Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ni kwa upande wa bishara gani ambazo mizigo yake yote inafuatwa Katoro.? Katoro imekuwa na uwezo wa kuhudumia mikoa yote hiyo tangu lini.?Sijaikuza hivi unajua geita,mwanza,runzewe,bukoba,ngara,muleba,chato,nyarugusu,bwanga,sengerena kuna baadhi ya bidhaa wanafuata katoro,
Ni sehemu yenye biashara na mzunguko mkubwa, baadhi ya watu hufuata mizigo pale lakini si kweli kwamba ni Kariakoo ya Kanda ya ziwa. No way inaweza kuhudumia mikoa yote ya kanda ya kanda ya ziwa kwa kila kitu.