Je, Geita ina fursa gani?

Je, Geita ina fursa gani?

Chato usiichukulie poa,ni wulaya ila ina facilities hata mkoani geita hawana,airport,hospitali ya kanda,stand kali,ambazo geita hawana
Ukiambiwa uchague kuishi geita town na chato, unachagua wapi?
 
Katoro unaweza kutoboa kirahisi kuliko geita.
Kwanza gharama ya maisha ni chini sana kuliko geita, na kuna nyomi ya kufa mtu. Kunabaishara kama Kkoo. Watu wengi ni wageni kuliko wenyeji. Kuanzia madini, mazao, nguo na kila kitu naona watu wanafanya pale. Ni km chache tu kutoka Geita. Nauli kutoka geita ni 2000.

Katoro ndio kkoo ya lakezone. Jaribu kupacheki na pale.
Katoro kuna chochoro panaitwa kariakoo,ukijidahau utasema uko kariakoo,ukitoka nje ndio unakutana na vumbi ns milima kwa mbaaali,ila katoro pako poa sana
 
Poa sana. Pale kariakoo. Niliwahi kununua bidhaa ambayo tofauti na bei ya kariakoo DSM ni buku tu.
Pia kuna chochoro moja pale sokoni huwa wanauza samaki wabichi kwa jumla. Unaweza kuwanunua kwa bei kama uko ziwani. Wakati geita kula samaki ni kama anasa.
 
Tatizo la geita kila mfanyabiashara anadhani kila mtu anafanyakazi GGM
 
Fursa ya dhahabu ni shortcut. Kitu kuwa shortcut sio kibaya. Unaweza kutumiq mil 200 ukapata 0 au -, bado hapo hapo unaweza kufaulu ukapata zaido ya 1B.

Ila kama unataka kutajirika, Geita ni ukanda wa dhahabu, mengine yote ninkujizungusha. Ukitaka shorcut ingia moja kwa moja huko. Kama hutaki pia uko sahihi.
Kweli mkuu shortcut ya halali inayo tajilisha haraka ni kwenye dhahabu tu.
 
Poa sana. Pale kariakoo. Niliwahi kununua bidhaa ambayo tofauti na bei ya kariakoo DSM ni buku tu.
Pia kuna chochoro moja pale sokoni huwa wanauza samaki wabichi kwa jumla. Unaweza kuwanunua kwa bei kama uko ziwani. Wakati geita kula samaki ni kama anasa.

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mleta mada nenda miji kati ya hii mwanza,kahama na katoro,kama uko serious kufanya biashara kanda ya ziwa.
 
Kama unataka kufanikiwa kwa haraka njoo Geita, biashara pekee ya kueleweka ni uchimbaji. 90% ya watu wanajihusisha na uchimbaji kwa namna Moja au nyingine. Hivyo kama unaweza njoo uchimbe kama huwezi tafuta biashara ya kuhudumia wachimbaji. Miaka 8 lazima uwe bilionea. Mimi nna miaka 4 hapa nna assets na miradi not less than 300m na sikuja ata na godoro.
 
Kwa mtu anaekuja kuanza kujitafuta unashauri aanzie wapi
 
Kama unataka kufanikiwa kwa haraka njoo Geita, biashara pekee ya kueleweka ni uchimbaji. 90% ya watu wanajihusisha na uchimbaji kwa namna Moja au nyingine. Hivyo kama unaweza njoo uchimbe kama huwezi tafuta biashara ya kuhudumia wachimbaji. Miaka 8 lazima uwe bilionea. Mimi nna miaka 4 hapa nna assets na miradi not less than 300m na sikuja ata na godoro.
Daah mkuu ni pm namba yako.naomba tafadhalii kaka lengo la kuuleta mjadala huu ni pia atleast nipate abc na wenyeji pia .... nakija ata kupata wenyeji kbla sijafika ni kitu nnahitaji...japo pia nna plan....
 
Back
Top Bottom