Je, harusi ya Adam na Hawa ilifanyikia wapi, nani aliwafungisha ndoa?

Kwahiyo hoja imehamia kwenye ufanisi wa kipimo cha Carbon dating? Tufanye hivi, kipimo cha Carbon dating ni uongo, tuishie hapo.
Usifanye hapa tunataka uhakika wa mambo. Unaleta habari za pauka pakawa na makubaliano ya watu fulani ndiyo unayafanya kuwa "Facts/Evidence" ? Akili salama haitaki kuchukua tu mambo bila kuhakiki.

Mpaka mnakufa hakuna anae weza kuthibitisha ukweli wa hicho kipimo.
 
Hahah, we usitake kunifanyan mi taahira, tuishie hapa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kumbe najadiliana na mgonjwa aliyetoroka mirembe , bullshitπŸ˜…πŸ˜…
Nilikusihi tangu mwanzo hapa ulipoingia sipo, na huwa sikei ujinga. Unaleta habari zisizo kuwa na kichwa wala miguu na kuzifanya hoja ?

Bwana mdogo bado nakudai.
 
Si ndio maana nimekubali Carbon dating si kipimo sahihi cha kupima umri, nimekubali ndugu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
 
Nilikusihi tangu mwanzo hapa ulipoingia sipo, na huwa sikei ujinga. Unaleta habari zisizo kuwa na kichwa wala miguu na kuzifanya hoja ?

Bwana mdogo bado nakudai.
Kulaleki walahi, JF mtanirudishia bando aisee, mnasajili vipi wagonjwa wa akili πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚, bbbabeki wallahi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ona unavyo potosha maana. Mimi kile ninacho kijua naweza kukitetea ila nakutaka wewe unae weka habari ambazo hujui zimetoka wapi utuambie kwanza umezipata wapi siyo unaokoteza habari na hujui chimbuko lake unazifanya kuwa hoja, huu ujinga nauona kwako.

Hatulei wajinga wajinga kama wewe.
 
Si ndio maana nimekubali Carbon dating si kipimo sahihi cha kupima umri, nimekubali ndugu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…
Nacheka saba, nataka ujibu naswali niliyo kuuliza. Acha uoga.

Tatizo leo huwa mnapenda stori mnazopewa na kuandikiwa na Wanasayansi bila kuzihakiki.

Ukweli ni kwamba maswali niliyo kuuliza huwezi kuyajibu, acha sanaa za kitoto. Siku nyingine ukitaka kujadiliana na mimi hakikisha umejipanga na ukijue kile unacho kijadili.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚, Hiyo habari mi nimeitunga tu toka kichwani, wala hawakwenda nchi za mbali kuoa na kuolewa, nimetunga tu, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kulaleki walahi, JF mtanirudishia bando aisee, mnasajili vipi wagonjwa wa akili πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚, bbbabeki wallahi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jibu maswali niliyo kuuliza. Hivi ujasiri wa kuleta habari usizo jua chimbuko lake mnaupata wapi ? Ona sasa kilichokukuta.
 
Sio uwoga bro, mi nimekubali bhanaa, Carbon dating ni uzushi tu, wala haiwezi kupima umri...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚, mmmaaaanina walllaaaahi, aaaghhh....!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jibu maswali niliyo kuuliza. Hivi ujasiri wa kuleta habari usizo jua chimbuko lake mnaupata wapi ? Ona sasa kilichokukuta.
Samahani bhanaaa, unajua wakati nasoma carbon dating nilisahau kuuliza ufanisi wake ni asilimia ngapi, samahani bhanaa...🀣🀣🀣🀣
 
πŸ˜‚πŸ˜‚, Hiyo habari mi nimeitunga tu toka kichwani, wala hawakwenda nchi za mbali kuoa na kuolewa, nimetunga tu, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Naona umeanza kunyoosha maneno sasa, sasa utaona kati yangu mimi na wewe nani mwenye akili, timamu mimi ambaye nimejua kama wewe ni muongo na wewe ulio ongopa na ukakiri ya kuwa umetunga baada ya kushindwa hoja.

Hatulei ujinga na dawa yenu nyinyi ninayo mimo sababu nawajua, na ninajua kuwajeruhi, yaani nawabana mule mule kwenye maswali, sababu hamna mnachokijua.
 
Sio uwoga bro, mi nimekubali bhanaa, Carbon dating ni uzushi tu, wala haiwezi kupima umri...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚, mmmaaaanina walllaaaahi, aaaghhh....!!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nimekuonyesha ya kuwa kuna elimu na wasi wasi, wewe unaandika wasi wasi mimi naandika elimu.

Najua hujakubali ile kwa hakika, ila nakuonyesha ya kuwa wakubwa zenu waliwadanganya kwa kuwaona nyinyi ni wavivu wa kufikiri, sasa ili uone kama kweli hicho kifaa ni ujinga, wewe jibu tu maswali niliyo kuuliza.
 
Samahani bhanaaa, unajua wakati nasoma carbon dating nilisahau kuuliza ufanisi wake ni asilimia ngapi, samahani bhanaa...🀣🀣🀣🀣
Sasa ndiyo uende kuwauliza walio kupa hizo habari na usisahau kuwauliza na yale maswali mengine kuhusu hicho kifaa.

Mimi naona kazi yangu nimemaliza. Siku nyingine uje kwa kutulia na utulie hasa.

Ahsante.
 
Unajua watu wenye akili kama wewe hawawezi kukubali kitu kama carbon dating, samahani aisee🀣🀣🀣
 
Sasa ndiyo uende kuwauliza walio kupa hizo habari na usisahau kuwauliza na yale maswali mengine kuhusu hicho kifaa.

Mimi naona kazi yangu nimemaliza. Siku nyingine uje kwa kutulia na utulie hasa.

Ahsante.
Nitawauliza hadi hicho kifaa kimetengenezwa kwa material ipi, sawa kaka 🀣🀣🀣😝
Ila nimekoma kubishana na mgonjwa wa akili
 
Hili swali sikuliona.

Mitume wote na manabii, na waja wema wote walio bashiriwa pepo, bali wale wote elfu 70 watakao ingia peponi bila ya hesabu.

Wako wengi sana, ishirini wachache sana.
Unapimaje Huo ukamilifu wa hao manabii na mitume je wakati wakiishi duniani au baada ya kufa?

Kama wakati wanaishi duniani, je hao manabii na mitume hawajawahi kufanya makosa ya kibinadamu hapa duniani?

Hao uliosema wamebashiriwa pepo hao hatuwezi kuwazungumzia hapa kwasababu Mimi nahitaji kujua waliopo Sasa au kipindi Cha nyuma.
 
Na ndio maana nikasema kutenda dhambi kwa binadamu ni kusudi lake Mungu. Bila kwenda kwenye hoja ya toba kwanza tukubaliane hapa kwanza. Mungu ametaka watu wawe sio wakamilifu ama lah. Tukishafikiana hapo ndipo sasa tuingie kwenye swala la toba sasa.
 
Inakuwaje hampo makini katika kusoma nilicho kieleza huko nyuma ? Hiki ulichokiuliza hapa nimekirudia zaidi ya mara moja. Rejea nilicho kiandika huko nyuma, laiti ungesoma huko nyuma usingeuliza swali hili.

Angalizo, mkiwa katika mjadala jitahidini kuwa makini.
 
Wewe ungekuwa makini swali la post namba 218 usingefika post ya 314 ndio uje utoe majibu. Kitendo cha kuacha swali nililokuuliza ni pengine hukua makini au pengine haukuwa na majibu.

Umesema kuwa mtu anaweza kufikia ukamilifu kwa kutumia nyenzo na ala alizopewa.

Nikakwambia nitajie watu waliofikia hilo daraja la ukamilifu. Ukanitajia mitume na manabii kwamba walikuwa wakamilifu.

Nakuuliza swali:

Unapimaje Huo ukamilifu wa hao manabii na mitume je wakati wakiishi duniani au baada ya kufa?

Kama wakati wanaishi duniani, je hao manabii na mitume hawajawahi kufanya makosa ya kibinadamu hapa duniani?

Hao uliosema wamebashiriwa pepo hao hatuwezi kuwazungumzia hapa kwasababu Mimi nahitaji kujua waliopo Sasa au kipindi Cha nyuma.
 
Ndugu yangu, huyo jamaa tangu nilivyogundua ni mgonjwa wa akili, nilijilaumu sana kutumia nguvu na akili zangu bure kubishana nae πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…