Je hapa Nina mke kweli?atumia laki tatu ndani ya wiki3 akiwa ugenini katika harus

Laki 3 kwa wiki tatu ni hela ndogo sana aisee, acha kulalamika
 
Ni nature ya mwanamke kutaka mume a provide hatakama ana milioni laki kumi
 
Vitu vingine hata sio vyakulalamika jmn si yupo mbali na nyumbani?wiki 3 kwa hiyo ela itakua ishaisha
 
Hiyo ni mashine ya kuchakata na kukoboa pesa.
 
Yaan unjihudumia kama nin unajipikia au..nkuulize ww ukienda kwa baba Yako mkubwa au mdogo huwa hauko comfortable
Ungesema kwa baba yangu mzazi sawa. Lakini niende kwa baba mkubwa na watoto wangu halafu nikunje mikono. Hapana kwakweli sijalelewa hivyo. Maisha magumu siku hizi watu walikua wanatumia sukari 1kg kwa wiki mbili nimeongezeka na wanangu sukari inatumika wiki kwanini nisichangie. Na ninakaa karibu mwezi.
Ustaarabu ni muhimu sana wageni kama nyie mnaumiza wenyeji wenu. Hata kujishtukia huwezi? Ukae kwa watu wiki 3 tena na watoto halafu usichangie kwenye budget, mmmmh tumeumbwa tofauti.
 
Hapana Sina kama mke umempa laki tatu na nusu alafu Hela ya dawa ya mtoto shingi3000 akuombe nimtihani,hapa mke hakuna kabisa,labda awe amefika uko kageuka muhemeaji wa familia
Oooh kumbe ulitaka upewe majibu ambayo tayari unayo!!

Kwahiyo ulitegemea hizo wiki tatu zote wawe wanakulishia na kuwahudumia mkeo na wanao?
Unakuja kutulalamikia badala umuulize ametumiaje hizo pesa😳😳
Ushasema walikwenda kwenye harusi hivyo mambk huwa mengi.
 
Ulimpa hela ya mchango wa harusi, mavazi, ya kutunza zawadi, vinywaji? Wiki tatu ni nyingi sana kwa sherehe, kuna uwezekano mkubwa hiyo hela imekwisha ndio maana anataka nyingine.
Kaa ongea nae akupe taarifa unaweza shangaa yuko sahihi.
Labda nikuulize swali pia, wewe ulitaka mpaka muda huo awe amebakiza shilingi ngapi?
 
Sasa mtu amekaa nyumbani hatoki siku tano hiyo 17000 anatumia ktk nin labda awe ameveuka kuwa muhemeaji kabeba majukum ya familia
Unapoipeleka familia yako namàanisha mke na watoto hata kama ni kwa babu yao piga hesabu ya matumizi yao kama unavyofanya wakiwa nyumbani kwako hii itakupa heshima na kutodharauliwa
 
Aisee Una mke, yaani laki tatu wiki tatu, wangu laki tatu siku tatu
 
Mke anaondokaje nyumban wiki 3? Watu mna moyo Kwel uko ex zake lazma waichakate
Na ndo wanaokula hiyo hela maana wanawake wakirudi mtaani kwao huwa wanajihisi hatia ya kuwatosa maex na kwenda kuolewa kwaiyo malipo yake ni kuwapa mzigo na pesa juu
 
Sasa jobless kikoba cha nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…