Hizi ni baadhi tu ya sababu zipo nyingi.Jibu maswali yako mawili uliyoyaacha.
1. Kwanini Kawe ni jimbo la kimkakati?
2. Kwanini CCM ililitaka ?
Mkuu ni vizuri muache upotoshaji na kujustify upuuzi. Kipindi Dar ipo chini ya CHADEMA mlisema miradi yote ameifanya makonda na pesa ni za serikali sio halmashauri za CHADEMA.Hizi ni baadhi tu ya sababu zipo nyingi.
1. Lina uwezo wa kukusanya kodi zaidi ya kodi inayokusanywa kwa sasa.
2. Ni jimbo lenye vyanzo vingi vya mapato visivyo halali na vile vya halali hivyo linataka mtu ambae ana uwezo wa kuvifanyia upembuzi yanikifu vyanzo hivyo na kuviboresha.
Kawe ni jimbo lenye hadhi ya kitaifa na kimataifa hivyo ilani ya uchaguzi ya CCM ni lazima iingie jimboni humo na kutekelezwa kupitia mbunge wao.
Mkuu ni vizuri muache upotoshaji na kujustify upuuzi. Kipindi Dar ipo chini ya CHADEMA mlisema miradi yote ameifanya makonda na pesa ni za serikali sio halmashauri za CHADEMA.
Leo hii mmepata mbunge mnaflip sasa kuwa ili ilani itekelezwe lazima jimbo liwe chini ya CCM? kwani kipindi mnajenga Flyover mlikua na mbunge wa CCM ubungo?
Mbunge kazi zake ni kusimamia serikali itekeleze mpango wa taifa (Ambayo ilani ndio inaizaa) whether ni CCM au CHADEMA na ndio maana kuna vikao vya bajeti na kujadili mpango wa taifa bila kujali vyama.
Msipotoshe watu humu kuwa hamkukusanya mapato kawe kisa Mdee alikuwepo. With due respect, U r more intelligent than this, partisanship isikutoe ufahamu mkuu.
Mkuu unaweza eleza hizo kura zilizokamatwa kwenye mabegi nayo ni halali kwenye uchaguzi?Ni kwamba sisi humu JF tupo watu wa aina mbalimbali na sifa tofauti.
Wapo watu humu tukiongelea masuala fulani ni lazima wengine ujiulize hawa wanamaanisha nini?
Mimi niliwahi kusema humu kwamba Kawe ni moja ya majimbo ya kimkakati ambayo CCM ilikuwa imejiandaa kuyapigania kupitia sanduku la kura.
Sasa mmewahi kujiuliza Kawe ni jimbo la kimkakati kwa vipi na ni kwanini CCM inalitaka jimbo hilo?
Lakini si mliona kampeni za Gwajima Kawe?
Lakini Halima Mdee hakuliona hilo na badala yake mkaanza mizaha ya kejeli na kashfa kwa Gwajima.
Wakati mwafanya hivyo mitandaoni, mwenzenu Gwajima akawa pia afanya vikao na wananchi avijiweni akijibu masuali ya papo kwa hapo huku akiomba kura.
Baadae "full CCM Machine" ikaingia Kawe tena kwenye mvua kuomba kura?
Alichofanya Halima Mdee kwenye siku ya kampeni ambayo alipaswa kutema hoja za msingi za kuomba tena kura kwa wananchi ,unakijua.
Sasa msilalamike.
Mbunge anazuia vipi mapato ya jimbo ilihali serikali kuu na halmashauri zipo chini ya CCM?In last 5 years Halima Mdee amekaa vikao vingapi vya bunge?
Na katika hayo ametatua matatizo mangapi jimboni humo?
Mabli ya yote haya kulikuwa na ulazima kwa CCM kuchukua majimbo hayo mawili kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kukosa mapato halisi ya kodi.
Mimi na wewe huenda tuna maoni tofauti kwenye hilo.Mkuu unaweza eleza hizo kura zilizokamatwa kwenye mabegi nayo ni halali kwenye uchaguzi?
Kura za Urais na ubunge kupishana kwa 127,000 ni credible? Una maoni gani hapo.
Hakuna sehemu nimesema Mbunge kazuia mapato ya jimbo.Mbunge anazuia vipi mapato ya jimbo ilihali serikali kuu na halmashauri zipo chini ya CCM?
Embu tueleweshane hapo tu
Kura za Urais hazihojiwi popote wao wanaruhusu uongelee za ubunge tu so hoja itafia hapo hapo.Mimi na wewe huenda tuna maoni tofauti kwenye hilo.
Ila kwenye uchaguzi wowote mbinu mbalimbali zaweza kutumika ili kujaribu kupinga matokeo.
Ila nakumbuka nilisikia pale Kawe palikuwepo waangalizi wa nchi za kigeni.
Na isitoshe kama kweli hizo kura zilikamatwa si zingepekewa polisi na hatua za kisheria zifuatwe?
Kuhusu kura kupishana kwa 127,000 bado ni suala la kupeleka mahakamani ili lijadiliwe kisheria.
Kama hayaridhishi ni udhaifu wa halmashauri ya kinondoni iliyo chini ya CCM na udhaifu wa serikali ya mkoa chini ya Makonda au DC wa kinondoni period!!Hakuna sehemu nimesema Mbunge kazuia mapato ya jimbo.
Nimesema moja ya mikakati ya CCM katika jimbo hilo ni kuhakikisha kunakuwepo mapato halisi ambapo mpaka sasa mapato hayo hayaridhishi.
"Irregularities" ipo kila chaguzi, hivyo hakuna uchaguzi wa asilimia 100 perfect.Kura za Urais hazihojiwi popote wao wanaruhusu uongelee za ubunge tu so hoja itafia hapo hapo.
Then police wapo kwenye video na wali detain hizo kura kma ushahidi maana ni mali ya NEC wasingeweza waachia CHADEMA.
Kingine kma hizo kura zilikua planted na CHADEMA je kwanini hawajawakamata kwa forgery? Au ina maana CHADEMA wana access na kura za NEC kabla hazijapigwa? Je kma CHADEMA tu wameweza pandikiza kura feki waichafue CCM ina maana kumbe mtu yeyote anaweza access hizo karatasi kirahisi sana? Huoni mnazidi kuonyesha uchaguzi ulivuokua compromised!!
Kazi ya waangalizi sio kukagua kura bali kuangalia process tu. Mfano walemavu wana vyokua handled, uchaguzi kufuata kanuni zilizopo, hayo ya kura bandia au halali sio kazi yao afterall wao wanachukua sample ya vituo. Kwa nchi nzima wameenda vituo 80 pekee kati ya vituo elfu 80!! Sidhani kama nahitaji kuelezea zaidi.
Wana tamaa na madarakaHalima aligombea pia viti maalum, ndio uone watu walivyo wabinafsi. Mtu anagombea nafasi mbilimbili, ili akikosa moja apate nyingine
Its is very technical issues ambazo ni CCM pekee wanafahamu namna za kuzishughulikia.Kama hayaridhishi ni udhaifu wa halmashauri ya kinondoni iliyo chini ya CCM na udhaifu wa serikali ya mkoa chini ya Makonda au DC wa kinondoni period!!
Kuanza kurusha lawama kuwa Mbunge fulani alizorotesha mapato wakati hana mamlaka ya kutoa leseni za biashara au kuwaagiza TRA ni kupotosha umma.
Ni akili za wapiga kura zimefikiria kwamba Halima Mdee miaka 10 imetosha.Kwahiyo wewe kwa akili yako umeona kweli kabisa kamtoa Mdee Kawe?
Like seriously?
Mkuu utasikia wanaendelea kutoka ufipani kuelekea lumumba kuunga juhudi. Husiusemee moyo wa mtuHaji mtu huko...kaeni 100% ccm..
Nani anataka kuja kuhalalisha upumbavu uliofanyika?
Mnadhani mnaweza fanya ujinga halafu mje mtoe vizawadi kwa baadhi ili kuhalalisha upumbavu?
Mambosasa alifafanua uzuri tu alisema kulikuwana wapiga kura ambao walikuwa wanaishi sehemu zingine lakini walijiandikisha sehemu zingine.Hii dunia ina unafiki kupita maelezo...yaani polisi anapelekewa mwizi wa kura feki na begi lake instead aliepeleka anashikwa yeye!
Na on top of that,Mambosasa anasema ni mabegi ya mkoani yana nguo tu wakati yamejaa kura caught on live camera!
Kila unachoongea hapa ni unafiki mtupu!
LoserMimi siyo mjinga
Ni kweli hata mimi nampenda huyu dada, ni mjenga hoja mzuri, mwenye kujiamini na asietetereka.Si kweli mkuu....
Gwajima hawezi mpita Halima kwa chochote....Halima ni mwanasiasa namba moja mwanamke Tanzania for a reason!
Hii election facade nchi nzima ni shame to this regime and itakaa kwenye historia milele na milele!