Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Mfano ni marehemu Dr Omary Juma makamo wa rais enzi za mkapsa
 
Tumien akili..Mungu kawapa akil muweze kuchakata mambo sio mnaenda kama maroboti..tumien akili muslim..ndomana dunia nzima iko against nyiny sabab ni kama maroboti..mnaambiwa jilipue unajilipua kwel.[emoji16]
Just in an ignore list like many others.

Pita ivi
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Umeona wengine wamekufa kwa kumlilia yeye. Angezikwa faster unadhani yangetokea yaliyotokea?
 
Umesahau haraka Maalim Seif makamu wa Raisi Zanzibar uliona alivyozungushwa?
Mazingira ndiyo yanakufanya uone kama "alizungushwa". Seif alifia Dar, na kilichotokea ni kusaliwa msikitini Dar na baada ya hapo moja kwa moja akasafirishwa hadi Zanzibar (Unguja). Kutokana na hilo, Unguja pasingekwepeka, kwahiyo napo ikafanyika sala kwenye viwanja vya Mnazi MMoja na shughuli yenyewe ilifanyika ndani ya saa 1. Baada ya hapo, akasafirishwa hadi Pemba. Ratiba yao ilionesha wangetumia nusu saa viwanja vya Gombani na wangetumia nuu saa nyingine msikitini!! Kama angefia Pemba, sidhani kama wangempeleka Unguja let alone Dar es salaam.
 
Na mwili mtupu ulokuwa hauna tena roho mnauweka wa kazi gani..... Mwili wenyewe haukawii kuoza na kunuka inakuwa kazi ya kuuweka madawa na kuurudisha Mochwari kwenye majokofu tu.
Imagine mtu anakufa na kuzikwa baada ya siku 10!!!![emoji15]
 
Kwa hiyo akizikwa pia anasikia maumivu ya kukandamizwa na udongo, joto na vinginevyo kama kuliwa na wadudu? Tupe elimu zaidi hapa
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Kwa Mungu wote tuko sawa! Kwa hiyo taratibu za kidini zitafuatwa kwa muislamu yeyote!
 
Ni utaratibu Wa serikali na utamadun wetu waafrika
 
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Swali lako umauliza kwa kukalipia sana , punguza sauti kidogo
 
Mimeona maoni ya wadau wetu kweli ni mazuri lakini nataka niseme kwamba Sisi kama serikali hatutafumbia macho mtu yeyote ataye kwamisha shughuli za wananchi wasikini[emoji3] tumejipanga na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo imara, watakaoleta fujo wapigwe tu na mimi nasema muwapige eeh, eeh maana ukiambiwa usifanye hiki ukafanya utapigwa tu, eeh!
 
Yaani ni 3-0 mpaka sasa
 
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Ktk uislam tunaambiwa mambo miongoni mwa mambo muhimu anayopaswa kufanyiwa mwanadamu ni kua akifa azikwe haraka sana,kingine yule ameshakufa hana chake dunia hvyo azikwe ili mengine yaende then tunaambiwa km Shari akakutane nayo au km kheri akakutane nayo kaburini!
 
Tunaassume watafanya kama walivyofanya kwa hayati Maalim Seif
 
Ndio hivyo kila mtu anazikwa kutokana na taratibu za Dini yake.

Akia asubuhi saa 10 watu wanafukia shimoni nduuki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…