Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hoja ya Lissu ina nguvu , naiunga mkono , wanafiki wanaomdanganya Hangaya ndio wanatumia picha hizi kupotosha jamii , hatutakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe alikuja kuchukua tu pesa yake. Alichukua yote bali ilikatwa withholding tax ya 24% kama ilivyo kawaida na kisheria. Sasa anadai alipwe hata hiyo 24%.Nani hana shida na pesa kama ni halali?
It's just a matter of time. Either pesa au madaraka vitawavuruga.Na Time hii [emoji1787] Lissu na Mbowe watakuja kugombana tu
Yaliyoandikwa ni ya kweli. Waliokuwa wamekimbia nchi si wamerudi? na akina Lissu wameamua kuondoka wenyewe kwa hiyari zao.Hoja ya Lissu ina nguvu , naiunga mkono , wanafiki wanaomdanganya Hangaya ndio wanatumia picha hizi kupotosha jamii , hatutakubali
Hoja ya Lissu ina nguvu , naiunga mkono , wanafiki wanaomdanganya Hangaya ndio wanatumia picha hizi kupotosha jamii , hatutakubali
Arudi singida..mbaya wake JPM si hayupo, eti?🤣🤣🤣🤣
Fungu limekata huko Ubelgiji.
Labda analipa kodi kwao huko Ubelgiji, hapa kwetu anataka kuvuna tu.Kumbe alikuja kuchukua tu pesa yake. Alichukua yote bali ilikatwa withholding tax ya 24% kama ilivyo kawaida na kisheria. Sasa anadai alipwe hata hiyo 24%.
Inaoneka huko belgiji game ni tight sana sahizi24% zilizobaki ndiyo waweke bango la picha yake...
Kashesema ana shida na pesa
Ataanzaje kumweliza wife na watoto, tuhame ulaya twende zetu Singida 🤣🤣🤣🤣Arudi singida..mbaya wake JPM si hayupo, eti?
Kama kasema leo usimsikilize mana kila tarehe 23- 28 anakuaga betri low
Kumbe ana tarehe zake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama kasema leo usimsikilize mana kila tarehe 23- 28 anakuaga betri low
Maridhiano yenyewe ni ulaghai tu.
Zinasogezwa siku hadi uchaguzi.
Ona mikutano imeeuhusiwa tumekosa ni nini tukosoe.
Si sad
Ni sababu zipi zimemfanya Tundu Lissu akatishe harakati zake za siasa Tanzania na arejee uhamishoni Ubelgiji?Hoja ya Lissu ina nguvu , naiunga mkono , wanafiki wanaomdanganya Hangaya ndio wanatumia picha hizi kupotosha jamii , hatutakubali
Hiyo yajulikana uzuri tu...walaghai ni Samia na Ccm.
..wao ndio wanapoteza muda bila sababu za msingi.
Zimeelezwa na Lissu mwenyeweNi sababu zipi zimemfanya Tundu Lissu akatishe harakati zake za siasa Tanzania na arejee uhamishoni Ubelgiji?
Hiyo yajulikana uzuri tu.
Lakini ni sawa kwa CCM kufanya hivyo maana ni kwamba mpango wa CCM ni kuelekea mchakato wa 2025 bila bughudha.
Ila suali ni kwamba kwanini Tundu Lissu amerejea Ubelgiji na huenda pengine asirudi hivi karibuni?
Mkuu ukisoma kwa kina post nyingi katika thread hii utagundua watu wengi uwezo wao kuelewa katikati ya mistari ni wa level ya chini sana...walaghai ni Samia na Ccm.
..wao ndio wanapoteza muda bila sababu za msingi.
Shikamoo Tundu Antipas Lissu.Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
View attachment 2564267
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa shirikishi? tena ameyasema hayo baada ya maridhiano na chama cha Lissu!
Kwamba Lissu hana uvumilivu au hakubaliani na msimamo wa chama chake ama ni kukosa tu hekima na busara?
Alafu hili la kudai hela zake kila mara hili ni nini hasa? Kwamba ndio sera yake endelevu? Si alisema amelipwa huyu? 🤣🤣🤣
Na hiyo viza ya Ubelgiji inachukuwa miezi mingapi kuihuisha?? Au ndio yaleyale ya akina Liberatus Mwang'ombe ya kurudi wakati wa uchaguzi alafu wakiangukia pua haooo wanakimbilia zao 'makwao' kwa mabeberu?
Wewe na lissu wote hamna akili...kama Samia ameridhia bango hilo basi atakuwa amekosa busara.
..vilevile atakuwa ni laghai, na mpenda sifa na umaarufu.