Danelagen bin Al Maktoum
JF-Expert Member
- Jun 24, 2023
- 354
- 807
Mkuu wewe umemalizaMji wa ovyo sana ,geita ina hadhi ya wilaya sio mkoa,ile stend huwa siielewi,soko la ajabu,hakuna biashara ya maana zaidi ya madini,hoteli ya maana ni moja tu Lenny hotel😅ghorofa la maana ni moja tu la otonde,mitaa mingi ni vumbi😀ukimwi UTI,uchawi ndio home
Sijaikuza hivi unajua geita,mwanza,runzewe,bukoba,ngara,muleba,chato,nyarugusu,bwanga,sengerena kuna baadhi ya bidhaa wanafuata katoro,Kariakoo ya kanda ya ziwa.? Nakubaliana na wewe kuhusu mzunguko wa pesa pale, ila kuna namna fulani umeikuza mpaka ukawa ni uongo.
Kwaio jibu ni lipi mkuu naon kma point inakuja af sielew hhhKila sehemu kuna fursa.Kama huioni ni kwa kuwa hujashirikisha ubongo vizuri.
Anzia hata web ya Mkoa uone fursa.Soma nyaraka za serikali ujue mkoa wenye watu takribani 2.9m una nini.Watu wanaishi siyo wote wameajiriwa na GGM au Serikali:Multiplier effect ya kuchenjua Dhahabu ni kubwa.Fungueni macho msije mkakariri.Niko Katoro na Geita ni kadri ya 42 km
Sema baadhi mnaiongelea kahama nngependa kuitilia kdgo kahama pia asanteeKuna mzunguko mgumu sana wa pesa, hela zinatafutwa kwenye migodi ila raia wengi hukimbilia Mwanza kwa mambo mengi.
Sehemu ambayo migodi imeleta mzunguko wa pesa mkubwa ni Kahama, nenda huko badala ya Geita.
Hujaja mda mrefu kumbe,, Kuna Harvest Hotel achana na hyo LennyMji wa ovyo sana ,geita ina hadhi ya wilaya sio mkoa,ile stend huwa siielewi,soko la ajabu,hakuna biashara ya maana zaidi ya madini,hoteli ya maana ni moja tu Lenny hotel😅ghorofa la maana ni moja tu la otonde,mitaa mingi ni vumbi😀ukimwi UTI,uchawi ndio home
We jamaa wewe ebu ichunguze akili yako vizuri huwenda kuna nati moja imelegea.Mji wa ovyo sana ,geita ina hadhi ya wilaya sio mkoa,ile stend huwa siielewi,soko la ajabu,hakuna biashara ya maana zaidi ya madini,hoteli ya maana ni moja tu Lenny hotel[emoji28]ghorofa la maana ni moja tu la otonde,mitaa mingi ni vumbi[emoji3]ukimwi UTI,uchawi ndio home
Umemcharaza sana kijana mwenzio na fimbo..We jamaa wewe ebu ichunguze akili yako vizuri huwenda kuna nati moja imelegea.
Nafikikiri kuna vitu tunapaswa kukufahamisha tu.
Kwanza tambua geita ni miongoni mwa mikoa michanga Tanzania.
Kuna project zenye hadhi ya ki mkoa bado zipo kwenye mipango na nyingine zinajengwa najengwat ni mkoa ambao una project nyingi ambazo bado hazija kamilika.
Mfano, *ujezi wa soko la kisasa gedeco.
- Ujenzi wa stend ya mkoa wa geita magogo
- Ujenzi wa kiwanja cha Mpira magogo
- Ujenzi wa egesho la magari malori nyankumbu, na nyingine nyingi.
Hotel zipo nyingi nzuri sema wewe umekariri leny hotel kwakua ipo njiani.
Hoja yako ya uchawi nambie ni mkoa gani Tanzania hauna uchawi, usikute ata ndani ya ukoo wako huko mkoani kwenu kuna ndugu zako wachawi.
Mu naishi geita huu mwaka wa tano njoo hapa Shelabela upate chai kwanza,Geita pa ovyo sana,nafahamu project zote na nafahamu mji unakua kuelekea Kasamwa,kwa ambaye hajatembea atasema Geita pako vizuri ila kwa tuliozurura duniani,kuita Geita a gold city ni kitukoWe jamaa wewe ebu ichunguze akili yako vizuri huwenda kuna nati moja imelegea.
Nafikikiri kuna vitu tunapaswa kukufahamisha tu.
Kwanza tambua geita ni miongoni mwa mikoa michanga Tanzania.
Kuna project zenye hadhi ya ki mkoa bado zipo kwenye mipango na nyingine zinajengwa najengwat ni mkoa ambao una project nyingi ambazo bado hazija kamilika.
Mfano, *ujezi wa soko la kisasa gedeco.
- Ujenzi wa stend ya mkoa wa geita magogo
- Ujenzi wa kiwanja cha Mpira magogo
- Ujenzi wa egesho la magari malori nyankumbu, na nyingine nyingi.
Hotel zipo nyingi nzuri sema wewe umekariri leny hotel kwakua ipo njiani.
Hoja yako ya uchawi nambie ni mkoa gani Tanzania hauna uchawi, usikute ata ndani ya ukoo wako huko mkoani kwenu kuna ndugu zako wachawi.
Nkifika ntakuja kupata chai, ntakucheki naomba ruhusaa yako mkuu...Mu naishi geita huu mwaka wa tano njoo hapa Shelabela upate chai kwanza,Geita pa ovyo sana,nafahamu project zote na nafahamu mji unakua kuelekea Kasamwa,kwa ambaye hajatembea atasema Geita pako vizuri ila kwa tuliozurura duniani,kuita Geita a gold city ni kituko
Karibu sanaNkifika ntakuja kupata chai, ntakucheki naomba ruhusaa yako mkuu...
NaHujaja mda mrefu kumbe,, Kuna Harvest Hotel achana na hyo L
Naishi mwatulole huu mwaka wa tano,kuanzia kasamwa mpaka nyamigota,buziku,bwanga,nyarugusu,chato,nzela.nkome,katoro,buseresere,runzewe,matabe kote ni nyumbaniHujaja mda mrefu kumbe,, Kuna Harvest Hotel achana na hyo Lenny
Hivi ni kwanini geita panajengeka huku magogo na kuelekes kasamwa?Mu naishi geita huu mwaka wa tano njoo hapa Shelabela upate chai kwanza,Geita pa ovyo sana,nafahamu project zote na nafahamu mji unakua kuelekea Kasamwa,kwa ambaye hajatembea atasema Geita pako vizuri ila kwa tuliozurura duniani,kuita Geita a gold city ni kituko
Kumbe upo tokea 2019,,Na
Naishi mwatulole huu mwaka wa tano,kuanzia kasamwa mpaka nyamigota,buziku,bwanga,nyarugusu,chato,nzela.nkome,katoro,buseresere,runzewe,matabe kote ni nyumbani
Chato tuipe hadhi gani?Na
Naishi mwatulole huu mwaka wa tano,kuanzia kasamwa mpaka nyamigota,buziku,bwanga,nyarugusu,chato,nzela.nkome,katoro,buseresere,runzewe,matabe kote ni nyumbani
Ndio master plan ya mji ilivyopangwa kwingine ni nahandaki ya machimbo ya dhahabu,ule mji chini ni mahandaki invisibleHivi ni kwanini geita panajengeka huku magogo na kuelekes kasamwa?
Aisee noma sa aNdio master plan ya mji ilivyopangwa kwingine ni nahandaki ya machimbo ya dhahabu,ule mji chini ni mahandaki invisible