mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Ni ngumu kujua mkuu. Kuna mazuri mengi sana kwenye dini. Huenda tutapunguza yale machache yasiyo muhimu na tukafuata yale yenye faida.Jee dini zitaweza kuhimili maendeleo ya teknolojia ya zama hizi na kuendelea kubaki imara?
😁😁Typhoid haiambukizani mkuu
Fafanua kwa kina kivipi?Typhoid haiambukizani mkuu
Maendeleo ya Teknolojia yameanza Karne ya ngapi!?Mwaka 2025 kulitokea vurumai nchini Israel pale kundi la wanazuoni wa Kiebrania wajulikanao kama Haredi lilipotakiwa kujiunga na jeshi la nchi hiyo kisheria.
Hoja kubwa iliyojengwa na Serikali dhidi ya kundi hilo ni kwamba hakuna sababu inayozuia wao kujifunza mambo ya dini yao wakiwa kwenye Kambi za jeshi kwani maendeleo ya teknolojia yaliyopo yanawawezesha wao kujifunza dini yao wakiwa mahali popote.
Dini hubebwa na tamaduni ambazo kudumu kwake kulitegemea mikazo ya kisheria na makatazo yaliyotolewa bila ya kuhojiwa.
Lakini maendeleo ya teknolojia yamefanya wanadamu kuwa na chaguao (option) kwenye kuutafakari ulimwengu na mahusiano yao na Mungu.
Teknolojia imeondoa umiliki wa maarifa ya dini toka kwa wabobevu wa dini husika na maarifa hayo kwa sasa yapo kwenye miliki ya watu wote tena bila mipaka hata kwa watu wasio wa dini husika.
Leo hii vitabu vya dini zote pamoja na theojia zake zimo mitandaoni na waunga mkono au wapingaji wa falsafa za dini hizo wana nafasi sawa za kutoa maoni yao juu ya dini husika.
Jee dini zitaweza kuhimili maendeleo ya teknolojia ya zama hizi na kuendelea kubaki imara?
Dalili kutoka Qur’an
1️⃣ Suratul Nisaa (4:3)
“…Basi oeni mnaowapenda katika wanawake wawili, watatu au wanne. Lakini mkihofia kuwa hamtaweza kufanya uadilifu, basi (oeni) mmoja tu…”
Hoja yako hapa ni nini?Marekani wana viwanda vingi kuliko makanisa na misikiti ila wanaishi maisha ya kifahari
Hijabu katika Uislamu si vazi tu, bali ni maadili yanayovaliwa kwa mwili na tabia 🌸🧕. Hapa kuna Sunna za Mtume ﷺ kuhusu hijabu, kwa dalili sahihi:View attachment 3534267
Huyu ni muislamu na anadai hapa kuwa uvaaji wa hijab haukuandikwa kwenye Quran.
Huyu kutokana na maendeleo ya teknolojia katao maoni yake bila ya kuhitaji hadhira maana hadhira yake iko kwenye mitandao ya kijamii.
Teknolojia ya Sasa?Maendeleo ya Teknolojia yameanza Karne ya ngapi!?
Teknolojia ya sasa na ya kipindi Cha nyuma ina utofauti Gani!? Teknolojia ni teknolojia tu haijalishi ya sasa au ya zamani. Labda kama unaongelea kitu kingine tofauti kabisa na teknolojia.Teknolojia ya Sasa?
Soma comment yoteHoja yako hapa ni nini?
Kiukweli kabisa jukwaa halina nidhamu kabisa,halafu ni mtandao wa kitanzania huu,hakika ni aibu kubwa sanaUnakera mkuu. Huwezi kujadili mada yeyote bila kutoa baguzi za kiislamu? Mbaya zaidi unaandika matusi hovyo na kurusha picha zinazokera.
Moderators Cookie Active Paw celix YinYang Moderator 255Fixer BlackBold Boqin Bridger Fang Innovator NightCrawler Payge hebu someni post za huyu anavunja engagement rules kila siku.
Nashangaa sana kwanini hadhibitiwi. Moderators hili jukwaa mnaliharibu. Sasa imeanza kuwa kawaida kuandika matusi ovyo na wengine wanaiga.
Kwa ivo jinsi watu wanavyowasiliana Sasa kwa teknolojia iliyopo inafanana na teknolojia iliyokuwepo kwa miaka ya 1990?Teknolojia ya sasa na ya kipindi Cha nyuma ina utofauti Gani!? Teknolojia ni teknolojia tu haijalishi ya sasa au ya zamani. Labda kama unaongelea kitu kingine tofauti kabisa na teknolojia.
Zitaondoka sababu maasi yatazidi.Huu upumbavu wa dini umebaki kwa waafrika na kwa baadhi ya wazungu.
Dini ni outdated lies. Zinazopigiwa promo ziendane na usasa.
Dini zitakuja kuondoka tu.
Watu hawauziwi uoga tena na stori uchwara za motoni. Wanahoji kwa kasi sana zama hizi.
Wadau wengi sana, wanaleta nyuzi za namna gani wao wenyewe au wapendwa wao wamekuwa wakimtumainia Mungu, Lakini mwisho wa siku mambo yakaenda drama.
Polepole imani kwa Mungu ina pungua. Watu wanaamka.
Watu Wanaanza kuona hizi habari za Mungu ni hadithi za danganya toto, kula kande mbichi!!
Hii mada mlipaswa muijadili katika kapu moja kihekima kabisa , ukiipasua katika mregwa wa upande mmoja ,utakinzana na hisia za ambao hawapo upande wako na hapo utazalisha kejeli , matusi na kila aina ya dhahma .Kiukweli kabisa jukwaa halina nidhamu kabisa,halafu ni mtandao wa kitanzania huu,hakika ni aibu kubwa sana
Unaweza kuniambukiza typhoid?Fafanua kwa kina kivipi?
Hapa Kuna kitu unachanganya.Kwa ivo jinsi watu wanavyowasiliana Sasa kwa teknolojia iliyopo inafanana na teknolojia iliyokuwepo kwa miaka ya 1990?
Huwezi kuilewa qur'an peke yake pasina hadith za Mtume,kuna mambo yameelezwa kwenye qur'an lakini ufafanuzi wake umeelezwa na Mtume Muhammad swala aallahu alaih wassalamuHivi hapo palipoandikwa "Katika wanawake wawili, watatu au wanne" hilo neno halimaanishi sawa na "miongoni mwa wanawake wawili, watatu au wanne"?
Hiyo ndiyo unaona kama imeruhusu waislamu kuoa wake wanne?
Halafu nimeandika hapo juu kuwa siku hizi wapo baadhi ya waislamu wanakataa kutumia hadithi zozote kuisimamisha Quran. Wao wanasema Quran inajitegemea aihitaji Hadithi kuthibitisha.
Nikila chakula kwa mikono michafu na wewe ninaweza kufanya hivyoUnaweza kuniambukiza typhoid?