Je, Geita ina fursa gani?

Je, Geita ina fursa gani?

Da kwanini geita haina fursa naona hii ni kila m2 anapigia pin.
Mji wa ovyo sana ,geita ina hadhi ya wilaya sio mkoa,ile stend huwa siielewi,soko la ajabu,hakuna biashara ya maana zaidi ya madini,hoteli ya maana ni moja tu Lenny hotel😅ghorofa la maana ni moja tu la otonde,mitaa mingi ni vumbi😀ukimwi UTI,uchawi ndio home
 
Kwenye uchawi mkuu umentisha dah nlikua naangalia changamoto zote nikaona mbona sio swala zinakwepeka ila apo kwenye uchawi dah
 
Madini na uchawi huwezi kuvitenganisha,mi nimesharogwa sana sema niko vizuri,Mungu ananilinda sana
Sema mbona naskia watu wengi hawafanikiwi sana kwenye madini nini changamoto...inaweza kuwa ni uchawi au kuna mambo ya ukatili zaidi?
 
Kama kuna madini nafkiri bc kutakuwa na washkaji wenye pesa mnoo,
So ukiachana na lodge kipi kingine kinaweza kuwa fursa
Je ni nini inaweza kuwa changamoto nifikapo

Amna uchawi? Vibaka + majambazi je? Matikio ya hovyo??
Wapo wenye pesa ndio,ila matanuzi mwanza,uchawi usiulize kwa wasukuma mkuu,vbaka + majambaz sio kivile,matukio ya hovyo yapo
 
Ujuaji upi? nmesema nataka shortcut? Wewe umedandia vbaya hii thread mkubwa.
Fursa ya dhahabu ni shortcut. Kitu kuwa shortcut sio kibaya. Unaweza kutumiq mil 200 ukapata 0 au -, bado hapo hapo unaweza kufaulu ukapata zaido ya 1B.

Ila kama unataka kutajirika, Geita ni ukanda wa dhahabu, mengine yote ninkujizungusha. Ukitaka shorcut ingia moja kwa moja huko. Kama hutaki pia uko sahihi.
 
nashkuru kwa ufafanuzi vipi upo geita mkuu
 
Back
Top Bottom