Hapa ni kama Mungu anawaumba watu ili wakosee makusudi na kisha awachome moto. Alishindwa nini kuwaaumba binadamu waliokamilika ili wazingatie maagizo yake?Kwani ni Mungu gani aliyesema kuwa amemuumba binadamu akiwa kamili,bila udhaifu wala mapungufu yeyote ?
.
Hapa inaonesha kabisa tatizo linapoanzia. Tatizo linaanzia kwenye uumbaji, nikwamba wakati Mungu anamuumba mtu anajua kabisa huyu atatenda matendo yakumpeleka motoni na huyu mwingine atatenda matenda ya kumpeleka peponi. Huyu wa motoni inamaana Mungu alishaona kabisa kuna mambo hayajakaa sawa upande wake lakini Mungu amemuacha hivyo hivyo ili aende field akajionee.Hivyo alikuwa na uwezo wa kutuumba sote kwa pamoja alafu akawachpma moto wengine akawatia peponi kwa kule kujua kwake kuwa huyu atakuwa muovu na mwema.
Lakini kwa uwezo wake,hekima zake na nguvu zake akatuacha kila mmoja aingie field ajionee matendo yake ambayo anayafanya bila kutenzwa nguvu.
.
Yes hilo lipo wazi na ndio maana akatupa uhuru wa kuchagua kwa nafsi zetu lipi tunataka liwe na lipi tunataka lisiwe ama tusilifanye.Hapa inaonesha kabisa tatizo linapoanzia. Tatizo linaanzia kwenye uumbaji, nikwamba wakati Mungu anamuumba mtu anajua kabisa huyu atatenda matendo yakumpeleka motoni na huyu mwingine atatenda matenda ya kumpeleka peponi. Huyu wa motoni inamaana Mungu alishaona kabisa kuna mambo hayajakaa sawa upande wake lakini Mungu amemuacha hivyo hivyo ili aende field akajionee.
Hii fulsa ya nafsi kuchagua hua mtu anapewa wakati anaumbwa kabla ya kupelekwa duniani?Yes hilo lipo wazi na ndio maana akatupa uhuru wa kuchagua kwa nafsi zetu lipi tunataka liwe na lipi tunataka lisiwe ama tusilifanye.
Elewa hii ni game tunacheza ili kuzinusuru nafsi zetu,Mungu hafaidiki wala hapati hasara na hii game,kila mmoja anacheza kwa faida yake mwemyewe na sio kwa faida ya Mungu.
Kwa hiyo Mungu anajua wewe utaenda motoni ama peponi kwa sababu ni mjuzi wa yaliyopita na yatakayokuja.
Pili mungu amekupa uhuru wa wewe kuchagua kile unachokitaka kufanya na ndio maana kukawa na pepo na moto.
Sasa ukijua jambo hili shida huwezi kupata kwa sababu utajua kwamba maisha ni game hii ya mema na mazuri,maisha ni majaribio kwa ajili yetu wenyewe.
Wapo pia watakaoingia peponi usisahau,na kumbuka hii ni game,huu ni mtihani.Hapa ni kama Mungu anawaumba watu ili wakosee makusudi na kisha awachome moto.
Naam haswa kwa sababu ana elimu ya wewe utakalo fanya mbele na litakalo tokea kwa watu.nikwamba wakati Mungu anamuumba mtu anajua kabisa huyu atatenda matendo yakumpeleka motoni na huyu mwingine atatenda matenda ya kumpeleka peponi.
Hakutaka hivyo lakini alikuwa na uwezo huo,kwa sababu angeliwaumba watu waliokamilika wawe kama maroboti basi kusingekuwa na haja ya kutujaribu sisi wakati tayari tupo katika systematic may kabisa.Alishindwa nini kuwaaumba binadamu waliokamilika ili wazingatie maagizo yake?
Sasa kama Mungu ndo kakuumba,yeye Mungu ndo kataka uwe na kasoro fulani na yeye ndo ametaka uwe hivyo ulivyoYaani umuumbe mtu pasipo ridhaa yake na kisha na bado unamuumba akiwa na kasoro halafu eti akikosea unamchoma moto wakati yeye mwenyewe Mungu ndio kafanya makusudi kukuumba hivyo
Nimeuliza "Hii fulsa ya nafsi kuchagua hua mtu anapewa wakati anaumbwa kabla ya kupelekwa duniani?Yes hilo lipo wazi na ndio maana akatupa uhuru wa kuchagua kwa nafsi zetu lipi tunataka liwe na lipi tunataka lisiwe ama tusilifanye.
Elewa hii ni game tunacheza ili kuzinusuru nafsi zetu,Mungu hafaidiki wala hapati hasara na hii game,kila mmoja anacheza kwa faida yake mwemyewe na sio kwa faida ya Mungu.
Kwa hiyo Mungu anajua wewe utaenda motoni ama peponi kwa sababu ni mjuzi wa yaliyopita na yatakayokuja.
Pili mungu amekupa uhuru wa wewe kuchagua kile unachokitaka kufanya na ndio maana kukawa na pepo na moto.
Sasa ukijua jambo hili shida huwezi kupata kwa sababu utajua kwamba maisha ni game hii ya mema na mazuri,maisha ni majaribio kwa ajili yetu wenyewe.
Akishatambua baya na zuri katika dini hapo ndipo fursa ya kuchagua inapoanza.Hii fulsa ya nafsi kuchagua hua mtu anapewa wakati anaumbwa kabla ya kupelekwa duniani?
Labda kufunga ndoa anadhani kuna kamba mnafungwa kwa pamojaBahati kwenye uzi umeandika NDOA na Sio HARUSI kama ulivyoandika heading.
Kuhusu ndo sina jibu,
Pengine yale maneno
"Na mkawe mwili mmoja" yalitosha.
Naomba niambie inawezekana vipi?Q
Akishatambua baya na zuri katika dini hapo ndipo fursa ya kuchagua inapoanza.
Kinyume na hapa hata afanye nini maadamu hajui kuwa hili ni baya na hili ni zuri basi haadhibiwi kwa dhambi.
Hakuna ambae anaumbwa na element za uzinzi wala wizi waka unyang'anyi.Ikiwa Mungu wakati anamuumba mtu x (mfano Safuher) anajua fika kabisa kuwa huyu Safuher kulingana na jinsi nilivyomuumba nikimpeleka duniani atakuwa mzinzi, jambazi na tapeli na akifa ni motoni moja kwa moja.
Mungu anawaumba watu wote kwa sawa wala huyu hamuumbi na element fulani za kuwa muovu na yule mwema.hilo kwanza tukubaliane hapo.Ikiwa Mungu wakati anamuumba mtu x (mfano Safuher) anajua fika kabisa kuwa huyu Safuher kulingana na jinsi nilivyomuumba nikimpeleka duniani atakuwa mzinzi, jambazi na tapeli na akifa ni motoni moja kwa moja.
Kinachotakiwa kifahamike ni hivi.Naomba nipe uwezekano wa huyu Safuher ni vipi akaja duniani na kisha nafsi yake ichague tofauti na Mungu alivyotaraji
Naam kama nilivyokuandikia hapo juu mkuu ni kuwa elimu ya Mungu juu ya yale tutakayoyafanya baadae hakuifungamanisha na kutulazimisha kuyafanya mambo haya.Nikiwa namaana ya kwamba Safuher aje duniani lakini asiwe mzinzi, jambazi nasio tapeli.
unajua maana ya neno sawasawa? Kama binadamu wote wangekuwa wameumbwa sawasawa basi wote wangefanya chaguzi ya aina moja tu kusingekuwa na kutofautiana kwa watu kiakili, utashi, maumbile, na saizi zao.Hakuna ambae anaumbwa na element za uzinzi wala wizi waka unyang'anyi.
Mungu watu wote anawaumba sawasawa kabisa.hakuna ambae anawekewa vitu vyovyote kwamba
Kinachopelekea ubaya wa mtu sasa ni mazingira ambayo yeye ana uhuru wa kuchagua lipi baya na lipi zuri.
Mungu anawaumba watu wote kwa sawa wala huyu hamuumbi na element fulani za kuwa muovu na yule mwema.hilo kwanza tukubaliane hapo.
Inategemea neno "sawa sawa " umeitafsiri vipi wewe mwenyewe.kama umetafsiri sawa sawa kuwa kila binadamu ana mwilia basi bila shaka binadamu wote wako sawa sawa kwa sababu wote wana miili.unajua maana ya neno sawasawa? Kama binadamu wote wangekuwa wameumbwa sawasawa basi wote wangefanya chaguzi ya aina moja tu kusingekuwa na kutofautiana kwa watu kiakili, utashi, maumbile, na saizi zao.
Mkuu napenda sana kufatilia mtiririko wako wa jinsi unavyoweza ku-debate na oppose wako ubarikiwe sana.....Sikufahamu ila ninahisi ni mtu mwenye hekima na busara ya hali ya juu...Mungu atukubari.Tatizo sio Mungu kuwa kigeugeu,tatizo ni sisi kuhisi hivyo na tunao uhuru wa kuwaza vyovyote kwa uwezo aliotupatia huyo Mungu mwenyewe.
Wewe unaweza kuwaza kuwa Mungu kigeugeu,lakini ndio kanuni ya Mungu mwenyewe hata nje na hapo utaona kuwa mambo mengi yana mabadiliko sio utaratibu wa Mungu tu.
Jua linabadilika badilika,asubuhi jekundu mashariki,mchana jeupe katikati,jioni jekundu magharibi.
Hapa sijui kama tutasema jua kigeugeu.
Usiku giza,mchana mwanga.
Sijui tutasema siku ni kigeugeu ama vipi.
Unaanza kuwa mtoto mdomo hauna meno,unakuwa kijana unota meno,unakuwa mtu mzima mwishoni unakuwa mzee kabisa na mvi.
Sidhani kama tutasema kuwa mwili ni kigeugeu hauelewei hauna msimamo.
Embe inaanza maua,inaanza kuwachanga,mwishowe inaiva,baadae inaoza.
Sidhani kama tutasema embe ni kigeugeu.
Kwa hiyo sio kwamba Mungu kigeugeu kwa kugeuza sheria,bali huo ndo utaratibu wake wa mambo mengi katika dunia alivyoyaweka.
Kusema kigeugeu unaweza kusema lakini ukitumia akili ya kawaida juu ya mambo mengine ya asili na ukaangalia utaona kuwa hakuna tatizo kufanya mabadiliko kutokana na zama ambazo yeye mwenyewe anazijua.
Bila shaka >ngekuwa anabahatisha basi hao ambao hawabahatishi wangekuja na utaratibu wao ambao upo costant haubadiliki.
Yani wangekuja na binadamu ambao akizaliwa mpaka anakufa ananyonya,hakui yani yuko vile vile habadiliki.
Wangekuja na utaratibu wao wa jua kuwa likichomoza linabaki pale pale tu haliendi kokote mpaka leo.
Bila shaka maisha kwa ujumla ni mabadiliko na wenyewe tunashuhudia hili.
Mabadiliko katika maisha huwezi kuyanasibisha na kutokuwa na uhakika juu ya kile mtu anachofanya.
Kwa hiyo nikijibu swala lako ni kuwa mungu habahatishi na anajua afanyalo kwa sababu hiyo ndio system yake.
kama hivyo ndivyo ilivyo, basi Mungu wakati anamuumba mtu hajui nini ataenda kuyatenda huyo mtu akipelekwa duniani.Hakuna binadamu ambaye ametiwa roho ya roboni amabyo iko programed tayari kufanya mambo fulani.
[emoji2][emoji2] aiseeHapa ni kama Mungu anawaumba watu ili wakosee makusudi na kisha awachome moto. Alishindwa nini kuwaaumba binadamu waliokamilika ili wazingatie maagizo yake?
Yaani umuumbe mtu pasipo ridhaa yake na kisha na bado unamuumba akiwa na kasoro halafu eti akikosea unamchoma moto wakati yeye mwenyewe Mungu ndio kafanya makusudi kukuumba hivyo
Kama wote wameumbwa kwa roho ambazo zina uhuru wa kuchagua sawasawa, je nini kinapelekea mtu A nafsi itende lililojema na mtu B achague lililoovu?Mimi sawasawa niliyoitafsiri ni kuwa binadamu wote wanaoishi ni kuwa wametiwa roho ambazo zina uhuru wa kuchagua.
.
Nisome vizuri mkuu.Kama wote wameumbwa kwa roho ambazo zina uhuru wa kuchagua sawasawa
Ni kwa sababu ya uhuru waliopewa wa nafsi zao kuchagua mambo ndio inapelekea mtu fulani kutenda mema na mwingine kutenda uovu.je nini kinapelekea mtu A nafsi itende lililojema na mtu B achague lililoovu?
Ndio mapungufu kama vile kuna watu Mungu huwaumba machizi,utashi wa chizi na mzima ni tofauti.Kutokana na binadamu kuumbwa na mapungufu, huoni kwamba hawa watu wanatofautiana kiasilimia za mapungufu hivyo kupelekea kuzidiana kwa utashi?
Uhuru ni ile hali ya nafsi kuweza kutenda baya ama zuri,yaani kuweza kutenda yote huu uwezo wa kutenda yote ndio uhuru wenyewe kwanza.Unasema mtu kapewa uhuru wa kuchagua,
Sasa ndio maana nikakuambia hapa tupo kwenye game duniani,umepewa uhuru (uwezo)wa kufanya mema na mazuriingelikuwa mtu kapewa uhuru asingesurutishwa kuwa asipotenda mambo fulani anaadhibiwa
Unachanganya hapo kuhusu uhuru.uhuru niliougusia mwanzo ni ule wa nafsi kuamua lipi afanye na lipi asifanye kwa kujiuliza na kwa uwezo wake mwenyewe.angeachwa aamue aliyokipenda pasipo kupewa mipaka. Ukimpa mtu mipaka hapo hakuna uhuru.
Anajua kwa sababu ana ujuzi juu ya mambo yetu ya baadae.kama hivyo ndivyo ilivyo, basi Mungu wakati anamuumba mtu hajui nini ataenda kuyatenda huyo mtu akipelekwa duniani.
Ndo mana nilikuambia kuwa elimu yake ya kutujua sisi hakuifungamanisha na kutulazimisha sisi tufanye yale anayoyajua juu yetu,hakututenza nguvu katika hilo.Kwasababu kitendo cha kujua kwake nisawasawa nakumprogram mtu aweje aweje pindi akienda duniani
Walichozidiana ni matumizi yao ya nafsi.umbuka anayetanda mema na maovu wote wameumbwa na Mungu mmoja je kipi wamezidiana hawa wawili hadi mmoja akapelekea kuchagua uovu badala ya jema? Kama hajazidiana kitu katika utashi wao ni wazi wote wangefanya chaguzi moja tu. Wasingetofautiana