Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote ambaye kaumba ulimwengu huu ambao unamabaya mengi hayupo.Nawewe dhibitisha kama hayupo!
ilikua si lazima ila baada ya kuvunja taratibu alizowekewa na Mungu akajikuta kala tayari ndio maana alipokula alijua tayari kashaharibu mambo akajificha. alijua tayari kashatenda kosa.Kwahiyo ilikuwa ni lazima Adam ale lile tunda alilo likataza Mungu?
Kifo hicho inathibitisha Mungu hayupo, hakithibitishi Mungu yupo.Yupo kwasababu wewe upo!na utakufa na naukifa huwezi kurudi tena
Kwanini ajitekenye mwenyewe na kucheka mwenyewe?Hapo ajabu ipo wapi ikiwa anaweza kuikata na kuirudisha tena?
Hakuna anayesema uthibitishe kitu ambacho teyari hakipo bali wanataka uthibitishe kutokuwepo hicho kitu kama unavyodai au tuseme uthibitishe dai lako la kwamba hicho kitu hakipo.Mkuu kitu kisichokuwepo hakihitaji kuthibitishwa kwamba hakipo.
Kwani tayari hakipo.
Umenena mkuuNikukumbushe tuu kwamba.....Mungu haja muumba mwanadamu ili afurahie maisha ya duniani...bali ya baada y kifo.
Maisha ya hapa ni njia ya kuyengeneza maisha baad ya kifo.
Tajiri amewekewa maskini ili kupima imani yake.
Maskini amenyimwa mali ili kupima uvumilivu wake...
Bila maskini huwezi onekana unasaidia watu. Maanaa ukiandaa karamu na kuwaalika matajiri wenzako...pale unatafuta faida ya kulipwa fadhila.
Mwalike ambaye hawezi kuja kukupa chochote.
Ni mameno magumu sana kuyaelewa lakin rudia tena kusom
Umejuaje kama kuna mabaya? Na je mazuri ni yapi?Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote ambaye kaumba ulimwengu huu ambao unamabaya mengi hayupo.
Kwa sababu dhana ya kuwepokwake inajipinga yenyewe. Angekuwepo, dunia isingekuwa na magonjwa, njaa, kifo, kunya etc.
Zaidi, angekuwepo, kila mtu angemjua bila utata, huu mjadala usingekuwepo.
Kuwepo kwa mjadala huu ni ishara kwamba hayupo, katungwa na watu tu.
Unaniuliza maswali tena mie? mimi nimekuonesha udhaifu wa hoja yako kwamba et muumba nae atakuwa na muumba. Mimi sijatoa dhana yeyote hapa,wewe eleza unachotaka kueleza tu.Unaelewa kwamba dhana nzima ya kitu kulazimika kutokea kwa kuanzishwa na kingine, dhana ambayounaitumia kuonesha huyo muumba ndiye muanzisha vyote, ni potofu?
Unaelewa kwamba hata kama si potofu, dhana hiyoinaonesha Mungu hayupo, haioneshi kwamba Mungu yupo?
Mabaya nayajua kwa sababu nayaona, nayapata.Umejuaje kama kuna mabaya? Na je mazuri ni yapi?
Mie naendelea kukuonesha udhaifu wa hoja zako,hauwezi kutoa mtazamo wako wa kwanini unadhani hakuna Mungu halafu mtazamo wako huo ndio ukaufanya kuwa uthibitisho.Ni uthibitisho, ndiyo maana huwezi kuupinga umebakikuuliza uliza viswali vinavyoogopa hoja ya msingi kwamba Mungu wenu dhana yake ina contradiction na hivyo hawezi kuwepo.
Ukishasema kuna "Muumba" tu ushatoa dhana, unaelewa hilo?Unaniuliza maswali tena mie? mimi nimekuonesha udhaifu wa hoja yako kwamba et muumba nae atakuwa na muumba. Mimi sijatoa dhana yeyote hapa,wewe eleza unachotaka kueleza tu.
Mungu ameweka machaguo mawili tu uchaguzi ni wako ukubali au ukatae yeye hatabadilika eti kwakuwa wewe kiranga umehoji haendeshwi na matakwa ya wanadamu Mungu yupo hata ukitaka uthibitisho ama usipo utaka yeye atabski kuwa Mungu mtakutana ukifa ndio utajua mbivu na mbichiUshaona?
Eti Mungu gani anajifichaficha kwa utata utata kama anadaiwa kodi na TRA?
Mie naendelea kukuonesha udhaifu wa hoja zako,hauwezi kutoa mtazamo wako wa kwanini unadhani hakuna Mungu halafu mtazamo wako huo ndio ukaufanya kuwa uthibitisho.
Hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Adam angeweza vipi kujizuia ili asile tunda alilo katwazwa wakati tiyari mpango ulishawekwa kabla hajaumbwa?ilikua si lazima ila baada ya kuvunja taratibu alizowekewa na Mungu akajikuta kala tayari ndio maana alipokula alijua tayari kashaharibu mambo akajificha. alijua tayari kashatenda kosa.
ww ukiiba si unajua umeiba na ni kosa?kipi kinakufanya ujue ni kosa?
Unaelewa kwamba si mimi ninayehoji, ila dhana ya kuwapo huyo Mungu inajihoji yenyewe na kutuonesha kwamba hayupo?Mungu ameweka machaguo mawili tu uchaguzi ni wako ukubali au ukatae yeye hatabadilika eti kwakuwa wewe kiranga umehoji haendeshwi na matakwa ya wanadamu Mungu yupo hata ukitaka uthibitisho ama usipo utaka yeye atabski kuwa Mungu mtakutana ukifa ndio utajua mbivu na mbichi
Wewe huna hoja,mijadala hii itaendelea kuwepo tu maadamu kitu chenyewe ni kitu ambacho kinahitaji imani ya mtu kukikubali. Yani jambo la imani halafu wewe unasema et kila mtu angemjua bila utata!!!Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendowote ambaye kaumba ulimwengu huu ambao unamabaya mengi hayupo.
Kwa sababu dhana ya kuwepokwake inajipinga yenyewe. Angekuwepo, dunia isingekuwa na magonjwa, njaa, kifo, kunya etc.
Zaidi, angekuwepo, kila mtu angemjua bila utata, huu mjadala usingekuwepo.
Kuwepo kwa mjadala huu ni ishara kwamba hayupo, katungwa na watu tu.
Hakuna ushahidi kwamba Adam alikuwapo na Mungu yupo.Adam angeweza vipi kujizuia ili asile tunda alilo katwazwa wakati tiyari mpango ulishawekwa kabla hajaumbwa?
Uwezo wako wa kutambua dhana ya kuhoji ndio uthibitisho kuwa yeye yupoUnaelewa kwamba si mimi ninayehoji, ila dhana ya kuwapo huyo Mungu inajihoji yenyewe na kutuonesha kwamba hayupo?
Kwa sababu dhana ina contradiction.
Na hata kama Kiranga asingezaliwa na kuhoji uwepo wa Mungu, huyu Mungu angekuwa hawezi kuwepo, kwa sababu dhana ya kuwepokwake inajipinga yenyewe.
Unaelewa kwamba dhana ya kuwepo kwa Mungu inajipinga yenyewe kabla hata Kiranga hajaanza kusema chochote?
Something that is above and can control natureWhat is "supernatural" to you?
Hayo mabaya asili yake ni wapi ?Mabaya nayajua kwa sababu nayaona, nayapata.
Ninapopata ugonjwa wakati siutaki, hilo ni baya.
Ninapofiwa wakati sitaki msiba, hilo ni jambo baya.
Ninapodhulumiwa wakati sitaki, hilo ni baya.
e·vil
ˈēvəl/
adjective
noun
- 1.
profoundly immoral and malevolent.
"his evil deeds"
synonyms: wicked, bad, wrong, immoral, sinful, foul, vile, dishonorable, corrupt, iniquitous, depraved, reprobate, villainous, nefarious, vicious, malicious; More
- 1.
profound immorality, wickedness, and depravity, especially when regarded as a supernatural force.
"the world is stalked by relentless evil"
synonyms: wickedness, bad, badness, wrongdoing, sin, ill, immorality, vice, iniquity, degeneracy, corruption, depravity, villainy, nefariousness, malevolence; More