Je, Geita ina fursa gani?

Sijaikuza hivi unajua geita,mwanza,runzewe,bukoba,ngara,muleba,chato,nyarugusu,bwanga,sengerena kuna baadhi ya bidhaa wanafuata katoro,
Ni kwa upande wa bishara gani ambazo mizigo yake yote inafuatwa Katoro.? Katoro imekuwa na uwezo wa kuhudumia mikoa yote hiyo tangu lini.?

Ni sehemu yenye biashara na mzunguko mkubwa, baadhi ya watu hufuata mizigo pale lakini si kweli kwamba ni Kariakoo ya Kanda ya ziwa. No way inaweza kuhudumia mikoa yote ya kanda ya kanda ya ziwa kwa kila kitu.
 

Mwanza ndio soko kubwa la bidhaa kanda ya ziwa.
 
Hii kusema Katoro ni Kariakoo ya Lake zone, sijui mnaamanisha nini tu.

[emoji23]
 
Hii kusema Katoro ni Kariakoo ya Lake zone, sijui mnaamanisha nini tu.

[emoji23]

Kama unaijua kariakoo vizuri sifa yake kubwa ni maduka ya nguo au mavazi kwa ujumla,ukifunga maduka ta nguo kariakoo itakuwa sio hii tunayoijua,like wise katoro,kwa biashara ya nguo bei zao ziko cheap kuliko mwanza na wanasupply sehemu kubwa ya kanda ya ziwa ukitoa simiyu,na musoma,siri kubwa ni kwamba wafanyabiashara wengi wa katoro wanaagiza direct from china kama wafanyavyo wale wakariakoo,hii ndio inaoekekea bei kuwa chini,kumbuka katoro imejengwa na madon wa nyarugusu migodini wana mitaji mikubwa
 
Ungesoma literature na kuelewa maana au tofauti ya simile na metaphor ungeelewa
Kibiashara si sawa kusema Katoro ni kariakoo ya Kanda ya ziwa (mikoa yote hiyo), mambo ya literature kwenye issue za kibiashara hupelekwa hasara kwa anaepewa taarifa.

Hata kama utasisitiza matumizi ya fasihi, bado aliyechangia kaikuza sana KATORO.
 
Kibiashara si sawa kusema Katoro ni kariakoo ya Kanda ya ziwa (mikoa yote hiyo), mambo ya literature kwenye issue za kibiashara hupelekwa hasara kwa anaepewa taarifa.

Hata kama utasisitiza matumizi ya fasihi, bado aliyechangia kaikuza sana KATORO.
Ahaaa Ila mi nadhani ukiondoa kahama,mwanza na musoma,katoro kibiashara iko juu kwa ukanda huo
 
Mkuu mimi Niko na 35M ... Naweza kuwekeza kwenye issue zipi hapo geita ... Msaada wako tafadhari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…