Je, Geita ina fursa gani?

Chato usiichukulie poa,ni wulaya ila ina facilities hata mkoani geita hawana,airport,hospitali ya kanda,stand kali,ambazo geita hawana
Ukiambiwa uchague kuishi geita town na chato, unachagua wapi?
 
Katoro kuna chochoro panaitwa kariakoo,ukijidahau utasema uko kariakoo,ukitoka nje ndio unakutana na vumbi ns milima kwa mbaaali,ila katoro pako poa sana
 
Katoro kuna chochoro panaitwa kariakoo,ukijidahau utasema uko kariakoo,ukitoka nje ndio unakutana na vumbi ns milima kwa mbaaali,ila katoro pako poa sana
Poa sana. Pale kariakoo. Niliwahi kununua bidhaa ambayo tofauti na bei ya kariakoo DSM ni buku tu.
Pia kuna chochoro moja pale sokoni huwa wanauza samaki wabichi kwa jumla. Unaweza kuwanunua kwa bei kama uko ziwani. Wakati geita kula samaki ni kama anasa.
 
Tatizo la geita kila mfanyabiashara anadhani kila mtu anafanyakazi GGM
 
Kweli mkuu shortcut ya halali inayo tajilisha haraka ni kwenye dhahabu tu.
 

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mleta mada nenda miji kati ya hii mwanza,kahama na katoro,kama uko serious kufanya biashara kanda ya ziwa.
 
Kama unataka kufanikiwa kwa haraka njoo Geita, biashara pekee ya kueleweka ni uchimbaji. 90% ya watu wanajihusisha na uchimbaji kwa namna Moja au nyingine. Hivyo kama unaweza njoo uchimbe kama huwezi tafuta biashara ya kuhudumia wachimbaji. Miaka 8 lazima uwe bilionea. Mimi nna miaka 4 hapa nna assets na miradi not less than 300m na sikuja ata na godoro.
 
Kwa mtu anaekuja kuanza kujitafuta unashauri aanzie wapi
 
Daah mkuu ni pm namba yako.naomba tafadhalii kaka lengo la kuuleta mjadala huu ni pia atleast nipate abc na wenyeji pia .... nakija ata kupata wenyeji kbla sijafika ni kitu nnahitaji...japo pia nna plan....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…