Pumba,auwe wenzie kwa hila kisha ajivike Unyerere?, pathetic wewe na yeyeWakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Una uhakika na ushahidi unaoambatana na hili?!Hata Mwalimu alikutana na tuhuma za namna hii nyingi tu.Pumba,auwe wenzie kwa hira kisha ajivike Unyerere?, pathetic wewe na yeye
Nani "mwanajumuishi"? Unamaanisha nini kwa "jumuishi"?Mmoja ni mwanamajumui wa kiafrika na mwingine ana sera za kiliberali.
Mmoja akiamini bila Afrika kukombolewa basi hakuna uhuru wa kweli na mwingine anaamini Tanzania kwanza.
"hira" ndiyo nini?Pumba,auwe wenzie kwa hira kisha ajivike Unyerere?, pathetic wewe na yeye
Mkuu Faiza fox Mwanamajumui ni Panafricanism na hii jumuishi haipo kwenye vocabulary za wapigania uhuru.Nani "mwanajumuishi"? Unamaanisha nini kwa "jumuishi"?
Kikwete ni zaidi ya Nyerere. Nyerere alikuwa mnafiki sana mdini kupita maelezo akipendelea kanisa katoliki kuliko wengine hasa waislamu. Aliunga mkona Biafra kujitenga na Nigeria huku akipigia chapuo umoja wa Africa na akinza na muungano wa tanganyika na Zenj. UNAFKI HUU.Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
"Mwanamajumui" aliyefanya kila njia Nigeria igawanyike? Akashindwa.Mkuu Faiza fox Mwanamajumui ni Panafricanism na hii jumuishi haipo kwenye vocabulary za wapigania uhuru.
kifupi huwezi kumwelezea Nyerere bila umajumui wa Africa ndio alitumia muda mwingi kupambana na ukoloni kwenye mataifa mengine ya africa hivyo kudumaza juhudi
za kujitafutia maendeleo ndani ya nchi.
Watu wana haki ya kujitawala na kuamua aina ya Uongozi wanaoutaka."Mwanamajumui" aliyefanya kila njia Nigeria igawanyike? Akashindwa.
Unalijuwa hilo?
Nyerere ndo alimuua Kighoma Malima.Pumba,auwe wenzie kwa hila kisha ajivike Unyerere?, pathetic wewe na yeye
Kama alivyokuwa kipindi cha utawala wa Magufuri Rais mstaafu Mwinyi alikuwa Nyerere kwake na leo inawezekana kabisa Kikwete kuwa Nyerere,kuimba kupokezana.Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Nadhani hujaelewa hoja ya mhusika.Hapana, haiwezwkani. Jakaya yupo juu sana ya Nyerere kiuongozi.
Magu ndiye unaweza kumfananisha na Nyerere, wote hao walikuwa hawaambiliki, wakurupukaji na walitumia nguvu nyingi kuliko akili katika uongozi.
Akili mtu wangu.., hata kama hujihusishi na Siasa huwezi linganisha Mwalimu na huyo jamaa yenu yaani huwez hata kwa ndoto.Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa influence yake ndani na nje ya nchi, namna viongozi wanavyokimbilia kwake kuomba ushauri, inanipa nafasi ya kufikiri kwa uchache wake.
Je, inawezekana yeye ndo Nyerere wa Tanzania ya leo?! (Remote from Msoga).
Kila Rais wa zamani ni mshauri wa Rais aliyopo madarakani.Nadhani hujaelewa hoja ya mhusika.
Hoja ya mchangiaji ipo katika kufananisha, " Alichokuwa anafanya Nyerere kwa RAIS aliyekuwepo madarakani kipindi yupo hai" ni sawa na anachofanya Kikwete kwa RAIS ambaye yupo madarakani kipindi hiki.( Hoja ya ulinganisho ndio ilikuwa hapo).
NB
URAISI ni kazi ngumu sana, katika uongozi huwezi kuwa unakubali kila kitu, ukifanya hivyo ukakaruhusu mambo ya ajabu sana kwa kigezo cha demokrasia( Hivyo, Udikteta katika baadhi ya mambo ni MUHIMU. Hasa yale yanayolinda maslahi ya nchi).
Kashfa za rushwa, wizi, matumizi mabaya ya madaraka, uuzaji wa rasilimali za nchi, nk. Nyerere hakuwa nazo, Hivyo aliondoka na mikono safi( Hii inaonesha kuwa alikuwa ana nia njema).
Hao waliokuwa wanamshauri walikuwa wana mtazamo wa chini na walikuwa wanatumika na maadui wa nchi. Ndio maana Nyerere alikataa ushauri wao.
Hata Wazanzibari wanataka kujitawala, mbona tunawabania?Watu wana haki ya kujitawala na kuamua aina ya Uongozi wanaoutaka.
Waigbo wa Nigeria walikuwa wanauuliwa Kaskazini na Fulani
Hivyo wengi kurudi eneo lao na kutaka kuanzisha nchi ya Biafra kuna tatizo?
Mwanamajumui ni angali mpaka sasa kwa sababau alisikia manyanyaso na mateso ya waafrika wenzie
Ni kama Sudan kinachotokea Sudan kati ya Watu wa West Nile na Darful kutaka kujitenga sisi kama binadamu tutsapoti ziwe nchi huru? au tutaacha waendelee kuchinjwa na janjawee?
GSM wanasemajeNingependa mada yangu ingeanza na neno TAFAKURI labda ingeondoa ukakasi mwingi ,Kwanini nisifanye wkt nimefanya kwa nia njema tu. Nielekeze kwa hoja bro.
Wale ni watumwa wetu .tushawahonga ardhi kigamboni na wanawake wenye makalio bara taifa limefia hapo .in future itakuwa wilaya ya zenjiHata Wazanzibari wanataka kujitawala, mbona tunawabania?
Double standard?
Alijenga kanisa la parokia ipi?, Au alimsomesha padre yupi?, Au alijenga seminari gani?Kikwete ni zaidi ya Nyerere. Nyerere alikuwa mnafiki sana mdini kupita maelezo akipendelea kanisa katoliki kuliko wengine hasa waislamu. Aliunga mkona Biafra kujitenga na Nigeria huku akipigia chapuo umoja wa Africa na akinza na muungano wa tanganyika na Zenj. UNAFKI HUU.
Alikuwa mdini kwa kuifungia jumuia ya kiislamu ya maendeleo ya Africa Mashariki EAMS huku akiliahidi kanisa kulipa a better chance. Rejea padre John Sivalon.
Alienda kusapoti Biafra kwa kuwa kule wengi ni wakatoliki ili wajitenge na influence ya nothern Nigeria ambayo ina waislamu wengi.
KIKWETE NI BORA SAAAAANA KULIKO NYERERE. KIKWETE NI MLIMA KILIMANJARO WAKATI NYERERE NI KICHUGUU.