiimani ni yeye aliye Muumba. Hahitaji docs zozote maana yeye ni mjuzi wa yote.cheti cha ndoa ni uthibitisho wa kiserikali ili ikitokea tatizo kati ya wanandoa muwe mnatambulika.
ila katika dini siyo lazima bila hata cheti ndoa bado ni halali kama vigezo vya ndoa vimetimia (kiislam)
swali zuri sana hili, ngoja nikujibu: unaambiwa hata ukifunga huko na kupewa cheti, kama aliyewafungisha hajasajiliwa kufungisha ndoa, hiyo ndoa itakuwa batili. Kuhusu kuwekwa sanamu hapa ni papana zaidi sijui kiwango chako cha kiroho ningekujibu ni sanamu zipi unazizungumzia, ni midoli au ni kitu gani?Ukifunga ndoa Kanisani au msikitini bila cheti, hiyo ndoa ni halali kidini?
Serikali ikiamuru makanisa na misikiti yaweke sanamu la shetani kwenye nyumba za ibada, watatii?
Ni din au mahakama?Cheti cha ndoa ni uhuni tu wa dini