Neema hioDahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.
Vichwa vya tuition utavijua tu!Aliyelewa atusaidie
USSR
Watz mlipigwa sana sanaaNajaribu kuwaza akiwa kitandani Mzena dakika za mwisho alizungumza nini?
Kama jiwe unamuita muuaji Putin utamuita nani ww mwendawazisawa,Jiwe alitaka aibe yeye tu na jamaa zake wachache kina Bashite na Saambaya, na mahuaji juu
Ndio ni kweli mkuu. Nyingine wakati wake wa mwisho alikuwa anauliza kweli kunakupiga miti huko niendako?Mkuu hii ni kweli?
Humu ndani mna vituko. Cheka mbaya sana.Kama jiwe unamuita muuaji Putin utamuita nani ww mwendawazi
Pumbaaaaf[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mie alinibusu mara ya mwisho kumbe alikuwa anaenda kuolewa na mwingine[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kwa hiyo unabisha ww maamuma!Eti yupo aliyepata kusema, "baba askofu naomba uniongoze kitubio cha mwisho"
Putin lini umesikia kapandwa na uchiz akaua wananchi wake!!?Kama jiwe unamuita muuaji Putin utamuita nani ww mwendawazi
Duh! This is deepKabla hajafa alinambia 'Ezekiel nenda kapime ukimwi'
Lkn sio kila mtu anayepitia hali hiyo,hiyo hali huitwa Agon of death/Death Agon,wapo wanaokufa kifo cha starehe (Silent death), Matharani wanaolala usingizi tu na kunapokucha wanakutwa wameshafariki.Wakati mgumu mno ni ule wakati uhai unatoka - usiombe kitu hicho kikukute. Ukitaka kujua namna utakavyohangaika jaribu kuziba pumzi yako wa dakika kama 3 hivi... au jaribu kujinyonga na kisha ukijitundika mwambie nduguyo awepo hapo ili kabla hujakata roho aikate kamba - then uje utushuhudie uchungu wake.
Kwa kweli kifo ni kitu kichungu mno, na kibaya zaidi ukishazaliwa tu lazima ushuhudie maumivu hayo na baada ya kukata roho hutajua upo wapi, kama ulizaliwa duniani ama laah.
Kifo ni fumbo.
Dah!!!,Wale wanaopinga uwepo wa MUNGU nadhani Kuna kitu cha kujifunza hapa.Acha Mimi niendelee kusali.Dahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.
Nje ya madaNi muhimu sana ukawazia ya kwako kuliko kuwa concerned na ya wangine.
That is somekind ya unafiki flani hivi.
huko huko usingizini mateso lazima utayapata tu, uhai unapotoka ni lazima kuwe na mateso.Lkn sio kila mtu anayepitia hali hiyo,hiyo hali huitwa Agon of death/Death Agon,wapo wanaokufa kifo cha starehe (Silent death), Matharani wanaolala usingizi tu na kunapokucha wanakutwa wameshafariki.
Yaani kupata nafasi ya kutubu kabla ya kifo chako ni bonge la bahati aisee, Wewe unailamba mbingu.Kidini vipi kama ulikuwa muovu then kabla ujafa dakika chache ukaomba toba kwa Mola wako utaenda peponi?
Maana kupata neema ya kutubu kisha ufe ni bahati, wengi ufa ghafla
Ah!!wapi sio kweli.huko huko usingizini mateso lazima utayapata tu, uhai unapotoka ni lazima kuwe na mateso.
I love this.... natamani nikifa nipate wasaa kama huuDahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.
Usijali kuna siku utapasha tu kiporoMie alinibusu mara ya mwisho kumbe alikuwa anaenda kuolewa na mwingine😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Sad!Dahhhh, ilikuwa jumamisi ya 13/11/2018 Mzee wangu alianguka tu ghafla baada ya kumaliza kusali Jumuia nyumbani kwake. Alimwambia Mama "Mke wangu, usisumbuke kunipeleka hospitali kwani nimeshakufa, nimeuona Yesu na kaniambia nimeshakufa. Kisha akasema, Mungu wangu unisamehe kwa yote niliyotenda nikiwa duniani" Akafunga Macho na mdomo ndio moja kwa moja.