We jamaa wewe ebu ichunguze akili yako vizuri huwenda kuna nati moja imelegea.
Nafikikiri kuna vitu tunapaswa kukufahamisha tu.
Kwanza tambua geita ni miongoni mwa mikoa michanga Tanzania.
Kuna project zenye hadhi ya ki mkoa bado zipo kwenye mipango na nyingine zinajengwa najengwat ni mkoa ambao una project nyingi ambazo bado hazija kamilika.
Mfano, *ujezi wa soko la kisasa gedeco.
- Ujenzi wa stend ya mkoa wa geita magogo
- Ujenzi wa kiwanja cha Mpira magogo
- Ujenzi wa egesho la magari malori nyankumbu, na nyingine nyingi.
Hotel zipo nyingi nzuri sema wewe umekariri leny hotel kwakua ipo njiani.
Hoja yako ya uchawi nambie ni mkoa gani Tanzania hauna uchawi, usikute ata ndani ya ukoo wako huko mkoani kwenu kuna ndugu zako wachawi.